Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

yas-mic

yas-mic

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2016
Messages
429
Points
1,000
yas-mic

yas-mic

JF-Expert Member
Joined May 25, 2016
429 1,000
Mwalimu Honde , Liwumbu primary school 2000
 
Krait

Krait

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Messages
2,668
Points
2,000
Krait

Krait

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2012
2,668 2,000
Mwl. Masudi (alikua mwanamke) mwalimu wa Darasa
Mwl. Tesha ( alikua mwanamke) huyu tulikua tunakabidhiwa kwake pindi mwalimu wetu alipokua anadharula

SHULE YA MSINGI TEMEKE
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
5,361
Points
2,000
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
5,361 2,000
Mwalimu wangu wa Darasa alikuwa anaitwa mwalimu swai.Shule ya msingi Minazi Mirefu mwaka 1997.Alikuwa anatuuzia mpaka pipi na ndizi darasani halafu mwalimu mwingine akija anatuambia tusitafune
Hahhajahaj
 
doup

doup

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Messages
1,929
Points
2,000
doup

doup

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2009
1,929 2,000
Namkumbuka ila sitamtaja kwa sababu za kiusalama! Hasa nyakati hizi za watu waiojulikaa, naona wengine wanataja hadi majina ya shule na mwaka, exiting!
 
Commander In Chief

Commander In Chief

Member
Joined
May 12, 2019
Messages
98
Points
150
Commander In Chief

Commander In Chief

Member
Joined May 12, 2019
98 150
Mwalimu Assey, Majengo primary school Moshi kabla haijatenganishwa kuwa shule mbili tofauti.
She was a good teacher ever.

Naomba niseme kidogo wakuu..
Wakati nipo darasa lakwanza huyu mwalimu alianzisha kipindi cha kusoma yaani anakuja na kitabu kimoja anakiweka dawati la mbele then mnaanza kusoma mmoja mmoja akiona unajua kusoma anakwambia Imetosha.
Sasa basi wakati huo sijaweza kusoma vizuri bado nabahatisha herufi, tukasimama kwenye line as usual mbele yangu akawa dent yeye anajua kusoma basi nikamsikiliza kwa makini sana wakati anasoma anzia mwanzo hadi alipoambiwa Inatosha.
Ilipofika zamu yangu nikaenda kwa mbwembwe nyingi sababu nilikariri alichokisoma dent aliepita, lahaulah!! Nikaanza kusoma kwa mbwembwe kwa kurudia maneno niliyokariri bila kujua niliaza na yale aliyosema mwishoni because yalikua yananijia kwa haraka, mwalimu Assey nae akaniacha kwa muda mrefu niendelee namimi najiona nipo sahihi kabisa tena nafanya vizuri kumbe ananichora tu na uongo wangu, nahisi uongo ulipozidi akaona huyu dogo analeta mzaha kazini.
Asee! Baada ya hapo kilichonikuta sitakaa nisahau and week kama mbili tu nikajua kusoma vizuri kabisa and up to now I'm genious.

Sorry guys najua nipo nje kidogo ya mada.
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,984
Points
2,000
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,984 2,000
Mwalimu mchomvu, neng'ungu primary school
 
K

kimwery

Member
Joined
May 15, 2019
Messages
56
Points
125
K

kimwery

Member
Joined May 15, 2019
56 125
Matondoro ,primaly ,mwl jeni,adhabu yake ni vimbo za vigimbi nyuma ya magoti, msabaha,chales,saidi,bana,mwairunga, dah , matecher walikuwa powa, korogwe hiyo.
 

Forum statistics

Threads 1,326,602
Members 509,543
Posts 32,228,036
Top