Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Chawa nyingine hii hapa imeamka.. Kwenye dili za migodi hamjaambulia hata laki lakini mnavyojua kushupaza shingo sasa!
Mimi ni mzaledo kwa Taifa langu, sina kadi ya chama chochote ila naamini uhai wa Taifa langu upo salama mikononi mwa CCM pekee, huo ndio ukweli.
Hivyo sina budi kupambana na wale wote wenye nia ovu ya kuichafua amani ya nchi yetu..
Sina haja ya kulipwa chochote. Huu ni wajibu wangu.
Na kila mtanzania mpenda amani anao wajibu huo.
 
Hebu niambie kati ya wewe unayetetea upigaji na anayetuambia jinsi nchi inavyoliwa ni nani mzalendo
Hivi hebu fafanua Polepole anahatarishaje amani ya nchi hapa
 
"Not every withdrawal is a defeat."
FB_IMG_1756092859283.jpg
 
Mzalendo wa kweli kwa vitendo,
Amejitoa mhanga kwa gharama zozote Mh Dr Hamphrey Polepole,
Namsihi aendelee kuchukua hatua zote za kujilinda,
Maana wanamtandao, wahuni, mafisadi papa wanaweza kutoa rupia kwenye black market huko kusaka roho ya mpendwa wetu.
Pia ajitahidi asiwe anarusha kipindi live, bali awe ana rekodi,
Kuepuka mengi
Amekaa Cuba asijue hiki kweli?
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

Ngoja tuone
 
Mgodi wa makaa ya mawe ambao unazalisha kiwango kikubwa cha makaa ya mawe ambayo yanaweza kuchimbwa kwa miaka zaidi ya 400. Rostam Aziz alinunua hisa za mgodi huo kwa asilimia 70.

Yani Mo Dewj alinunua hisa za Simba asilimia 49 kwa bilion 20 na ilikuwa late 2017 lakini mgodi uliuzwa kwa bilion 5 tena mwaka 2021 tu hapo.
Huyu hajanunua amepewa kama peremende ili azidi kufanikisha shughuli ovu za wanamtandao
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

Kwahiyo mwanzo hakua rasmi?
 
Back
Top Bottom