Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Kwa anachofanya Mbio mbio kitatudhalilisha Watz kama kwa makombora yote haya anayoyarusha alafu na Umma wote tukabaki kimyaaa kama maji mtungini asee tutakuwa ni mafala wa mwisho.
Mpaka Sasa still ni mafala ilipaswa now watu wawe wamesha anzisha kurupushani Ile scandal ya NIDA ni nzito sana
 
Vijana wa Lumumba
Vijana wa Lumumba siyo saize ya Polepole....Wao waendelee kudai haki ndani ya chama chao...juu ya kuwapa wageni nafasi ya kugombea kwenye majimbo wakati wao wakibakia kupishana kwenye koridor za jengo la Ccm pale Lumumba.
Jamaa wanaumia sana...lkn ndo Siasa
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

CCM. Ilishamjibu kuwa wewe polepole sio mwana CCM uliokotwa barabarani kama pia alivo okotwa Gwajima na Rip JPM RAIS wetu JPM alidhani vile wote ni kabila lake..

Watakuwa watiifu kama yeye.!!!

Kumbe mtoto wa kufikia ni wakufikia tu !!!

kwaiyo polepole kashajibiwa kuwa ww sio mwana CCM ivyo !!
ni mwanaharakati tu uyo polepole ndiomana karejea kwenye kazi yake..!!

Gwajima tunakumbuka 2015 kipindi cha rip Edward Lowassa!!!

CCM hawawezi poteza muda kuwajibu wapinzani!!!

pengine wangekuwa ni January Nape Amos Makala kina Umi mwalimu. IDDi AZAN ndio wakiongea kitu CCM italazimika kuwajibu !!!

lkn awa walikuwa wapinzani tangu mwanzo !!!

Mtasumbuana kijinga kujibishana tatizo sio wana wana wana wana. Wana wana wana CCM!!!

napia hoja ya polepole ya kitoto Sababu CCM ipo miaka mingi Sana kabla iyo NIDA kutengenezwa.

..JE uko nyuma CCM ilikuwa inashinda vipi!!!!!
 
Unahangaisha ****** wako bure, CCM inajitambua haiwezi kujifunjia heshima yake kumzungumzia taahira km huyo, huyo sisimizi huo uzushi wake ni wapumbavu km nyie mtaupotezea muda wenu CCM iko busy na matatizo ya watanzania
unataka ligi ya matusi mpumbavu we? Yaani unataja ****** kabisa bila kujali unayemtukana ni mtu wa namna gani? Tumia lugha vizuri kenge we hata kama una hasira na umeajiriwa na ccm inakulipa posho na mshahara
 
Jamaa anaongea mambo makubwa sana ila wanaokuja mbele kumjibu ni vilaza na machawa. Mtu ambae alikuwa kwenye mfumo anapotoka nje na kutoa shutuma nzito kama zile hatakiwi kujibiwa na vilaza wa bongo movie akina mafufu.
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

VIta hii ni nzito, amepata waitukiaji, tumeona Kikwete amechanwa chanwa bila ganzi
 
CCM. Ilishamjibu kuwa wewe polepole sio mwana CCM uliokotwa barabarani kama pia alivo okotwa Gwajima na Rip JPM RAIS wetu JPM alidhani vile wote ni kabila lake..

Watakuwa watiifu kama yeye.!!!

Kumbe mtoto wa kufikia ni wakufikia tu !!!

kwaiyo polepole kashajibiwa kuwa ww sio mwana CCM ivyo !!
ni mwanaharakati tu uyo polepole ndiomana karejea kwenye kazi yake..!!

Gwajima tunakumbuka 2015 kipindi cha rip Edward Lowassa!!!

CCM hawawezi poteza muda kuwajibu wapinzani!!!

pengine wangekuwa ni January Nape Amos Makala kina Umi mwalimu. IDDi AZAN ndio wakiongea kitu CCM italazimika kuwajibu !!!

lkn awa walikuwa wapinzani tangu mwanzo !!!

Mtasumbuana kijinga kujibishana tatizo sio wana wana wana wana. Wana wana wana CCM!!!

napia hoja ya polepole ya kitoto Sababu CCM ipo miaka mingi Sana kabla iyo NIDA kutengenezwa.

..JE uko nyuma CCM ilikuwa inashinda vipi!!!!!
Kuna uovu na madhaifu unatetea kiufundi mno! Anyway andishi lako linafikirisha na limebeba mambo yenye kujaribu kuelezea vitu fulani vya ndani
Kimoja kiko wazi Pole pole kafanikiwa kuleta mjadala mjadala wa kitaifa ambao hakuna ambaye amefanikiwa kujibu hoja zake kwa weledi mpaka sasa zaidi ya vijembe vioja na uzushi.
Watu wa kaliba ya chini wameanza kumuelewa na hilo ndio kubwa kuliko yote
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

Mpaka sasa nmeshajua muuza rasilimali za nchi ni nani, nani ni dalali na nani ni mnunuzi wa wasilimali hizo za watanzania.
 
Back
Top Bottom