Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Kwa yule aliosoma shule moja toka la kwanza hadi la saba .anaweza kuwafahamu...ila kwa sisi tuliohamahama shule huwezi kumbuka..
Wewe ulikuwa ukihama unarudia darasa? mimi nimehama mara nne, lkn wa darasa la kwanza nawakumbuka!
sababu nikihama la nne mwishoni naanza la tano mwanzoni.
sasa wewe unaiga kuhama but hukuwa mhamaji usitupige
 
Mi naenda bana wengi humu wa Dar tuuuuu! Tanga dodoma ahahahah!

kumbe tunajipigishaga story kivyetuveytu, mi nilidhani na wa mkoa ni wengi, but hamna
 
Back
Top Bottom