Ni kweli hakuna iphone 13 original nchini Tanzania?

Ni kweli hakuna iphone 13 original nchini Tanzania?

Bongo zikija hata iPhone 13 Mia tano zitaonekana nyingi maana hamna wanunuzi.
ila huyo dada hamjamsoma Tu yeye anataka mmtumie Hela awatumie iPhone
Ndio tabia yake hiyo, wasiojua akili za mange atawapa shida sana. Zamani enzi za uturn alikuwa anaandika kuhusu fashion pia, Ikawa bongo kukiwa na even anawasubiri maceleb walivyovaa anawaponda balaa, Mange ndiye aliyevumisha msemo wa "kuvaa ronya" Anawaambia maceleb wa bongo mnavaa ronya, halafu hapo hapo akaingiza wazo la kuwauzia nguo za kicelebrity za marekani (as if wanaweza kuafford basi)

Ikawa celeb akienda event na amevaa nguo iliyotoka kwa mange, anamuandika na kumsifia balaa, Na sababu ya low self esteem aliwapata wengi sana hadi walipogundua naye anawapiga, ananunua nguo huko za dola 10 anawauzia laki 2 kwa gharama ya kusifiwa kwenye blog.

Mange janja janja mno.
 
Kwani fake iphone inakuwa ni iphone ? Unaelewa maana ya fake ?

Fake inamaana inakua ina content KAMA za bidhaa furani ila sivyo
Huenda ni mfananio wa muonekano

iPhone zipo za refeblshed
Replacement na seald
Hakuna iphone fake
Tungeita fake kama inapokea ios ila haina baadh ya mambo au vyote kwapamoja
Ila kama ina op ya android ila muonekano wa iphone bas hatuwez kuita hi ni IPHONE FAKE
Eti kwakua tu ina muonekano wa iphone
 
Ina maana kuna Mtanzania ananunua iPhone
Haina iTunes
Haina Siri
Ina memory card
Haina iOS
Serial number haijawa verified by Apple official website
Ina Android?
 
Umejifunga mwenyewe kwenye definition ya fake sasa kama umesema ina content kama ya bidhaa ya aina fulani lakini sivyo, basi ndio hizo fake iphone zilivyo...zina muonekano wa hardware kama iphone lakini sivyo, zina os liyofanyiwa customization kufanana na iOS lakini sivyo. Fake phones zimeanza kutengenezwa toka tunatumia Symbian za Nokia (S60) na wengi walikuwa wanalizwa kwa muonekano unaotaka kufanania na Nokia lakini hazikuwa na Symbian operating system, Blackberry zilivyokuja watu walilizwa hivyo hivyo...fake inatengenezwa kufanania na bidhaa halisi kwa lengo la upotoshaji. Fake za siku hizi upande wa Android ndio kidogo imekuwa rahisi kwa watengenezaji kuweka same os na original vendors, kwa sababu tu android ni open source operating system lakini fake za simu zilizokuwa kwenye chati zamani kama Nokia na Balckberry hazikuwahi kuwa na os ya vendor zilikuwa ni custom os tu inayojaribu kufanania na original os.
 
Ina maana kuna Mtanzania ananunua iPhone
Haina iTunes
Haina Siri
Ina memory card
Haina iOS
Serial number haijawa verified by Apple official website
Ina Android?
Wapo washamba wachache ambao hata hawajui iOS ni nini wanaolizwa ila kwa ulimwengu wa sasa idadi ya hao raia inazidi kupungua kwa kasi
 
Labda kwa faida ya wachache tu, wenye iPhone na wasionazo hasa kwa wale wenye ku-afford used au second hand iPhones ni kwamba:

1. Kama model number ya iPhone yako inaanza na “M” au “P” basi your iPhone was purchased Brand New. (Hiyo Inayooanza na “P” ni zile Personalized iPhones with engraving ambazo ziko customized kwa michoro/maandishi etc vile impendezavyo mteja kwenye cover lake)

2. If the first letter is “N” your iPhone is an Apple replacement phone was replaced likely due to a service request (ama kudevelop problem/kuwa na fault) & by the way these ones are refurbished by Apple themselves

3. If it starts with “F” your iPhone was refurbished by a carrier or a third-party vendor.

4. And the one starts with “4” that’s a demo version of iPhone.

Pia Hapo hapo kwenye model number ya iPhone Kuna vingine pia vya kutambua kuhusu iPhone yako including zile herufi mbili za mwisho kabla ya slash (/) ambazo-zinaspecify country of origin kwa mfano iPhone yenye model number MKR32LL/A hizo LL represents US n.k. na hiyo M ya kwanza kama nilivyoeleza kule juu.

So, ni hayo tu kwa uchache hasa kwa hizi used unakuta ilishabadilishwa cover kwa fundi ukiicheki kwenye data base kwa kutumia IMEI/Serial number au Model number ya iPhone unakuta rangi tofauti thou details za chassis ni zile zile.
 
Si kweli kuna Authorized store Tanzania.

Na iphone zile za makumbusho ni refurbished nazo pia sio fake.

Hivyo almost iphone zote Tanzania sio fake.

Na hizo chache feki kwa macho tu unazijua kama uzoefu kidogo wa simu.
Sijawahi kuelewa mtu anawezaje kuuziwa iphone fake. Android sawa lakini iOS labda awe hajawahi kabisa tumia iphone
 
Hio link Nimekupa website ya Apple hawajijetengenezea wenyewe ni Apple mwenyewe ndio anakuelekeza hayo Maduka Anaya tambua.

Ngoja nikupe mfano mmoja mkubwa, LG alivyoacha kutengeneza simu Kule kwao Korea Ameingia Deal na Apple kuuza Simu za iPhone kwenye Store za LG.

Store ni Za LG sio za Apple ila zinauza IPhone lakini Apple mwenyewe Ame Authorize, je Unafikiri hizi Store za LG ni Feki?
Mkuu achana nao hao, hata uwaeleweshe vipi hawawezi kuelewa.
 
Umejifunga mwenyewe kwenye definition ya fake sasa kama umesema ina content kama ya bidhaa ya aina fulani lakini sivyo, basi ndio hizo fake iphone zilivyo...zina muonekano wa hardware kama iphone lakini sivyo, zina os liyofanyiwa customization kufanana na iOS lakini sivyo. Fake phones zimeanza kutengenezwa toka tunatumia Symbian za Nokia (S60) na wengi walikuwa wanalizwa kwa muonekano unaotaka kufanania na Nokia lakini hazikuwa na Symbian operating system, Blackberry zilivyokuja watu walilizwa hivyo hivyo...fake inatengenezwa kufanania na bidhaa halisi kwa lengo la upotoshaji. Fake za siku hizi upande wa Android ndio kidogo imekuwa rahisi kwa watengenezaji kuweka same os na original vendors, kwa sababu tu android ni open source operating system lakini fake za simu zilizokuwa kwenye chati zamani kama Nokia na Balckberry hazikuwahi kuwa na os ya vendor zilikuwa ni custom os tu inayojaribu kufanania na original os.

Labda kwa hivyo
Sikua nmekusoma
Ila kusema kuna iphone ina ios af ikawa fek hapana
 
Refub wakat tutorial YouTube zinasema kwa Sasa iPhone uwezi itengeneza are kubadili kitu yeyote otherwise simu Kuna baadh ya vitu avito function sawa
 
Si kweli kuna Authorized store Tanzania.

Na iphone zile za makumbusho ni refurbished nazo pia sio fake.

Hivyo almost iphone zote Tanzania sio fake.

Na hizo chache feki kwa macho tu unazijua kama uzoefu kidogo wa simu.
Fact! iPhone fake rahisi sana kuitambua kwa macho tu na hata ndani tofauti na brands zingine kama Samsung.
 
Back
Top Bottom