EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo.

Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii

==============

Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF wenyewe wakionesha kuwa walikuwa na utaratibu mpya, lakini baadaye wameona umeleta utata wameufuta.

Dakika 20 baadaye taarifa ikatolewa na Wizara ya Afya kuwa wamesitisha utaratibu huo mpya, ikumbukwe kuwa awali hakuna taasisi yoyote kati ya hizo mbili iliyojitokeza kuzungumzia kuhusu utaratibu mpya.

Inamaanisha kuwa baada ya presha kuwa

Screenshot_20220803-153529_WhatsApp.jpg

1b1c4f19-f5e4-48e0-9b47-29577907d102.jpg
 
"Maboresho hayo yalikua na lengo la kuepusha matumizi ya huduma za bima yasiyo sahihi na hivyo kuongeza gharama sisizo za lazma".

Ni wazi sasa wataalam wa masuala ya bima za afya wataketi na kuja na suluhu yenye tija dhidi ya tatizo linalopelekea kuongezeka kwa gharama zisizo za lazma.

Ipendekezwe suluhu yenye kuleta tija bila kusababisha athari hasi kwa wanufaika wa huduma hizo za bima ya afya.
 
Baada ya wananchi kipigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye wamesitisha mabadiliko hayo.

Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii

==============

Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF wenyewe wakionesha kuwa walikuwa na utaratibu mpya, lakini baadaye wameona umeleta utata wameufuta.

Dakika 20 baadaye taarifa ikatolewa na Wizara ya Afya kuwa wamesitisha utaratibu huo mpya, ikumbukwe kuwa awali hakuna taasisi yoyote kati ya hizo mbili iliyojitokeza kuzungumzia kuhusu utaratibu mpya.

Inamaanisha kuwa baada ya presha kuwa

Boss wako anakanusha na wewe unakanisha. Mh! Kazi ipo. Coordination haijakaa sawa.
 
Hawa jamaa kila wanachofanya wanatujaribu,tukijaa wanaendeleza udhalim.

Hata kwenye mafuta ni the same tu
 
Serikali imesikia kilio Cha wananchi kuhusu utaratibu mpya wa matibabu wa NHIF
IMG_20220803_162131.jpg
 
Back
Top Bottom