Ni kweli hakuna iphone 13 original nchini Tanzania?

Hiyo website link yako fake, ni ya hao hao wenye maduka, hizo store ulizotaja hata hazipo kwny website ya Apple.
Link ya Apple stores hii hapa
Naona hamjaelewana. Kuna tofauti kati ya Apple stores na Resellers. Kwenye website ya apple utakuta stores tu na sio resellers
Screenshot_20211022-142955_1.jpg


Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Anaandika mange kimamb
So irrelevant to our environment,whether we use the original ones or the underlicence manufactured,it makes no difference.
This is Afrika,where we still suffer from malaria and chorela,.What's the use of hightech phones?!!
We need proper agriculture technology first,once we secure our food,then we may start thinking about those gudgets.
Only 20% leaves in the city,and only fraction of that are able to buy those phones,so what the heck/https://jamii.app/JFUserGuide!!
 
Nimekupata..ila bado naendelea kusema ukiuziwa hizo fake bado utakuwa umezuzuka kabisa labda kama umetoka mpitimbi na kuja mjini kwa mara ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanaonunua hizo fake inakuwa ni tamaa+ ujuzi mdogo wa masuala ya teknolojia, mara nyingi utakuta hata hizo features zilizopo kwenye simu genuine hatakaa aje kuzitumia, wapo wengine wanaonunua feki kwa bei rahisi ilimradi tu avimbe kwa wale washamba wasiojua kuzitofautisha na ikiwezekana hata waziuze kwa faida maradufu
 
mange kachagizwa na wale waliokuwa wanawaponda jamaa wa makumbusho.

as if wanauza simu fake kumbe sio kweli,ni simu OG zilizorekebishwa,na kufungwa upya.
Na cha kushangaza jamaa wa makumbusho wapo fair, simu zao nyingi huwa zinadumu na hata zikisumbua huwa wanaushirikiano katika kutafuta suluhisho...sana sana simu ambayo si ya kununua ni iphone x maana ile ina matatizo mengi sana hasa hizo refurbished
 
Huyo nae alishakuwa mpuuzi tu, kukaa kote state bado anaona mil 2 nyingi, alafu anapenda kuwaona wabongo wajings kama yeye. Tahila mkubwa huyo
 
Sasa ingia kwenye hiyo donain ya Apple tafuta hayo maduka ya bongo kama yapo, na Africa hawana duka kabisa hivyo wauzaji wote wa kiafrika ni wapigaji tuu
Mkuu unashindwa kutofautisha Store ya Apple na Authorized Apple store.

Store ya Apple imetengenezwa na Apple mwenyewe na Authorised Apple Store inamilikiwa na mtu kama mimi na wewe ila wamepewa leseni na Apple kuuza ama kufanya marekebisho ya vifaa vyao.

Kwa logic yako wewe hatuna store ya Samsung, LG, Sony, wala kampuni yoyote kubwa Tanzania.
 
Hata wewe unaweza tengeneza site yako ukajiita reseller, haimaanishi unachouza ni genuine
Hio link Nimekupa website ya Apple hawajijetengenezea wenyewe ni Apple mwenyewe ndio anakuelekeza hayo Maduka Anaya tambua.

Ngoja nikupe mfano mmoja mkubwa, LG alivyoacha kutengeneza simu Kule kwao Korea Ameingia Deal na Apple kuuza Simu za iPhone kwenye Store za LG.

Store ni Za LG sio za Apple ila zinauza IPhone lakini Apple mwenyewe Ame Authorize, je Unafikiri hizi Store za LG ni Feki?
 
So irrelevant to our environment,whether we use the original ones or the underlicence manufactured,it makes no difference.
This is Afrika,where we still suffer from malaria and chorela,.What's the use of hightech phones?!!
We need proper agriculture technology first,once we secure our food,then we may start thinking about those gudgets.
Only 20% leaves in the city,and only fraction of that are able to buy those phones,so what the heck/https://jamii.app/JFUserGuide!!
Hizo luxury goods
Ni sawa na mtu kuvaa cheni ya dhahabu ya milioni 10 shingoni
Uwepo wa malaria na kipindupindu hakuzuii mtu kufanya anachopenda
 
amefanya poor reasoning kwa sababu anadeal na vichwa vya kuku.

simple tu, mzigo umeisha apple store kwasababu suppliers wa dunia nzima walichukua mzigo wa kutosha.
so supplier wa Africa/Tz aliyenunua stock apple store anaweza kuwa bado ana stock yake while apple store mzigo ulishaisha.
Unaambiwa ana masters ya biashara

Sio ajabu anadanga Hadi leo na Hana kazi ya maana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom