ongeza namba 4: alianzisha mfumo thabiti wa udanganyifu ambao sasa umemrudia mwenyewe. Alijisahau kwamba siku moja angekuwa nje ya system2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu
Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza
Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..
Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo
1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika
2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati
3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote
Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!
View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT
Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!
Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!
Not this time.Pole pole anachangamsha tu genge.
Hawa watu wanaweza kuzima mitandao. Maana ndilo bomu linalowatetemesha kwa sasa.ukiinama nchale ukiinuka nchale bando linaenda kupanda bei
Anaumwa yule mama. Kuna kitu hakiko sawaNimemuona alivyonywea nikamhurumia
Labda TISS ndo wamemficha. Kuna kundi kubwa sana la wazalendoKwani hizi missiles anazifyatua akiwa ndani ya Tz au nje ya nchi?🤔🤔
Active@Payge huyu mtu mbona anatukana watu na mnamuacha inamaana mmeruhusu matusi humuUnahangaisha ****** wako bure, CCM inajitambua haiwezi kujifunjia heshima yake kumzungumzia taahira km huyo, huyo sisimizi huo uzushi wake ni wapumbavu km nyie mtaupotezea muda wenu CCM iko busy na matatizo ya watanzania
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu
Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza
Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..
Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo
1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika
2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati
3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote
Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!
View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT
Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!
Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front

Mazingira yanaonyesha Pole Pole atapuuzwa. Nchi hazicollapse mpaka pale wananchi washindwe kabisa kumudu maisha au maslahi ya wanajeshi yasipoangaliwa. Yote hayo hayapo Tz kwa sasa.Not this time.
Either Polepole's movement will succeed or the country will break into civil unrest or call it civil war.
Expect the unthinkable like what happened to the famous three west African countries close to the desert.
Aiseee 😂😂😂Mgodi wa makaa ya mawe ambao unazalisha kiwango kikubwa cha makaa ya mawe ambayo yanaweza kuchimbwa kwa miaka zaidi ya 400. Rostam Aziz alinunua hisa za mgodi huo kwa asilimia 70.
Yani Mo Dewj alinunua hisa za Simba asilimia 49 kwa bilion 20 na ilikuwa late 2017 lakini mgodi uliuzwa kwa bilion 5 tena mwaka 2021 tu hapo.
Seems so maana Kauli za Rc sizielewi elewi kabisaMwamba atakuwa VATCAN nn? Sio JESUIT kweli?
Mauzo ya migodi miwili nyaraka ziko mitandaoni.. Official documents je hizi ni facts au ni rumors?1. Mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM na nchi kurudiwa; uko kwenye Point of No Return Back! Kampeni ni Agosti 28. Atatoa tu sumu mwilini kwa kuongea ila hatabadili chochote.
2. Kuhusu CHADEMA; sote tunaamini katika demokrasia ya vyama vingi, ila ukweli usemwe CHADEMA ndiyo imesusia uchaguzi siyo INEC iliyoizuia. INEC iliheshimu uamuzi wa CHADEMA.
3. Kuhusu tuhuma za ufisadi; mimi mjukuu wa Nyerere natamani hatua kali dhidi ya mafisadi na tupitishe fagio la chuma. Ombi awe scientific kwa kutoa ushahidi. Nikija hapa kusema Mshana Jr fisadi papa bila ushahidi si sahihi.
Ni haki yao kama wao ndio watapiga kuraLeo Tbc wametangaza uchaguzi upo.Huku mitandaoni ndio naona hakuna uchaguzi.