huu utawaka wa awamu ya nne ..umezidi kwa KUENDEKEZA MAJUNGU...hivi tumefikia mahali tunahoji hata matibabu ya kiongozi wa nne kwa ngazi SPIKA..hii inaonyesha hawa sasa wanachimbana hasa baada ya kashfa ya EPA kusomwa bungeni....
mimi sioni ni ishu kwa spika kununua dawa za milioni 2...kama matibabu ya mtu ni siri basi hata kwa kufichua hiyo risiti ni non ethical..kwa sababu unafichua kitu ambacho mwisho wa siku kama hutaweza kuwatajia wananchi alinunua dawa gani kwa sababu kwa kutaja dawa itakuwa tayari umetaja in direct ugonjwa wa spika bila ridhaa yake....serikali ya kikwete imezidi kwa witch hunting...nadhani hili linafanywa ili kuficha sehemu ya udhaifu wake na huenda lina baraka zake au za watu wake wa karibui!@!!
afterall mnatakiwa mjue magonjwa mengi sugu yanayoendana na uzee,moyo ,figo,mifupa ...kansa ets ni ghali ..kwa wale ambao mmeshauguza wazee wenu ..mnajua.BInafsi nina rafiki yangu anamlipia mama yake shilingi 400,000 kila wiki kwa ajili ya dozi moja ya sindano...na dozi hiyo itaendelea kwa wiki nane ..na sio kuwa atapona kabisa....sasa kama ukiangalia hilo hutashangaa mtu kutumia milioni 2 kununua dawa....hasa baaada ya kuwa hospitali kama muhimbili siku hizi hawanunui dawa hizi aghali za magonjwa sugu..na hata wakinunua au kupewa msaada zinatoroshewA KWENYE MADUKA YA MADAWA MITAANI!!!!
SIMPLY KWA HILI SPIKA ANADHALILISHWA !!!
HII NDIYO TANZANIA BWANA!!!
JAMANI UMASKINI WETU TUNACHANGIA WOTE, NA WALA SIO RAIS MWENYEWE, CCM YENYEWE, CHADEMA YENYEWE, WALIOKO SERIKALINI WENYEWE, WAZEE WENYEWE, VIJANA WENYEWE... NI KILA MTANZANIA ALIYEO NCHINI, NA ALIYEKO NJE YA NCHI... ASIYEKUWA MWANACHAMA WA JF, NA ASIYEKUWA MWANACHAMA WA JF, MWANAMKE, MWANAMUME, MLEMAVU NA ASIYE MLEMAVU.
SASA UMASIKINI HUU KUDHANI UNALETWA NA SPIKA KUTIBIWA ATI KWA KUWA WEWE UNATIMIWA KWA TZS 10,000/- SI SAHIHI...
KWA TAARIFA YAKO HUYO MWANZILISHI WA HOJA HII ALIYEEIA HIYO RISITI YA DAWA ZA SPIKA, AKIWEKWA KWENYE VIPIMO VYENYE VIWANGO VYA KIMATAIFA, ANAWEZA ONEKANA NA MAGONJWA HATA ZAIDI YA MH. SPIKA WETU, NA UNAWEZA KUHITAJI ZAIDI YA MILIONI 300 KUTIBIWA.
ATI KWA KUWA SISI HATUJALI AFYA YETU BASI NA VIONGOZI WA JAMHURI PIA WASIFANYE HIVYO NI UPOTOSHAJI WA HALI YA JUU SANA.
KUMBUKA... SPIKA, RAIS, JAJI MKUU ... KWENYE HAIRAKI WANARIPOKI KWA JAMHURI... I LEAVE YOU TO DEFINE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NI NINI?
BY THE WAY, HUYU HUYU SPIKA ANGEONDOKA HAPA NA KWENDA INDIA AU LONDON KUTIBIWA ISINGEKUWA HOJA! HAPA HOJA AMENUNUA DAWA HIZI KWENYE DUKA LA DAWA LA OYSTERBAY... SHAME ON US TANZANIANS