Ni kweli hakuna iphone 13 original nchini Tanzania?

Ni kweli hakuna iphone 13 original nchini Tanzania?

Wewe huna akili...Apple wana maduka wanayoyatambua Bongo na yapo hadi kwenye Website yao alafu unaandika eti Apple hawatambui kama wanauza Simu Bongo! Nadhani akili zako zipo kwenye Kinyeo
Ubungo wako umejaa mavi tupu , ndio maana wawaza kinyeo mda wote
 
amefanya poor reasoning kwa sababu anadeal na vichwa vya kuku.

simple tu, mzigo umeisha apple store kwasababu suppliers wa dunia nzima walichukua mzigo wa kutosha.
so supplier wa Africa/Tz aliyenunua stock apple store anaweza kuwa bado ana stock yake while apple store mzigo ulishaisha.
 
Kuna maduka 3 tu Tanzania ambayo Apple wanayatambua kama Store zao.
-istore Mlimani City
-Elite digital viva towers
-Elite Digital sea cliff.

Pitia website ya Apple hapa kwa ushahidi

Sema jiandae na bei zilizochangamka.
sasa hawa mbona hawana Iphone13 pro max?
ila kina nenga wanazo kibao
 
Zipo hata ali express zinauzwa i13, i12 ndani ina android iliyowekewa skin ya ios...kuna jamaa aliwahi kununua i12 karibia miezi sita iliyopita na mpaka leo ipo vizuri
Sasa iPhone ikishawekwa android inakuwaje iPhone?..

iPhone means iOS.

In short itakuwa ni mtu mshamba sana kama ukiuziwa iPhone hizo mnazoziita fake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amefanya poor reasoning kwa sababu anadeal na vichwa vya kuku.

simple tu, mzigo umeisha apple store kwasababu suppliers wa dunia nzima walichukua mzigo wa kutosha.
so supplier wa Africa/Tz aliyenunua stock apple store anaweza kuwa bado ana stock yake while apple store mzigo ulishaisha.
kiongozi tu link tuhakiki hii habari yako..

na kwa nini hawa apple store wa tz hawana hizi simu? ila zimejaa mtaani
 
Si kweli kuna Authorized store Tanzania.

Na iphone zile za makumbusho ni refurbished nazo pia sio fake.

Hivyo almost iphone zote Tanzania sio fake.

Na hizo chache feki kwa macho tu unazijua kama uzoefu kidogo wa simu.
Huyu kazungumzia iPhone 13 mkuu kwa nilivyomuelewa mimi

Ila hata hivyo pale apple store mlimani city sijajua kama zinapatikana au la (iPhone 13)

Refurbished ndo nnayotumia mimi nna iPhone 7 hapa maisha yanaenda hizo iPhone 13 na zenyewe zikiwa refurbished pia ntanunua ila ziuzwe kuanzia 500k lakini

Maana uchumi wangu kwa sasa haujafika huko kwenye kuchukua brand new
 
apple Mlimani city hawana.. mimi waliniambia nisubiri miezi 9 ndio naweza kuipata.

apple store zote za bongo hawana.
 
iPhone fake kugundua ni kitu rahisi sana kwa sababu operating system ya iPhone ipo tofauti kabisa na ya android, kui clone iCloud system/website si jambo rahisi kama baadhi ya watu wanavyofikiria . Mbali na hivyo hamna clone inayoweza tenge ezwa Ika match quality ya camera wala screen za iPhone za miaka ya karibuni kwani ni za gharama sana na quality yake ipo juu mno, hailingani na simu ya bei rahisi.
. hivyo siyo kweli iPhone nyingi Tanzania ni fake. Msiwadharau wa Tanzania kwa kiasi hicho.
Jambo ambalo linawezekana kuwa ni kweli ni kuwa iPhone nyingi Tanzania ni refurbished, na refurbished zinatumika duniani kote hata Apple pia wanauza iPhone refurbished kwenye website yao. Hivyo wala siyo kitu cha ajabu.
Hilo suala la gharama , ni mind game waliyoicheza wamarekani ili waonekane wana vitu vya bei kali kumbe hamna lolotee
 
Back
Top Bottom