Tanzania hakuna "rule of law"
Kama walivyosema wasemaji hapo juu, it is human nature to be selfish, it is human nature to seek the easy way out, kwa hiyo kama kuna mihela ipo ofisini na hamna sheria za kumbana mfujaji wa mali za umma, au kama sheria zipo lakini kuna huku kulindana kama alikowekewa Sitta, watu wataendelea kukomba tu.
Tunahitaji misheria na mi watchdog na kuendeleza culture ya kuziheshimu hizo sheria.
Mwananyamala hospital tunachangia Sh.500/= kwa dozi moja ya dawa-mseto ya malaria (actual cost 7,000/=).
Mwenzetu alichangia ngapi kwa hizo Sh. box 2?
Why this allegations now?
Naona kama tuhuma nyingi zimeegemea maisha binafsi sana?kimada,safari za nje na ndani,matibabu hospital(pharmacy,biashara ya magogo(ana kibali?)?? ambazo binadamu wa kawaida yeyote hufanya.mmmmhhh!!!
Isije ikawa ule msemo wa fahari wawili hawakai zizi moja,sasa wanaanza kuchomana pembe.
- Anatumia vibaya fedha za umma. Amekuwa akitumia
msaidizi wake kuchota mapesa kwa kisingizio kuwa ni
masurufu ya safari za ndani na nje ya nchi. Kila
safari ya siku moja ndani ya nchi huchukua shilingi
Milioni tano (5,000,000/=), na kila safari ya siku
moja nje ya nchi huchukua shilingi Milioni Kumi na
Tano (15,000,0000/=). Ameshindwa kufanya marejesho ya
masurufu (imprest) hayo, licha ya kupeleka risiti
kadhaa za kughushi/za uongo kwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi
ya Bunge. Mpaka sasa anadaiwa jumla ya shilingi
Milioni sitini (60,000,000/=) za masurufu.
- SITTA hupeleka risiti za uongo kwa Mhasibu Mkuu,
zikionesha madai kutoka Oysterbay Pharmacy ya Shilingi
Milioni Mbili ( 2,000,000/= ) aliyotumia kwa tiba kila
wiki.
NGE limeanza kikao chake cha 11 kwa Sita kujigamba na kijichanganya kuhusu kashfa zinazomkabili.Tunaishukuru sana kamati teule iliyofungua mlango wa madhambi ya viongozi.eg Kashfa ya MBOWE na NSSF,ya spika na nyingine nyingi kama zilivyowekwa wazi,
Watanzania hawataki maelezo marefu ambayo hajibu tuhuma zinazo kukabili Spika,Pia wanaohusisha familia yako wanakosea maana majibu unayo wewe mwenyewe.Spika sema mambo matatu tu:
1.Tunapenda kujua ni kweli kuna maadai ya mabaya ya pesa za walipa kodi?
Tunazo photocopy za risit za pharmarcy,Ukibisa tutaziwakilisha,pamoja na masurufu ya safari na yule kimada wa agakan hosp kama ni kweli alipewa per diem ya siku 50?
2. Pia toa sentensi chache tu kuhusu ofisi ya bunge kuwahudumia vimada zako wa Upanga na kinondoni?na kama ni kweli magari ya bunge yanatumika! hukatazwi kuwa na vimada hata kumi ila ni ukosefu wa heshima kwa watanzania kwa kiongozi wa juu kama wewe unapoamua kutumia magari na kodi zetu kuwastarehesha hao malaya wakati mage yupo na ana gari tayari.
Hatutaki uanze kupoteza muda kuelezea kuwa ni mambo ya Richmond au EPA ndiyo yanasababisha uchafuliwe,hatutaki mchawi tunataka ukweli,mbona waliohusishwa na EPA na Richmond hawakutafuta mchawi,au mbowe mbona yeye alijibu direct tu.
Haya sio maneno ya mtaani wala majungu kama ulivyo ya sema magari tunawaona yakitumiwa na hao vimada au labda utudhibitishie kuwa hayo wa upanga anayetumia RAV 4 ya bunge ni nani? na kwa nini anatumia hiyo gari?
Shehe yahaya alisema mwaka 2008 tutayasikia mengi yayofanywa siri.
TUnajua waheshimiwa Silaa na Zitto kabwe Spika ni rafiki yenu ila tunajua kwenye kutete maslahi ya Taifa nyie hamna adui wala rafiki ukweli na haki ndiyo misingi utendaji wa kazi zenu.Safisheni uozo kila kona ya nchi tumechoka
Eti, duka alilonunua dawa spika Sitta ni la mkwewe (Mjengwa Blog).
Kama ni kweli basi haya ni makubwa madogo yana afadhali. Ndo kupeana ulaji..