Ni kweli hakuna iphone 13 original nchini Tanzania?

Kwa wataalamu hii ni fake ama org?
IMG_20211010_203024.jpg
IMG_20211010_203748.jpg
 
Sasa iPhone ikishawekwa android inakuwaje iPhone?..

iPhone means iOS.

In short itakuwa ni mtu mshamba sana kama ukiuziwa iPhone hizo mnazoziita fake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikasema zipo fake iphones, review zimejaa mtandaoni....Maana ya fake product ni nini ? Fake phones huwa hazina genuine proprietary operating system. Au ni kipi kigumu kuelewa ? The same applied kwenye Symbian operating system, enzi kuna Nokia N-Series, S-60 etc watu wengi walinunua fake Nokia N-95, N-73,N-90 na ndani ilikuwa haina Symbian operating system wajanja waliishia kuweka OS zao wenyewe custom, the same way Blackberry wakati zipo juu kulikuwa na fake zake zinauzwa. Fake phone does not necessarily mean same genuine operating system, it is imitation of the original product na wengi wanaishia kwenye hardware appearance na software ni appearance ya user interface..challenge imekuja tu kwa upande wa simu za android kwa sababu android is open source and you can create custom ROMs na ukauza simu ambayo ipo very close to the original phone.

sasa hawa mbona hawana Iphone13 pro max?
ila kina nenga wanazo kibao
Kama umewahi kwenda znz wakati wa sikukuu unaweza ukakuta tiketi zote za boti zimeisha ila kuna watu nje wanazo ticket wanauza bei kubwa, ni jambo la kawaida.

Hao ambao wanazo wamenunua ama wana network fulani kuzipata mapema ama hata hao jamaa wa store unakuta zimekuja piece chache wanatumia 3rd party chanells kuuza kwa bei kubwa ili kupata faida zaidi. Just imagine simu moja mtu anapata Faida mpaka 1.5m
 
Mange may not be 100% right but she is 90% right. Kuna wauzaji waaminifu ila kuna wapigaji kibao. Hizi iPhone "za Makumbusho" ununue at your own risk.

Nilimpa rafiki yangu iphone yangu ya Makumbusho apeleke apple store US for fixing. Wakamuuliza "is this an iPhone?" Sirudii tena bora nitumie Infinix.

Ogopa sana Iphone inayokuja nchini box peke yake, simu peke yake...
 
Ndio maana nikasema zipo fake iphones, review zimejaa mtandaoni....Maana ya fake product ni nini ? Fake phones huwa hazina genuine proprietary operating system. Au ni kipi kigumu kuelewa ? The same applied kwenye Symbian operating system, enzi kuna Nokia N-Series, S-60 etc watu wengi walinunua fake Nokia N-95, N-73,N-90 na ndani ilikuwa haina Symbian operating system wajanja waliishia kuweka OS zao wenyewe custom, the same way Blackberry wakati zipo juu kulikuwa na fake zake zinauzwa. Fake phone does not necessarily mean same genuine operating system, it is imitation of the original product na wengi wanaishia kwenye hardware appearance na software ni appearance ya user interface..challenge imekuja tu kwa upande wa simu za android kwa sababu android is open source and you can create custom ROMs na ukauza simu ambayo ipo very close to the original phone.

Nimekupata..ila bado naendelea kusema ukiuziwa hizo fake bado utakuwa umezuzuka kabisa labda kama umetoka mpitimbi na kuja mjini kwa mara ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
halafu yeye atafaidika na nini?
Mange Kimambi anashindwa kuelewa concept ndogo tu ya biashara, uwepo wa bidhaa sokoni unatokana na demand&supply. Marekani demand ya simu za gharama kama iPhone ni kubwa kuliko Tanzania hivyo Mara nyengine kupelekea uhaba wa bidhaa sokoni. Lakini hali haipo hivyo Tanzania kwani soko la simu za gharama kubwa Tanzania bado ni dogo.
 
Si kweli kuna Authorized store Tanzania.

Na iphone zile za makumbusho ni refurbished nazo pia sio fake.

Hivyo almost iphone zote Tanzania sio fake.

Na hizo chache feki kwa macho tu unazijua kama uzoefu kidogo wa simu.
Ni kweli kabisa, authorized store ipo na wengine wananunua nje ya nchi. Hata mimi mara mbili nilinunua nje ya nchi (siyo China) kwa hivyo siyo sawa kusema iphone zote za Tz ni fake.
 
Huyo dada nae anakaa huko ila ana ushamba hakuna iphone fake inayotumia iOS wala ku authorise service za apple iphone fake software yake tu ukiwasha unaona sio iphone
 
Back
Top Bottom