A trip to Moproko Factory

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,610
28,507
Dah leo nimekumbuka mbali sana. Mwaka 1997 nipo darasa la sita B shule ya Msingi jina kapuni.

Nilikuwa napenda sana somo la kiingereza. Mwalimu mkuu wa shule yetu ya Msingi ambayo of course ni shule ya Kayumba hizi Kayumba kongwe zenye kufundisha kwa kiswahili alinibatiza jina na kuniita " English Wizard".

Nimekumbuka enzi za Baraka and Neema. Mr. and Mrs Daudi.

Enzi za Radio Tanzania, mtangazaji Tumbo Risasi, hhhtangazo la sabuni ya mshindi

Nimekumbuka kwenye kitabu cha somo la kiingereza darasa la sita kulikuwa na topic inaitwa

" A trip( or visit? )to Moproko Factory " ambapo wanafunzi wa Mtakuja Primary School wakiongozwa na Baraka na Neema walienda kutembelea kiwanda cha Moproko kilichopo Morogoro kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali kuhusu uendeshaji wa hicho kiwanda.

Nimepost hii story kwenye group la Primary School 1998 watu wanalia tu huko Machozi . Wanakumbuka mbali.

Crush wangu na classmate wangu wa enzi hizo Halima Bint Hussein na mwenzake Swabahi binti Mohamed wamenipigia simu wanalia wanakumbuka mbali..

Najua na humu Jf kuna watu wakiona hii title " A visit to Moproko Factory" watalia..
 
Attachments

  • 484074_402605206464930_1936837981_n.jpg
    484074_402605206464930_1936837981_n.jpg
    41.3 KB · Views: 6
Yeah man, sometimes mie mwenyewe nikikumbuka miaka hio machozi unilenga, hasa nikiwa na drive highway, kumbukumbu zote uja... wale watu wote tuliokua darasa moja shule moja enzi izo sijui wako wapi? hatuwezi tena kuja kukutana ktk umati wa namna ile.
 
Yeah kabisa. Nostalgia is very powerful
 
Write your reply...longtime kibanga ampiga mkoloni kwaichaga handeni..adunje binti mfupi masasi mtwara.
 
Dah leo nimekumbuka mbali sana. Mwaka 1997 nipo darasa la sita B shule ya Msingi jina kapuni.

Nilikuwa napenda sana somo la kiingereza. Mwalimu mkuu wa shule yetu ya Msingi ambayo of course ni shule ya Kayumba hizi Kayumba kongwe zenye kufundisha kwa kiswahili alinibatiza jina na kuniita " English Wizard".

Nimekumbuka enzi za Baraka and Neema. Mr. and Mrs Daudi.

Enzi za Radio Tanzania, mtangazaji Tumbo Risasi, hhhtangazo la sabuni ya mshindi

Nimekumbuka kwenye kitabu cha somo la kiingereza darasa la sita kulikuwa na topic inaitwa

" A trip( or visit? )to Moproko Factory " ambapo wanafunzi wa Mtakuja Primary School wakiongozwa na Baraka na Neema walienda kutembelea kiwanda cha Moproko kilichopo Morogoro kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali kuhusu uendeshaji wa hicho kiwanda.

Nimepost hii story kwenye group la Primary School 1998 watu wanalia tu huko Machozi . Wanakumbuka mbali.

Crush wangu na classmate wangu wa enzi hizo Halima Bint Hussein na mwenzake Swabahi binti Mohamed wamenipigia simu wanalia wanakumbuka mbali..

Najua na humu Jf kuna watu wakiona hii title " A visit to Moproko Factory" watalia..
LIKUD, ukitaja hivi viwanda vilivyokuwa Morogoro,mimi nakumbuka ABOOD tu! Sijui nimerogwa!
 
Mambo ya Mr and Mrs Daudi na watoto wao ie Musa , Neema na mdg wao mdg Baraka!dah miaka inakimbia mzee mwenzangu
 
Back
Top Bottom