Ni macho yangu au nimekosea! Msaada nifaamishwe hiki ni kitu gani!

Ndio uje sasa kuwa watumishi wa serikali yenu wanakula mjani, hii kitu ni ganja mzee baba hapo kama ni ofisi ya serikali mjua kuna wala majani hapo , sema kwakua hawana kazi ya kufanya zaidi ya kuhangaika na upinzani na vijimambo kama hivyo angalia vizuri usije kuwa muhanga
Mtumishi wa kweli hawezi kuishabikia CCM.Labda kinafiki ili aishi na Misisiem kwa uzuri.
 
Mkuu iyo ni aina ya weed kwa jina la kitaalam inaitwa 'black jack' na kwa kimeru 'wondering jew'.
kwanza kabisa wondering jew na black jack(bidens pilosa) ni vitu viwili tofauti, pili hiyo ni bangi aka canabis sativa ila kwa mbaali inafanana na bidens pilosa...since hapa kuna picha ya canabis ngoja niweke ya bidens pilosa uone tofauti....

bidens_pilosa26.jpg
 
We fanya hv!!CHUMA MAJANI YOTE ACHA STEM AU MTI WAKE!HALAFU KATA KATA MAJANI YAKE VIPANDE VIDOGO VIDOGO HALAFU PIKA UGALI WAKO!!KAANGA MAJANI HAYO KWA MAFUTA KAMA SANSA UNAWEZA CHANGANYA NA YAI KAANGA PAMOJA WEKA NA CHUMVI ULE KABISA USHIBE!LALA USINGIZI MNONO UJE UNISHUKURU BADAE!!!!
 
Heee.. Tobaaa

Kumbe bangi ndo ipo hivoooo? Asa kwanini mmepanda ofisini jamani si kosa kisheria?

Ila hilo uwa la bangi mbona zuri mi nikajua bangi wanavoisema ni hatari Basi limti lake nilitegemea limetishaaa tishaaa hiviii

Mkuu ng'oa fasta itakuwa kesi hiyo Tafadhali usivunje sheria bwana we ing'oe tu utaenda jela bure shauri yako.
Namwambia mkuu wangu kuna bangi imeota hapa, anasema hana uhakikaki tuache hadi ikomae ndo tu-proof kama kweli ni yenyewe au laa 😂😂😂
 
Namwambia mkuu wangu kuna bangi imeota hapa, anasema hana uhakikaki tuache hadi ikomae ndo tu-proof kama kweli ni yenyewe au laa 😂😂😂
Umekosea mkuu wewe ungeyang'oa tu kimyakimya kaka, kuyaacha ni chanzo cha matatizo watakuja polisi mfungwe iwe msala na mzigo kwa familia mtakazo ziacha uraiani.

Mimi nashauri ung'oe tu mapema kaka think about your tomorrow
 
Imeota kwenye maua ya ofisi sasa hapo nitakamatwa vipi mimi😎🤤🤤
 
NGOA ALAFU KAUSHA THEN VUTA.

HABARI ITAKUWA IMEISHA APO.

ILA SIKU NYINGINE UKIPANDA PANDIA CHUBZ
 
Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani ivi za serikali mkoa kilimanjaro. Ninapo kaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lemeota pembeni yake. Kama nilivoweka picha hapo chini
Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengibe wanasema ni jani tu la kawaida

Mwenye uelewa zaidi kwenye vitu kama hivi

View attachment 1941871

View attachment 1941872
Legacy
 
Ndio uje sasa kuwa watumishi wa serikali yenu wanakula mjani, hii kitu ni ganja mzee baba hapo kama ni ofisi ya serikali mjua kuna wala majani hapo , sema kwakua hawana kazi ya kufanya zaidi ya kuhangaika na upinzani na vijimambo kama hivyo angalia vizuri usije kuwa muhanga
Kuna waziri kateuliwa juzi baba yake aliwahi kuwa mtu mkubwa sana CCM na mkoa fulani hapa Tanzania ambapo ukiwa mkuu wa mkoa huo unajikuta kwamba wewe ni gavana wa CALIFORNIA..Huyo waziri anakula ganja mpaka kesho nilipiga nae school moja Morogoro baba yake alikuwa akisikia mwanae kafanya msala anakuja kumuweka bakora hadharani kipigo haswaaa,Lakini mtoto mpaka kaingia kwenye siasa,kawa mbunge,waziri lakini ganja hadi kesho anapiga hajawahi kuacha tangu tujuane from school mpaka leo hii
 
Back
Top Bottom