Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Unakumbuka majina ya wanafunzi mliokuwa nao la kwanza? La kwanza sikumbuki ila la kuanzia la tatu nawakumbuka walimu wengi tu na majina yao.
Ninakumbuka nilipata rafiki Mwarabu alikuwa na mdogo wake darasa moja. Nimerudi nyumbani bibi alinidhadithia maisha enzi za utumwa, Waarabu walivyoteka watu na kuwapeleka utunwani. Niliapa kuvunja urafiki.

Bibi alinifahamisha kuwa hata huyo rafiki yako hayajui haya yalifanywa na babu wa babu zake .

Nilimuelewa.
 
Unamkumbuka jina lake?

Snoopy Doggy kwenye ROCK AND ROLL HALL OF FAME 2017 anaongea mengi sana kuhusu the late Tupac mojawapo akisema Tupac ndio mtu wa kwanza kumvutisha BANGI..... Na anakumbuka somo hilo walilifanya usiku... Ndio kusema Tupac alikuwa Mwl wa kwanza wa Snoopy ktk WEE SMOKING.... Mlisoma hongera zenu na walimu wenu!
 
Snoopy anamsifia sana Tupac hata kuhusu ndoa yake ambayo sasa ina miaka 20 na ushee.

Mwalimu MWAFYELA,MWANKOTWA, MWAIPYANA IPYANA PS,
MWAFYELA and MWAIPYANA R.I.P
 
Inaonyesha alikuwa mwana sana! Kawaambia wamarekani Tupac ndio greatest rapper of all time.... Ukumbi mzima makofi
Snoopy anamsifia sana Tupac hata kuhusu ndoa yake ambayo sasa ina miaka 20 na ushee.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom