Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Pyepyepye

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Messages
1,561
Points
2,000
Pyepyepye

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2017
1,561 2,000
Mwalimu Balbina, mwalimu mpole sijwahi kuona, huyu ndo alijua maana ya ualimu ni wito,
miaka 23 iliyopita yenye kumbukizi maridhawa
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
2,960
Points
2,000
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
2,960 2,000
mwalimu mbayo, tibasama, hawa walinishika mkono kuandika chini kipindi nipo vidudu 1996, ndala primary school shinyanga. Bila kumsahau mwalimu wa mashairi na hadithi mwalimu shtegwa.
 

Forum statistics

Threads 1,326,419
Members 509,499
Posts 32,221,354
Top