mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
Mimi nimetafuta iPhone 13 fake Dar nzima hakuna
uko serious!!
Mimi nimetafuta iPhone 13 fake Dar nzima hakuna
Kwa hiyo mtu ananunua hii akijua ni iPhone OGhii ni iphone fake ndio.
maana ina finnishing ya iphone 13 ila sio halisi.
Ni kweli kabisa ziko fake nyingi lakini siyo sawa kusema iphone zote zilizoko nchini ni fake.Mange may not be 100% right but she is 90% right. Kuna wauzaji waaminifu ila kuna wapigaji kibao. Hizi iPhone "za Makumbusho" ununue at your own risk.
Nilimpa rafiki yangu iphone yangu ya Makumbusho apeleke apple store US for fixing. Wakamuuliza "is this an iPhone?" Sirudii tena bora nitumie Infinix.
Ogopa sana Iphone inayokuja nchini box peke yake, simu peke yake...
Uko sawa. Ukichomeka tu iphone kwenye pc itunes itasoma SN. Pia refurb sio fake.Si kweli kuna Authorized store Tanzania.
Na iphone zile za makumbusho ni refurbished nazo pia sio fake.
Hivyo almost iphone zote Tanzania sio fake.
Na hizo chache feki kwa macho tu unazijua kama uzoefu kidogo wa simu.
Ni kweli kabisa ziko fake nyingi lakini siyo sawa kusema iphone zote zilizoko nchini ni fake.
Hapo ndipo tafauti ilipo.
Sema wale wahun wanapiga pesa mazeeHakuna fake ni refurbished na mnauziwa refurbished kwenye box kwasababu mnapenda simu mpya af hela kidogo so inarudiahwa kwenye box unaziwa hivyo hivyo
Kwa hiyo mtu ananunua hii akijua ni iPhone OG
Nina maana ya fake kama fake zile zinazotoka China na zinauzwa kwenye baadhi ya maduka ya simu. Refurbished nazielewa vizuri, ukienda kwenye maduka ya Europe ikiwa unayo iphone ya zamani na unataka kununua mpya ya version ya juu, basi huwa wanaichukuwa na kukufanyia refund ya fedha. La muhimu ni kwamba isiwe imevunjika au ina michubuko yo yote.Hakuna fake ni refurbished na mnauziwa refurbished kwenye box kwasababu mnapenda simu mpya af hela kidogo so inarudiahwa kwenye box unaziwa hivyo hivyo
Thanx mkuuKuna maduka 3 tu Tanzania ambayo Apple wanayatambua kama Store zao.
-istore Mlimani City
-Elite digital viva towers
-Elite Digital sea cliff.
Pitia website ya Apple hapa kwa ushahidi
Sema jiandae na bei zilizochangamka.
Then watu wanajadili mawazo ya kichaaa? Kuna wakati hata saa mbovu hutoa majira kamili mkuu. La msingi nikuangalia huyi kichaa katoa hoja gani yenye mashiko kwa jamiiHuyu Dada ni Kichaa lkn nashangaa Wabongo wengi bado hawajatambua hilo[emoji1787][emoji1787]
Kumbe?Hilo suala la gharama , ni mind game waliyoicheza wamarekani ili waonekane wana vitu vya bei kali kumbe hamna lolotee
Bonge la point nimecheka hata mieiz miwili bado watu washauziwa eti kutoka USA refurbishedYan simu ya juz tayar zipo refurbished?
Hiyo website link yako fake, ni ya hao hao wenye maduka, hizo store ulizotaja hata hazipo kwny website ya Apple.Kuna maduka 3 tu Tanzania ambayo Apple wanayatambua kama Store zao.
-istore Mlimani City
-Elite digital viva towers
-Elite Digital sea cliff.
Pitia website ya Apple hapa kwa ushahidi
Sema jiandae na bei zilizochangamka.
Hiyo website link yako fake, ni ya hao hao wenye maduka, hizo store ulizotaja hata hazipo kwny website ya Apple.Thanx mkuu
Hiyo website link yako fake, ni ya hao hao wenye maduka, hizo store ulizotaja hata hazipo kwny website ya Apple.
Aisee, kwamba unaweza tengeneza subdomain fake kwenye domain ya Apple?Hiyo website link yako fake, ni ya hao hao wenye maduka, hizo store ulizotaja hata hazipo kwny website ya Apple.
Link ya Apple stores hii hapa
![]()
Apple Store - Find a Store - Apple
Find an Apple Store and shop for Mac, iPhone, iPad, Apple Watch, and more. Sign up for Today at Apple programs. Or get support at the Genius Bar.www.apple.com