Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Tusi litabakia kuwa tusi ila utalipokeaje hapo tunatofautiana mtu na mtu,lakini jamii iliyostaharabika si uungwana kutukanana
Watu watazidi kutukana tu kwa sababu ustaharabu hauondoi hisia bali unaweka mipaka tu

Wewe ukiona umetoa hoja nzuri tu lakin mtu kutukana, jua mtu huyo kashindwa na hoja yako.
 
Kwahiyo kutayammam(kutawaza kwa mchanga) kunafanywa na dini gani nyingine? Ukiacha dini ya Kiislam?

Anko, punguza Ganja
Ona Sasa umeanza kuandika kiarabu
Kwaiyo waislamu pekee ndo hutawaza?
 
Watu watazidi kutukana tu kwa sababu ustaharabu hauondoi hisia bali unaweka mipaka tu

Wewe ukiona umetoa hoja nzuri tu lakin mtu kutukana, jua mtu huyo kashindwa na hoja yako.
Sheria ipo kumfanya huyu mwanadamu akae kwenye mstari,ndio maana hata Mola wetu akatupa sheria ili tukae kwenye mstari

HAPA SHIDA IPO UONGOZI WA JAMII FORUMS
 
Sheria zipo ila utelekezaji wake ni wa kibinadamu , na pia binadamu huwa na vipaumbele vyake, kujisahu na makosa .

Ndio maana unaona hayo mapungufu bwashee.
 
Ona Sasa umeanza kuandika kiarabu
Kwaiyo waislamu pekee ndo hutawaza?
Acha kukashifu dini za watu

Halafu unaandika mambo ambayo hauna upeo nayo,

Umeongelea kutawaza kwa kutumia mchanga, hauelewi lengo la wao kutumia mchanga kutawaza ni nini?, kwenye akili yako unadhani mtu hata akijisaidia chooni basi atachukua mchanga atajitawadha

Stori za kiboko ya wachawi mnazoongopewa kwenye kanisa lake ukiongezea na zile za vijiweni ukimalizia na stress za mikeka uliyobet kuchanika ndo unakuja kupost uharo huku JF
 
sa hoja yako ni nn hapa? Kwmb kiarabu imeteuliwa kuwa lugha ya dini kwmb bila kiarabu hakuna hiyo dini ya shetani inayoenezwa kwa mauaji, harakati za ksiasa, kulazmisha watu watake wastake, ETI MPAKA LEO MTU YUKO BUSY NA MASIGIDA SUGU USONI na anaua wengne ili akapate mto wa gongo na wanzuki peponi, akapate mademu malaya 72.
Punguza hasira mkuu utakufa bure Uislamu is unstopable ni kama SGR huwezi kuivuta ndo itakuvuta tu, hapo unapoteza nguvu zako bure.
 
Acha kukashifu dini za watu

Halafu unaandika mambo ambayo hauna upeo nayo,

Umeongelea kutawaza kwa kutumia mchanga, hauelewi lengo la wao kutumia mchanga kutawaza ni nini?, kwenye akili yako unadhani mtu hata akijisaidia chooni basi atachukua mchanga atajitawadha

Stori za kiboko ya wachawi mnazoongopewa kwenye kanisa lake ukiongezea na zile za vijiweni ukimalizia na stress za mikeka uliyobet kuchanika ndo unakuja kupost uharo huku JF
Sijakashifu dini yoyote
Me nimeongelea tamaduni za kiarabu we inalazimisha kuhusisha na dini yako.
We kama itaamua kutawazia mchanga kama wa Oman ruksa japo maji yapo
Kama utaamua kula tende za Uarabuni ili upate thawabu sawa
Kama utavaa suruali fupi kama ya mwanao pia ruksa
 
Punguza hasira mkuu utakufa bure Uislamu is unstopable ni kama SGR huwezi kuivuta ndo itakuvuta tu, hapo unapoteza nguvu zako bure.
Vipi umetazia mchanga Leo?
 
Sijakashifu dini yoyote
Me nimeongelea tamaduni za kiarabu we inalazimisha kuhusisha na dini yako.
We kama itaamua kutawazia mchanga kama wa Oman ruksa japo maji yapo
Kama utaamua kula tende za Uarabuni ili upate thawabu sawa
Kama utavaa suruali fupi kama ya mwanao pia ruksa
Kutawaza kwa kutumia mchanga sio utamaduni wa Kiarabu, Waarabu sio utamaduni wao bali ni utaratibu wanaoutumia waislamu pale ambapo wanapokosa maji ya kutawazia kwa ajili ya ibada

Acha kukashifu dini za watu wewe muuza mafuta ya upako
 
Hizi ndo chuki alizozikataa Mshana Jr juzi kwenye thread yake ya kuchukia imani za wengine

Sasa wewe pilipili usioila inakuwashia nini?
Moja ya sifa ya watu wa Mungu ni kuwa na wivu wa kuona wengine pia wanaujua ukwel, mm hilo huwa nalipinga 100% hizi dini zote tumepigwa ila uislamu ndo tumepigwa zaidi dini gani inakuja na uchawi ndani yake

Wao wamekomaa kuhoji wakristo kuabudu jua (sunday)wakati wao ndo waabudu sanam wakubwa (Mwezi na Nyota) hata elimu ya unajimu ipo sana kwenye uislam

Muislam hafungi wala kufungua ramadhan bila kuona mwez hata nembo yake ni mwezi hawa wengine (wakristo) wao wanaweka msalaba
 
Mkuu inabidi sasa ujifunze namna ya kuishi na watu wa matusi au uwa ignore tu
Kuna ambao nishawaignore,,ila itabidi niongeze hii kasi ya hili zoezi ili mwisho wa siku niepukane na hawa wapuuzi

Bwashee halafu ignore yenyewe nayo wala sio poa inatakiwa total block,yani tumalizane kama tumekufa vile,yani nikikulima block nisahau kama kuna kiumbe anaitwa min me​

Kutawaza kwa kutumia mchanga sio utamaduni wa Kiarabu, Waarabu sio utamaduni wao bali ni utaratibu wanaoutumia waislamu pale ambapo wanapokosa maji ya kutawazia kwa ajili ya ibada

Acha kukashifu dini za watu wewe muuza mafuta ya upako
😀😀 Ila kobazi
 
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?

2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku

3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo

4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako

Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu

5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu

6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.

7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika

Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Duh
Nimecheka jmn
 
Imebidi nilog in kwa ajili ya huu uzi wako. Eti mchana na kipilipili chake anavaa balaghashia. 😂😂😂

Umesahau mdigo anakunya na kutawadhia haja kubwa mawe matatu kama mtume wa Allah alivyofanya. 😂😂😂

We jamaa mpuuzi sana. Nimecheka sana kwa kweli. Ngoja niangalie comments za waarabu wa Kilwa masoko.
 
Kuna
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?

2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku

3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo

4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako

Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu

5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu

6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.

7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika

Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
wazee Fulani walipewa kitengo Cha taasisi ya kupendeleza kiswahili, ebwaaeee !!! Kiswahili kilitaka kusilimishwa chote. Walikuwa wanabadili tuu jina liliozoeleka na kubandika la kiarabu. Yapo mengi ila niajuzi walipndoa neno fupi lililozoeleka kwa matangazo yaoja kwa Moja ( live) wao wakaweka neno la kiarabu reeefu linalojaza screen na kuziba contents za matangao ( M U B A S H A R A)
 
Back
Top Bottom