INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,326
- 2,294
Sijaweka kama kuwapondea ila mara nyingi walimu wa hizi government school wanapenda sana kuuza ice cream, ubuyu na visheti vinakuwaga bomba kweli. Kwanini sio wa Advance na chuoni? That's what I'm keep asking myself.Kaka ulitaka wauze mchicha shuleni?
Sent using Jamii Forums mobile app