Nina maana ya fake kama fake zile zinazotoka China na zinauzwa kwenye baadhi ya maduka ya simu. Refurbished nazielewa vizuri, ukienda kwenye maduka ya Europe ikiwa unayo iphone ya zamani na unataka kununua mpya ya version ya juu, basi huwa wanaichukuwa na kukufanyia refund ya fedha. La muhimu ni kwamba isiwe imevunjika au ina michubuko yo yote.
Simu fake ya iPhone haitumii iOS unakuta ina muonekano Clone wa iPhone na ukiiwasha ndani ni Android yenye theme kama iOS hyo unaijua ni fake sababu kama una iCloud haiwezi kuingia na huwezi access huduma yoyote ya Apple kama iTunes ,Apple music , iMessages hata wala FaceTime huwa ni android kila kitu
So hizo ni rahisi kuzijua wanaotumia ni mtu anaweza kua mshamba sana na nilizionaga mwanza tu na Kariakoo sijawah ona sehemu rasmi zinauzwa
Simu zote za iPhone 90% zinakua assembled in china maana apple wana factory china kwa ajili hyo sababu huko kuna urahisi wa ku produce vitu ( cheap labor ) unaweza soma YouTube more kwa nn makampuni mengi duniani wana viwanda china kwa ajili ya production
Bongo kwetu hapa watu wengi wanatumia refurbished iPhone tena models old zile iphone 6 mpaka 8 na zinawasumbua sababu unakuta parts nyingi ni old zinakufa kufa lakini huwa ni pure iPhone
Hakuna Apple store bongo ndio maana wauzaji wengi wana agiza kutoka kwa international resales store ingawa yapo maduka kama 3 hapa nchini yanayotambulika na apple kama Trusted resale shops in Tanzania , kuan Elite Computers branch mbili na iStore ya mlimani city
Kitu kingine naona kinawachanganya watu ni Softwares updates za Apple iphone 6 inaishia iOS 12 na apple walitangaza hilo walipo release iOS 13 sasa mtu unakuta ana compare features za iphone 6 na X hizi zina software mbili tofauti inagwa hata kama una old softare unaweza access huduma zote za
Kitu kingine ni design ya simu kutokana na policy ya nchi husika sio simu tu hata vitu kama magari na electronics eqp zingine kila nchi ina policy yake iphone za japan , Uingereza , German ziko tofauti vitu vidogo vidogo mfano simu za US ni lazima uweke symbol ya recycling kama hiyo item ni recyclable or not simu za japan ni lazima iwe na shuttle sound ukipiga picha lazima itoe sauti nk..
So hizi design mbali mbali za nchi pia watu huwa hawazielewi wanahisi design flani ndo original zingine sio which is not true