Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,457
- 5,325
Inafika 12hrs?Ukiweka resolution kubwa inapotea haraka mno ninazo zote mbili mkuu. Kama hutumii 5G na 120hz itakaa na chaji tofauti na hapo ni maumivu
Inafika 12hrs?Ukiweka resolution kubwa inapotea haraka mno ninazo zote mbili mkuu. Kama hutumii 5G na 120hz itakaa na chaji tofauti na hapo ni maumivu
YesInafika 12hrs?
Unaona mbali sana mkuu.Bongo zikija hata iPhone 13 Mia tano zitaonekana nyingi maana hamna wanunuzi.
ila huyo dada hamjamsoma Tu yeye anataka mmtumie Hela awatumie iPhone
Ok.. Mimi kama simu inafikisha 12hrs On sina shida 😀
Mshamba sana huyo Dada sema hajui bado kama MshambaShida ya mange yeye anajua kila kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23]kashamba kweli haka kapare.Ndio maana kalitaka kumbaka Ali kiba haka.
Authorized store wa iPhone yupo wapi Tanzania?Si kweli kuna Authorized store Tanzania.
Na iphone zile za makumbusho ni refurbished nazo pia sio fake.
Hivyo almost iphone zote Tanzania sio fake.
Na hizo chache feki kwa macho tu unazijua kama uzoefu kidogo wa simu.
Kuna maduka 3 tu Tanzania ambayo Apple wanayatambua kama Store zao.Authorized store wa iPhone yupo wapi Tanzania?
Ila Apple ujue hawana taarifa kama wamewah uza bidhaa Tanzania? Ni soko wanalo liangalia kwa siku za uson ila kwasasa badoSikuwahi kujua kama Mange ni mjinga kiasi hiki..
Anasema USA stock za iPhone 13 pro zimeisha na zinapatikana kwa shida na anashangaa inakuwaje bongo zipo..anasahau kuwa mtu akileta hata iPhone 13 pc 1000 mpaka zijekuisha kwa hapa bongo ni mziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asichofahamu Mange Iphone Hazipatikani kwa Retail price na sio kwamba Hazipatikani Kabisa. Ps5 zina uhaba mkubwa kuliko Iphone ila zipo kibao Bongo.Sikuwahi kujua kama Mange ni mjinga kiasi hiki..
Anasema USA stock za iPhone 13 pro zimeisha na zinapatikana kwa shida na anashangaa inakuwaje bongo zipo..anasahau kuwa mtu akileta hata iPhone 13 pc 1000 mpaka zijekuisha kwa hapa bongo ni mziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha story za Vijiweni wewe, sasa why wana Authorized Shop?Ila Apple ujue hawana taarifa kama wamewah uza bidhaa Tanzania? Ni soko wanalo liangalia kwa siku za uson ila kwasasa bado
Website ya Apple ni vijiwen? Unatumia simu yako kuangalia porn tu sio?? Nenda huko kasome Tanzania haipo, ipo kwenye list ya mataifa yanayoangaliwa siku za hukonAcha story za Vijiweni wewe, sasa why wana Authorized Shop?
Tunazipataje hizi?Asichofahamu Mange Iphone Hazipatikani kwa Retail price na sio kwamba Hazipatikani Kabisa. Ps5 zina uhaba mkubwa kuliko Iphone ila zipo kibao Bongo.
Hivyo kuna watu wamenunua hizo iphone kwa Retail price na sasa hivi wameweka cha juu kikubwa wanaziuza.
Mfano iPhone 13 pro max wanauza hdi 4.2m simu ya Dola 1100 kama sijakosea, hivyo unaona Takriban 1.5m imeongezeka. Same kwa Vanilla iPhone 13 inaenda hadi 2.5m kuna Faida kubwa tu wameweka.