Ni kweli hakuna iphone 13 original nchini Tanzania?

Alubati

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
6,867
Reaction score
15,826
Anaandika mange kimambi
Screenshot_20211021-212415_Instagram.jpg
 
Si kweli kuna Authorized store Tanzania.

Na iphone zile za makumbusho ni refurbished nazo pia sio fake.

Hivyo almost iphone zote Tanzania sio fake.

Na hizo chache feki kwa macho tu unazijua kama uzoefu kidogo wa simu.
 
Unajuaje? Ndo wanaeka android humo ndani ?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Si kweli kuna Authorized store Tanzania.

Na iphone zile za makumbusho ni refurbished nazo pia sio fake.

Hivyo almost iphone zote Tanzania sio fake.

Na hizo chache feki kwa macho tu unazijua kama uzoefu kidogo wa simu.
Thanxx
 
uyu kazoea kuropoka hakuna anachojua, labda iyo feki yake inamaanisha nn?og sio lazima ununue aple store kuna zile ambazo zinapata shida kipind bado cha warranty zinarudishwa na kuingizwa tena kwenye production,ndo hizo zimejaa tz ambazo siofeki,zina kila kitu ambacho unapata kwenye hizo yy anazosema og kutoka apple store
 
Yan simu ya juz tayar zipo refurbished?
ndio refurb zinatoka day 1 mkuu, sena si nyingi kama simu ikiwa ya muda mrefu, hasa simu zikiwa na matatizo.

cheki hapo
 
Mkuu mi nimeahika hiyo iphone 13 pro max but for my experience samsung S 21 ultra is far better.
 
Back
Top Bottom