Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Busara, Mar 19, 2008.

 1. M

  Mzee Busara Senior Member

  #1
  Mar 19, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli, ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni! Kama unadhani vigogo wa EPA ni mafisadi peke yao, basi ulikuwa hujamfahamu Spika wa Bunge SAMUEL JOHN TEGEZA SITTA ! Ukimsikiliza anapoongea unaweza kuamini kwamba kiongozi huyo wa Bunge ni msafi kutokana na umahiri wake wa kujivalisha sifa kemkem – Mr Misifa. Unakumbuka hivi karibuni alivyomtukana Naibu Spika eti hawezi kusimamia mambo nyeti mpaka awepo yeye mwenye Bunge? ! Kisa nini? Kupenda sifa na kumdhalilisha mwenzake mbele ya umma, halafu bado anaendelea kuliita Bunge eti ni chombo cha kidemokrasia!

  Tumebaini kwamba Sitta amekuwa akijimiminia sifa nyingi ili kulinda ufisadi anaoufanya usigundulike katika jamii yetu. Ngoja nikupe tone tu la madhambi yake kwa umma ili uone ni hatua gani utachukua, na ili na yeye ajipime kwa nafasi yake. Angalia uchafu huu:-

  - Anatumia vibaya fedha za umma. Amekuwa akitumia msaidizi wake kuchota mapesa kwa kisingizio kuwa ni masurufu ya safari za ndani na nje ya nchi. Kila safari ya siku moja ndani ya nchi huchukua shilingi Milioni tano (5,000,000/=), na kila safari ya siku moja nje ya nchi huchukua shilingi Milioni Kumi na Tano (15,000,0000/=). Ameshindwa kufanya marejesho ya masurufu (imprest) hayo, licha ya kupeleka risiti kadhaa za kughushi/za uongo kwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Bunge. Mpaka sasa anadaiwa jumla ya shilingi Milioni sitini (60,000,000/=) za masurufu.

  - SITTA hupeleka risiti za uongo kwa Mhasibu Mkuu, zikionesha madai kutoka Oysterbay Pharmacy ya Shilingi Milioni Mbili ( 2,000,000/= ) aliyotumia kwa tiba kila wiki.

  - Amekuwa akilazimisha hawara yake wa Hospitali ya Aga Khan naye alipwe posho kama wabunge anapokwenda naye Dodoma. Kwa mfano, hawara huyo alilipwa ‘per diem’ kuanzia tarehe 13/12/2007 hadi tarehe 31/01/2008 ( Siku 50). Huo ni Ufisadi mkubwa!

  - Anaye kimada wake mwingine anayekwenda kwa jina la ASIA ambaye anaishi nyumba Na. 111 karibu na Mahakama ya Ardhi Upanga na amezaa naye. Huko mtaani kwao kimada huyo hujiita mama SITTA, na ni dada yake aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa iliyokuwa Tume ya Kurekebisha Mashirika ya Umma (PSRC). Mwanamke huyo muda wote hutumia gari la Ofisi ya Bunge STK 232 Toyota RAV 4.

  - Pia anaye kimada mwingine (jina limehifadhiwa) ambaye anaishi kinondoni ( Livingstone), mtaa wa Honolulu katika nyumba ya kupanga inayomilikiwa na dada yake Kawawa. Nyumba hiyo inatazamana na Nyumba Na. KH.MK/No. 337 katika mtaa huo huo. Kimada huyo hutumia gari ya kiofisi ya Spika mwenyewe STK 3002.

  - Vimada wote hao hupata huduma za maji na umeme kwa gharama za Ofisi ya Bunge. Kuna kipindi mke halali wa Spika, aliwahi kulalamikia hali hiyo. Kuna siku maji yalikatika nyumbani, mke wa Spika akaomba apelekewe ‘ bowser’ la maji na Ofisi ya Bunge. Ohooo! Watekelezaji wakapeleka maji kimakosa kwa kimada. Mama Sitta akashtukia dili.

  - Kuna taarifa kwamba mnamo Mwezi Oktoba 2007, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iligundua mapungufu makubwa katika matumizi ya fedha yaliyofanywa na Spika SITTA. nimedokezwa kuwa Spika aliwanyamazisha wajumbe wa kamati hiyo, ambapo aliwatishia kutowapatia posho na safari za nje kama wangeyafumua mapungufu yake hadharani! Hapo inaonesha kuwa wajumbe hao walipewa rushwa!!

  - Kama JK anataka viongozi wa kisiasa na wa serikali watenganishe biashara na uongozi wa ku – ‘sacrifice’ kimojawapo, hilo litakuwa gumu kwa sababu Sitta alipokuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha cha Uwekezaji nchini (TIC) alitumia nafasi hiyo kuingia ubia na wafanyabiashara wengi wa Kigeni. Je, Wizara ya Maliasili na Utalii inatambua kuwa Spika ana hisa kwenye kampuni moja ya Kichina inayosafirisha nagogo licha ya marufuku yaliyowekwa?!

  - Nililokupa hapo ni tone tu.
   
  Last edited by a moderator: Jul 28, 2009
 2. H

  Hussein Abdallah Member

  #2
  Mar 19, 2008
  Joined: Nov 1, 2006
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Nimesoma nime elewa lakini sija elewa .Naenda pale bakhresa kutafuta kinywani nirudi cafe .Unasma haya ndiyo maisha ya Samwek Sitta ? Naomba uendelee kumwaga mambo hapa .
   
 3. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Huo sio ufisadi tena ni KUFURU!kama hayo madai ni KWELI then nchi Tanzania hatuna viongozi!!!Ila mzee wa busara hiyo itakuwa umeipata kutoka kwa wana mtandao walioasi!
   
 4. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Naona huyu anaganga njaa huu siyo UFISADi, Mimi naomba data nyingine.
   
 5. M

  Mshamba wa Kijijini Member

  #5
  Mar 19, 2008
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba kujulishwa kuhusu nyumba anayoishi sasa sitta nasikia ni ahsante kapigwa mshiko kafyatua ghorofa! kwa kuwasaidia wale waliokuja kuwekeza wakati akiwa bosi wa kitengo hicho.

  halafu mke wake maana anao wengi (magret)naye amejengewa shule kama ufisadi wake kwa kampuni ama kwa shukurani ya mwalimu house!!!
   
 6. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  na huko kuganga njaa ni kwa pesa ya nani?? have you ever given yourself a minute to think b4 throwing your comments humu?? kila sent yetu moja inapaswa kutumika kihalali na tunapaswa kuulizia matumizi yake, we should be responsible for uor money
   
 7. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2008
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  sina la kusema,kama kweli basi sijui kama hiyo 2010 itafika salama.
   
 8. O

  Ogah JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mmmmmhhhh!!!..........anyway nafikri hii inafaa kuwekwa ktk section ya Vituko vya Wakubwa.....nafikri section hiyo ipo hapa JF
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Mar 19, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Nadhani ikae hapa kwa muda, binafsi niko kwenye matumizi ya fedha za umma.

  Haya madai siyo madogo na ni mazito. Kama lingekuwa suala la binafsi lisilohusiana na utendaji kazi wake tungeliweka kwenye vibweka, lakini madai kuwa anatumia ofisi yake kujinufaisha nje ya taratibu ni madai mazito na ambayo lazima yaangaliwe. Kama anadaiwa milioni 60 za walipa kodi wananchi wanatakiwa kujau asili ya deni hilo kama vile madeni ya mwanasiasa mwingine yalivyowekwa hapa.

  labda huko mbeleni itaenda pembeni, lakini kwa sasa nadhani hapa ni wakati muafaka kabisa! Tatizo siyo kutoa madai lakini huyo aliyoyatoa katoa hata na ushahidi wa juu juu (tarehe, nyumba n.k) hivyo si udaku wa kawaida ambapo mtu anakuja na kusema "anayejua zaidi alete data"...
   
 10. RR

  RR JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Vimada, STK, masufuru, per diem? Are these part of the speed or standards?
   
 11. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2008
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Mmmhh!!! sasa sijui wananchi tutakimbilia wapi? Hii thread ibaki hapahapa, ndio mahala pake haswa!!!. Kama haya yanayozungumzwa hayana ukweli, basi tunamuomba mheshimiwa sitta akanushe hizi tuhuma. Otherwise, huyu jamaa anafaa kusulubishwa kama nanihiii. Wabunge mshughulikieni huyu fisadi, kama haya madai yana ukweli.
   
 12. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Huyu Mzee habari zake ni ndefu sana na kila mara hu play an angel .Kumbukeni kwamba aliogopa kwanza kuijadili EPA japokuwa najua usanii ulikwa coordinated .Kumbukeni baada ya Lowasa kusema anajiuzuru alishindwa hata la kusema .Basi hapa ujue kuna jambo zito .Lisemwako liko na kama haliko li njiani .Mambo mazito haya mlate hoja naamini ataendelea kutupakulia.
   
 13. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2008
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi kuna mbunge anayeweza kuleta hoja ya kumjadili Sitta bungeni? Inaonekana wanamuogopa kwa sababu ya ubabe wake. Nadhani hata ile tripu ya USA kukwepa kumsulubisha EL ilikuwa ni mbinu zake chafu hadi alipolazimishwa kuifuta ziara. Huyu mzee nilikuwa najua ni diktator lakini sikujua kama ni fisadi na mchafu (morally) kiasi hiki
   
 14. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Sitta ukitaka kumjua kwamba ni wa ajabu basi jaribu kuongea issue nzito na akihusishwa haweza kukuangalia machoni na lazima alete neno Busara za Spika wakati hana hizo busara.Umri wake wote huu na mke na watoto bado ana vimada kw ajina la kodi yangu mimi mlala hoi ? This is serious Wabunge lazima hili wali hoji .Maadili kama hana Uspika hauna maana kwake .
   
 15. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Jamani hii mada naona na mimi sasa niulize kwa nini inafutwa mara kwa mara .Nimeona kuna watu 3 sasa wanaiweka inafutwa haraka haraka .Je ni kosa mkubwa huyu kujadiliwa? Tuambieni basi tujue badala ya kufuta kimya kimya . Nami nime copy na naiweka tena .Mkiifuta tupeni maelezo kwa nini inafutwa .
  Unaujua Ufisadi Wa Samwel Siitta? (spika Wa Bunge)

  --------------------------------------------------------------------------------

  Ama kweli, ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni! Kama unadhani vigogo wa EPA ni mafisadi peke yao, basi ulikuwa hujamfahamu Spika wa Bunge SAMUEL JOHN TEGEZA SITTA ! Ukimsikiliza anapoongea unaweza kuamini kwamba kiongozi huyo wa Bunge ni msafi kutokana na umahiri wake wa kujivalisha sifa kemkem – Mr Misifa. Unakumbuka hivi karibuni alivyomtukana Naibu Spika eti hawezi kusimamia mambo nyeti mpaka awepo yeye mwenye Bunge? ! Kisa nini? Kupenda sifa na kumdhalilisha mwenzake mbele ya umma, halafu bado anaendelea kuliita Bunge eti ni chombo cha kidemokrasia!

  Tumebaini kwamba Sitta amekuwa akijimiminia sifa nyingi ili kulinda ufisadi anaoufanya usigundulike katika jamii yetu. Ngoja nikupe tone tu la madhambi yake kwa umma ili uone ni hatua gani utachukua, na ili na yeye ajipime kwa nafasi yake. Angalia uchafu huu:-

  - Anatumia vibaya fedha za umma. Amekuwa akitumia msaidizi wake kuchota mapesa kwa kisingizio kuwa ni masurufu ya safari za ndani na nje ya nchi. Kila safari ya siku moja ndani ya nchi huchukua shilingi Milioni tano (5,000,000/=), na kila safari ya siku moja nje ya nchi huchukua shilingi Milioni Kumi na Tano (15,000,0000/=). Ameshindwa kufanya marejesho ya masurufu (imprest) hayo, licha ya kupeleka risiti kadhaa za kughushi/za uongo kwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Bunge. Mpaka sasa anadaiwa jumla ya shilingi Milioni sitini (60,000,000/=) za masurufu.

  - SITTA hupeleka risiti za uongo kwa Mhasibu Mkuu, zikionesha madai kutoka Oysterbay Pharmacy ya Shilingi Milioni Mbili ( 2,000,000/= ) aliyotumia kwa tiba kila wiki.

  - Amekuwa akilazimisha hawara yake wa Hospitali ya Aga Khan naye alipwe posho kama wabunge anapokwenda naye Dodoma. Kwa mfano, hawara huyo alilipwa ‘per diem’ kuanzia tarehe 13/12/2007 hadi tarehe 31/01/2008 ( Siku 50). Huo ni Ufisadi mkubwa!

  - Anaye kimada wake mwingine anayekwenda kwa jina la ASIA ambaye anaishi nyumba Na. 111 karibu na Mahakama ya Ardhi Upanga na amezaa naye. Huko mtaani kwao kimada huyo hujiita mama SITTA, na ni dada yake aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa iliyokuwa Tume ya Kurekebisha Mashirika ya Umma (PSRC). Mwanamke huyo muda wote hutumia gari la Ofisi ya Bunge STK 232 Toyota RAV 4.

  - Pia anaye kimada mwingine (jina limehifadhiwa) ambaye anaishi kinondoni ( Livingstone), mtaa wa Honolulu katika nyumba ya kupanga inayomilikiwa na dada yake Kawawa. Nyumba hiyo inatazamana na Nyumba Na. KH.MK/No. 337 katika mtaa huo huo. Kimada huyo hutumia gari ya kiofisi ya Spika mwenyewe STK 3002.

  - Vimada wote hao hupata huduma za maji na umeme kwa gharama za Ofisi ya Bunge. Kuna kipindi mke halali wa Spika, aliwahi kulalamikia hali hiyo. Kuna siku maji yalikatika nyumbani, mke wa Spika akaomba apelekewe ‘ bowser’ la maji na Ofisi ya Bunge. Ohooo! Watekelezaji wakapeleka maji kimakosa kwa kimada. Mama Sitta akashtukia dili.

  - Kuna taarifa kwamba mnamo Mwezi Oktoba 2007, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iligundua mapungufu makubwa katika matumizi ya fedha yaliyofanywa na Spika SITTA. nimedokezwa kuwa Spika aliwanyamazisha wajumbe wa kamati hiyo, ambapo aliwatishia kutowapatia posho na safari za nje kama wangeyafumua mapungufu yake hadharani! Hapo inaonesha kuwa wajumbe hao walipewa rushwa!!

  - Kama JK anataka viongozi wa kisiasa na wa serikali watenganishe biashara na uongozi wa ku – ‘sacrifice’ kimojawapo, hilo litakuwa gumu kwa sababu Sitta alipokuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha cha Uwekezaji nchini (TIC) alitumia nafasi hiyo kuingia ubia na wafanyabiashara wengi wa Kigeni. Je, Wizara ya Maliasili na Utalii inatambua kuwa Spika ana hisa kwenye kampuni moja ya Kichina inayosafirisha nagogo licha ya marufuku yaliyowekwa?!

  - Nililokupa hapo ni tone tu.
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Mar 19, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Lunyungu nitumie kwenye PM nitaiweka kwenye klhnews.com.. labda kuna sababu muhimu na nadhani tuelewe hivyo. Itume kwangu nitaiweka kule..
   
 17. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  mzee nakuomba copy na u paste kwako mkuu
   
 18. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #18
  Mar 19, 2008
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Siasa za Tanzania zimefikia hali mbaya sana. Tusipoangalia tutakuwa ni taifa la kujadili viongozi wetu wamelala na nani badala ya kujadili masuala muhimu ya Taifa.

  Tunashindwa kutambua kuwa kipind hiki cha hoja za ufisadi zitakuja hoja nyingi sana kutupumbaza? Sasa kila mtu anapakwa matope. Hivi mnadhani ni haku kweli kujadili maswala binafsi kabisa ya Sitta, au masuala ya kuzusha waziwazi wa matumizi ya ofisi ya Spika? Bunge mwaka jana limepata hati safi ya matumizi yake, CAG hajaonesha fungu lolote lenye matatizo. Habari hii inaletwa kwa malengo yaleyale ya habari za Mwenyekiti Mbowe, kutuhamisha katika hoja. Kundi lile lie lililotoa habari za Mbowe na NSSF kwa uzushi mkubwa ndio hilo hilo linamsema Sitta.

  Siasa za Tanzania zinaelekea kubaya kabisa. Sasa mtasikia kuhusu Mwakyembe etc............... Sisi Watanzania sijui nani katuloga.

  Haya endeleeni mi naendelea kupika ripoti ya Kamati ya Bomani. Wanaoendelea kujadili Sitta ana mahawara wangapi waendelee!

  Mada hii, kwa maoni yangu binafsi, haina maana katika ubao huu.
   
 19. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2008
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Ha! ha! ha! "Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba"
   
 20. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Thanks Zitto .

  Mtoa hoja aliitoa akakimbia. Maana mwisho alimalizia kusema hii ni kidogo. Thanks so much and that is why I love JF.

  Tunangoja ripoti ya madini Mtanzania wewe. Tuna kiu na hope Bomani atafanya kweli kama Mwakyembe. Shida ni kwamba ni kamati ya ushauri kwa Rais sasa kazi ni kubwa kweli sijui itakuwaje .
   
Loading...