Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
Huku wengine tukijitamba kuweza kufika mpaka vyuoni na kuona tuna bahati kwa kupenya kwenye system kuajiriwa na kupokea mishahara ya milion 1.xx, Najiuliza mara mbili mbili nafanya kitu gani na maisha yangu navyoona kuna watu wa kawaida kabisa kiakili, kielimu, n,k wanagnga mapene ya kutosha,
Niliwahi kusoma kwenye shule hizi za privatr katika vipindi tofauti tofauti na watu watatu ambao shuleni walikuwa na uwezo mdogo sana, kwa enzi hizo za miaka yetu ukiwa mtoro, husomi, huna bidii, n.k. ilikuwa ni unavuna unachokipanda division 0 mviriringo ama ukibahatika division 4, sio kama sikuhizi unakuta mtu hana bidii anapiga division 2.
Basi watu hao walizungusha sifuri, pia uwezo wao kiakili ya maisha ulikuwa ni wa kawaidia tu, moja alikuwa anawaza kula muda mwingi, mwengine alikuwa anaonewa licha ya kuwa na mwili, mwngine angalau alikuwa mjanja mjanja ila kwenye mambo ya uhuni tu.
Hao wote waliacha shule lakini kila moja kwa wakati wake kaweza kutushangaza pindi walipoanza kufanya biashara zao, hawakuwa na haja za kujitafuta ili wajipate kwasababu walikuwa na ndugu / wanafamilia wafanyabiashara.
Katika stori na moja wao aliwahi kuniambia yeye hakuwa anajua chochote kuhusu biashara ila alifunguliwa Tin, Alikodishiwa frem, walienda kufanyiwa makadirio apewe tax clearance, n.k. baada ya hapo ndugu yake akawa anampa mizigo kwa bei ya kujumua kisa yeye anauza kwa bei ya mtaani, faida anabaki nayo, mauzo anarejesha kwa ndugu yake.
Mdogo mdogo akaanza fundishwa kuagiza mzigo, mdogo mdogo akaanza kupewa connections, n.k. kabla ya kufika 30 kijana alikuwa anamiliki land cruizer mkonge aina ya double cabin mpya,
Mwengine nae kabla ya 35 ana duka kubwa tu la hardware lakini naye alianza kwa kushikwa mkono, hivi sasa ana chain stores za kutosha
Huyo Mwengine ni story nyingine kabisa, Trip za Dubai kufunga mzigo zimekuwa kama daladala, kasahpata experience ya kutosha, yupo 38 lakini tayari ana kampuni ya usafirishaji lori kama 40 hivi