Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

Mshana Jr , tatizo siyo facts za hotuba za Polepole. Tatizo ni watanganyika hayo maneno hakuna anayezingatia wala kufikiri kuyafanyia kazi.
Chadema kasusa uchaguzi na kanyimwa fursa ya kufanya siasa.
Tundu Lissu yuko jela kwa matakwa ya CCM na siyo sheria.
Nani kachukua hatua yoyote kupambana na hii hali? Hata wewe Mshana Jr unabwabwaja tu kwenye keyboard hakuna hatua yoyote umejitokeza kuhamasisha hatua zichukukiwe.
Hakuna wa kuchukua hatua , Polepole, Lissu Gwajima Mwamakula nk wote hakuna anayewasikiliza ni kama waimba kwaya tuu wakimaliza kuimba kila mtu anaenda kwake.
Hilo nalo ni tatizo kubwa.
 
Kuna muda nahis hawa Magwajima ni Drama za kutupoteza maboya, huku watu mnamshangaa Gwajima, Polepole na Mpina mnasahau kuwakaba MaCCM wanapitia mlango wa nyuma wanazama Mjengoni.
 
Siasa za CCM tunadhijua wana CCM uyo Dada na wenzie wamepangwa na mgombea mpinzani wake na aliepitishwa na CCM taifa.

ni Drama ya siku moja tu kisha maisha yanaendelea lkn sio kweli kuwa Wananchi wenyewe ndio wakusanyike kumkataa kiongozi wana CCM tunajua iyo mipango !!!

izo Siasa za CCM Hapo WAJUMBE wanalipa kwaheri ndugu sisi hatuna kosa ni chama Taifa, Biashara imeisha.

KIDUMU CHAMA CHAMAPINDUZI KIDUMUUUUU MILELE.💪💪
 
Wajumbe walitangulizwa na baiskeli ya mbao huku wanamtandao wakitumia chopa.
October tunatiki
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

Na waliolivunja jiwe watatajwa
 
Mshana Jr , tatizo siyo facts za hotuba za Polepole. Tatizo ni watanganyika hayo maneno hakuna anayezingatia wala kufikiri kuyafanyia kazi.
Chadema kasusa uchaguzi na kanyimwa fursa ya kufanya siasa.
Tundu Lissu yuko jela kwa matakwa ya CCM na siyo sheria.
Nani kachukua hatua yoyote kupambana na hii hali? Hata wewe Mshana Jr unabwabwaja tu kwenye keyboard hakuna hatua yoyote umejitokeza kuhamasisha hatua zichukukiwe.
Hakuna wa kuchukua hatua , Polepole, Lissu Gwajima Mwamakula nk wote hakuna anayewasikiliza ni kama waimba kwaya tuu wakimaliza kuimba kila mtu anaenda kwake.
Hilo nalo ni tatizo kubwa.
Kwaiyo kadhi mkuu ulitaka na Mshana Jr muda huu awe kwenye Nondo za Ukonga kwa kesi ya Uchonganishi.. !!!

Kisha mnapitapita kwa Shemeji🥰🥰 kujifanya kutaka kujua hali zao Wabongo tunawajua ndiomana mjomba Lisu kamweka kwanza mkewe Sehemu Salama mbaliii ukooo kisha ndioo kaja kuchokoza Watawala ebo!!!!

kuna ule msemo rafiki yako leo ndio adui yako kesho 😜😜
 
IMG-20250824-WA0050.jpg
 
Siasa za CCM tunadhijua wana CCM uyo Dada na wenzie wamepangwa na mgombea mpinzani wake na aliepitishwa na CCM taifa.

ni Drama ya siku moja tu kisha maisha yanaendelea lkn sio kweli kuwa Wananchi wenyewe ndio wakusanyike kumkataa kiongozi wana CCM tunajua iyo mipango !!!

izo Siasa za CCM Hapo WAJUMBE wanalipa kwaheri ndugu sisi hatuna kosa ni chama Taifa, Biashara imeisha.

KIDUMU CHAMA CHAMAPINDUZI KIDUMUUUUU MILELE.💪💪
Kwanini haya mambo hayakuwepo kabla
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

Mnahangaika,yote udini tu,si kanisani si mitandaoni,samia mpaka 2030,akimaliza anaingia mwinyi 2030-40,mtasali sana novena
 
Wakat wengine wanawekewa ubongo we ukawekewa utoko kichwani, Ona unavodharilika sasa.
 
Back
Top Bottom