Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

eldamaty_persier

Senior Member
Mar 18, 2024
118
282
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
 
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
Kupenda hizo timu simba na yanga zitolewe mapema, ili kelele ziishe maofisini na vijueni tupate utulivu.
 
Back
Top Bottom