Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

Na sijui wanapata nini hawa watu aisee kutwa kuzungumzia na kutukana imani za wenzao tu
Imani ya nani imezungumziwa
Hivi nyie waswahili Huwa mnadhani waarabu wote ni waislam?
Kuna waarabu wengi mno sio waislam ni wakristo na wapagani pia
Uzi unazingumzia tamaduni za kiarabu wewe unahusisha na dini yako
 
Bwashee kwahiyo bila matusi tunaboreka?? Bwashee sometime ujue unazingua sana
Hakuna matusi
Hapa tunakumbushhana tu
Kuwa sio laZima ili kuwa muislam mzuri hadi u copy tamaduni za kiarabu
 
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?

2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu zinawakaa wanapendeza
Unaona kajitu kana ndevu panya buku

3 Unakuta Mnyakusya au Mkinga muda wote amevaa makobazi ili awe kama mwarabuani
Hajui Uarabuni Wanavaa makobazi kwakuwa ardhi Yao ina mchanga sana na jangwani
Sasa wewe upo kwenye tope la Mbozi majarubani umevaa makobazi ili ujinasibishe na waarabu, si upumbavu huo

4 Uvaaji wa makanzu
Sasa wewe Msukuma upo porini unachunga ng'ombe unavaa kanzu ili iweje
Utaswaga vipi hao ng'ombe au utakimbia vipi na hilo gauni lako

Hujui waarabu Wanavaa makanzu kutokana na hali ya joto Kali na tatizo lao la kupata mabusha
Kwanini uige kila kitu

5. Kichwa kichogo eti nae Mchaga au Masai amevaa bagharashia ili awe kama mwarabu wa Oman,
Hivi kweli mna akili timamu au ni maamuma tu

6 Kutawazia mchanga
Unakuta Mhaya yupo Kamachumu nae anatawazia mchanga wakati maji yamejaa ili ajinasibishe na waarabu
Warabu wanatawazia mchanga kutokana kwao Kuna uhaba wa maji.

7. Kupiga ukunga na makelele alfajiri
Yaani jitu lipo linatumia technology ya miaka 5000 iliyopita kutia watu kwenye ibada
Zamani hapakuwako na saa wala alarm ndo maana, wakaweka masipika

Elimu ni muhimu Kwa wenzetu upande wa Munyazi aka Kobazi the kobisi
Wakkkristo mnawachukia waislam...waliwap//hila au
 
Walio changanyikiwa zaidi ni wale ukristo umeanzia mashariki ya kati , ila wao wameiga Tamaduni za kizungu kwenye ukristo.

mti wa krismasi na santa claus , sio ukristo ni tamaduni za ulaya tu.


Ndoa , gauni Jeupe na suti si ukristo ni tamaduni za kizungu tu

Majina ya kizungu pita , julieti Catherine na nk sio ukristo ni tamaduni za kizungu tu
Wakristo wa kishua bongo ndio huwa wanapoteza pesa zao kwenye miti ya krisimasi na Santa Claus, Wakristo wengi tu duniani katika ndoa wala hawavai suti au magauni meupe.
Waseme Wagalatia na Walokole kwa yote ila hilo la kulazimisha tamaduni za kizungu katika dini hawana.

Sijataka kwenda mbele zaidi kuongelea jinsi gani tamaduni za kizungu kama vazi la suti(linalovaliwa hadi na Waarabu, Wahindu, Wachina n.k)kwa sasa ni universal na sio tamaduni za kizungu tu tena.
 
Kuna hoja tunaweza kujibu na nyengine tunazipuuza tu,miongoni mwa hoja ambao ni za kujibu na kukuelimisha ni hii ya kwako

Assalaam alaikum hii ni salamu na ni dua ni salamu kongwe sana tangu zama na zama,ni salamu walizotumia manabii na mitume,mfano Yesu alikuwa anawasalimia watu kwa kusema AMANI IWE JUU YENU

Kwahiyo kwanza ni dua na pili tunapata malipo kwa kila salamu tunayo salimiana,je wewe hupendi tutakiane amani?
Sasa kwa nini hamsalimii kwa Kiswahili "amani iwe juu yenu/yako" badala yake mnasalimia kwa kiarabu tu "salamaleko"??
 
wanaofuata tamaduni za kizungu za kuphilna na kuiga majina ya kizungu, utawaongelea lini?
Ongelea mada iliyopo mezani
We unaona ni sawa Mtanzania kujifanya mwarabu wa Saudia au Oman
 
Registered_jf
1. yesu hakuishi baada ya karne ya kwanza, bali alikuwepo hata kabla ya karne ya kwanza (yeye ni alfa na omega), upo?

2. nimesema hvo maana tamaduni za ukristo wetu zinatofautiana ndiyo maana nikasema hata tamaduni zetu hazina uhakika, huko kwa mudy tuachane maana pamechafuka..

a. kuhusu siku ya sabato (sisi wakristo tunatofautiana)

b. yesu ni MUNGU au si MUNGU, si wakristo wenyewe tunatofautiana.

c. tamaduni ya kunena kwa lugha pia tunatofautiana

d. tamaduni ya kuhusu vyakula tunatofautiana

e. tamaduni ya kutoa mapepo tunatofautiana sana

f. mfumo wa kutubu dhambi tunatofautiana na kuomba

g. tunatofautiana kuhusu mapokeo ya waumini wetu wacheze mpira au wasicheze? wawe wanasiasa au wasiwe?

tamaduni ni nyingi sana zinazotofautiana,
na wote wanatofautiana kwa hoja za vifungu.
nani yupo sahihi?
 
Najua nazingua ndio ila matusi kwa wengine ni hali ya kukosa hoja nakujilinda tu , unajua uamuzi wa ili tusi liwe tusi ni waanae tukanwa? Tofauti na hapo ni makeke tu
Tusi litabakia kuwa tusi ila utalipokeaje hapo tunatofautiana mtu na mtu,lakini jamii iliyostaharabika si uungwana kutukanana
 
Back
Top Bottom