Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

5. hakuna mwenye uhakika na imani yake au tamaduni zake za kidini.
Jiongelee mwenyewe, muache viherehere.

 Tunajua
tunachokifuata,

Tuna uhakika baada ya kufanya upembuzi yakinifu kuwa:


Mwanamume aitwaye YESU Mnazareti:

aliishi karne ya kwanza,

alifanya miujiza ikiwemo:
kufufua wafu,
kuponya vipofu,

kuponya viwete,
kuponya magonjwa yasiyotibika,
alilisha maelfu kwa sahani chache za chakula,
aligeuza maji kuwa divai,
alitembea juu ya maji,
alituliza dhoruba,
 Alipaa
angani,

aliteswa na waliokataa kuwa yeye ni yule asemaye: Mwana wa MUNGU,

aliuawa
,

alifufuka siku ya 3,


kwa siku 40 baada ya kufufuka alionekana na maelfu.

Wafuasi wake wengi waliuawa kwa kutoa ushuhuda kuwa YESU amefufuka!

Kabla hata hajazaliwa yalishaandikwa matukio zaidi ya 300 ambayo angefanya maishani mwake naye kweli alifanya yote.


Hatukisii,

Na tuna akili timamu.



Unahangaika kutafuta njia za watu waliokufa, badala ya kushikilia njia za anayeishi hata baada ya kufa.

Unahangaika na walionyamaza badala ya KWELI inayovuma kwa karibia miaka 2000 sasa,

Unahangaika na masalia yasiyo na nguvu yoyote badala ya mamlaka yaliyo hai yanayofundisha, yanayobadilisha, yanayookoa,

Unahangaika na mavumbi badala ya thamani yenye chapa yake katika kila lugha, kila taifa, kila kabila.
 
Jiongelee mwenyewe, muache viherehere.

 Tunajua
tunachokifuata,

Tuna uhakika baada ya kufanya upembuzi yakinifu kuwa:


Mwanamume aitwaye YESU Mnazareti:

aliishi karne ya kwanza,

alifanya miujiza ikiwemo:
kufufua wafu,
kuponya vipofu,

kuponya viwete,
kuponya magonjwa yasiyotibika,
alilisha maelfu kwa sahani chache za chakula,
alitembea juu ya maji,
alituliza dhoruba,

aliteswa
na waliokataa kuwa yeye ni yule asemaye: Mwana wa MUNGU,

aliuawa
,

alifufuka siku ya 3,


kwa siku 40 baada ya kufufuka alionekana na maelfu.

Wafuasi wake wengi waliuawa kwa kutoa ushuhuda kuwa YESU amefufuka!

Kabla hata hajazaliwa yalishaandikwa matukio zaidi ya 300 ambayo angefanya maishani mwake naye kweli alifanya yote.


Hatukisii,

Na tuna akili timamu.



Unahangaika kutafuta njia za watu waliokufa, badala ya kushikilia njia za anayeishi hata baada ya kufa.

Unahangaika na walionyamaza badala ya KWELI inayovuma kwa karibia miaka 2000 sasa,

Unahangaika na masalia yasiyo na nguvu yoyote badala ya mamlaka yaliyo hai yanayofundisha, yanayobadilisha, yanayookoa,

Unahangaika na mavumbi badala ya thamani yenye chapa yake katika kila lugha, kila taifa, kila kabila.
Leo hujameza dawa zako eeh?
 
La hasha, waungwana na jamii iliyostaarabika hupeana salamu na kujuliana hali kila wakati kama sababu ya udugu na kuwa wanajamii.

Hoja yangu ipo katika matumizi ya lugha. Inanipa ukakasi kuona mtu ananisalimu kwa kusema Shalom au assalamualaikum kwa mlengo wa dini na sio kitaalamu. Si bora hata tunavyosalimiana English kumaanisha tunajifunza lugha ya malkia kama lugha ya biashara na lugha ya kimataifa ambayo hutumika popote duniani hata Uarabuni.

Basi kwanini hatusalimiani kwa lugha yetu mama kiswahili kama lengo ni kusalimiana na kujuliana hali. Maana mimi ukinisalimia kiarabu halafu muendelezo ni maneno kwa lugha ya kiswahili inanipa wakati mgumu kuelewa mkuu.

Nipe maoni yako hapo.
Watu kama nyinyi mngekuwa wengi hapa jf kwenye mijadala jf ingekuwa sehemu nzur sana ya kuperuzi,ebu waliemisheni hawa vijana namna ya kujadiliana hapa jukwaani,mijadala si vita wala ushindani bali ni kubadilishana hoja zenye nguvu na sio matusi yenye nguvu

Maoni yako sio mabaya ni mazuri tu,,ila tatizo lipo kwa hao wanaotumi hiyo salamu kumsalimia kila mtu,waitumie zaidi kwa waislamu wenzao na sio kila mtu,hapo shida itakuwa imeisha

Naelewa jinsi unavyokwazika,kwani nami kipindi fulani kule RUVUMA nilikaa hosteli ya kanisa,basi hapo kuna Masister na watu wa kanisa,hapo ni TUMSIFU YESU KRISTU halafu jibu MILELE AMINA,sometime nilikuwa napotezea

Kwahiyo hakuna ubaya kwa wenye salamu yao kuitumia ila ubaya je unaitumia kwa nani
 
Mmh!! Nyerere ali promote sana kiswahili chenye asili yake ya maneno 60% kiarabu, hivi kwanini hakuendeleza kisukuma ambcho kina ongelewa kwa 25% ya watanzania, unasikia mtu eti "shikamoo" manaake ni nini? Tungesalimiana "muangharuka Mayo".... tungepungukiwa nini?
sa hoja yako ni nn hapa? Kwmb kiarabu imeteuliwa kuwa lugha ya dini kwmb bila kiarabu hakuna hiyo dini ya shetani inayoenezwa kwa mauaji, harakati za ksiasa, kulazmisha watu watake wastake, ETI MPAKA LEO MTU YUKO BUSY NA MASIGIDA SUGU USONI na anaua wengne ili akapate mto wa gongo na wanzuki peponi, akapate mademu malaya 72.
 
Walio changanyikiwa zaidi ni wale ukristo umeanzia mashariki ya kati , ila wao wameiga Tamaduni za kizungu kwenye ukristo.

mti wa krismasi na santa claus , sio ukristo ni tamaduni za ulaya tu.


Ndoa , gauni Jeupe na suti si ukristo ni tamaduni za kizungu tu

Majina ya kizungu pita , julieti Catherine na nk sio ukristo ni tamaduni za kizungu tu
usisahau ibada nyng mnazofanya waislam ni ibada zlizokuwa znafanywa na wapagan wa kiarabu kabla hata ya uislam, lile jiwe jeusi mudi alilikuta wapagan wanaabudu hapo ye akaliingza kwny uislam.
 
Upo sahih mkuu, sema ukwel tamaduni nyingi hapa africa sio zetu kabsa.
Pia technology inavobadirika watu nao hufuata hvohvo.

Kwa tanzania wamebak wamasai, wasukuma wa tabora na wamang'ati, ndo bdo ata vaa yao tu bado niya asiri.
 
Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako
Kwa hiyo mtu akivaa kanzu afanye kazi gani na kazi gani asifanye
 
usisahau ibada nyng mnazofanya waislam ni ibada zlizokuwa znafanywa na wapagan wa kiarabu kabla hata ya uislam, lile jiwe jeusi mudi alilikuta wapagan wanaabudu hapo ye akaliingza kwny uislam.
Ukoo wa Mohamad kabila la wakoreshi anakozaliwa Babu yake Abdul bin adnan walikuwa wakifanya ibada hizo za kale kabla ya Uislam.

Hija za kipagani na ibada zake zilifanyikia hapo hapo Makka kwenye Kaaba hiyo hiyo.
Ila Kaaba ina siri nyingi na kubwa mno
 
Ukija kwenye tamaduni za lugha unawakosea sana waislam..Hv ile kunena kwa kugha huwa kinatumika kiswahili? lete mada zingine achana na imani au tamaduni za upande mwingine kila mmoja ashike hamsini zake...
Kunena Kwa lugha ni utamaduni Gani?
 
Watu kama nyinyi mngekuwa wengi hapa jf kwenye mijadala jf ingekuwa sehemu nzur sana ya kuperuzi,ebu waliemisheni hawa vijana namna ya kujadiliana hapa jukwaani,mijadala si vita wala ushindani bali ni kubadilishana hoja zenye nguvu na sio matusi yenye nguvu

Maoni yako sio mabaya ni mazuri tu,,ila tatizo lipo kwa hao wanaotumi hiyo salamu kumsalimia kila mtu,waitumie zaidi kwa waislamu wenzao na sio kila mtu,hapo shida itakuwa imeisha

Naelewa jinsi unavyokwazika,kwani nami kipindi fulani kule RUVUMA nilikaa hosteli ya kanisa,basi hapo kuna Masister na watu wa kanisa,hapo ni TUMSIFU YESU KRISTU halafu jibu MILELE AMINA,sometime nilikuwa napotezea

Kwahiyo hakuna ubaya kwa wenye salamu yao kuitumia ila ubaya je unaitumia kwa nani
Kamwe jf haiwezi kuwa na watu wa aina moja tu , kwanza ingeboa mno bwashee
 
Ukoo wa Mohamad kabila la wakoreshi anakozaliwa Babu yake Abdul bin adnan walikuwa wakifanya ibada hizo za kale kabla ya Uislam.

Hija za kipagani na ibada zake zilifanyikia hapo hapo Makka kwenye Kaaba hiyo hiyo.
Ila Kaaba ina siri nyingi na kubwa mno
halafu yako humu yanatuletea usengerema khs ukristo sjui siyo dini, wkt wako busy na ibada ya kpagani za waarabu zlizopewa jina la uislam zmekuwepo miaka maelfu kabla ya mudi, kabla ya daftari kuran, kabla ya uislam....mudi kabeba kawawekea kwny dini ya mauaji na unafiki.
 
Back
Top Bottom