Nyongeza imekuwa tabu....Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
hamna, binafsi nahitaji kufahamu piaUlipata jibu?
Aende tu govt for job security ila hapo prvt anaishi vzr.Mshahara wa mwalimu wa degree masomo ya sayansi anaenza kazi ni shilling ngap?
Kuna She yupo privet school take home ni 880K
Free house (vyumba viwili choo jiko sebule)
Free umeme (haukatiki)
Free water(hayakatiki)
Free food (kwake yeye muajiriwa)
Free shamba (heka 5 za mpunga)
Anataka aende government
Sasa hy 880k anaifanyia nn kama kila kitu anafanyiwa na hy shule.?Mshahara wa mwalimu wa degree masomo ya sayansi anaenza kazi ni shilling ngap?
Kuna She yupo privet school take home ni 880K
Free house (vyumba viwili choo jiko sebule)
Free umeme (haukatiki)
Free water(hayakatiki)
Free food (kwake yeye muajiriwa)
Free shamba (heka 5 za mpunga)
Anataka aende government
Kwa mfano mwalimu wa secondary mwenye Bachelor ananzia sh ngap hapoo?Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
Kwa mfano mwalimu wa secondary mwenye Bachelor ananzia sh ngap hapoo?
Mwambie aache ujingaMshahara wa mwalimu wa degree masomo ya sayansi anaenza kazi ni shilling ngap?
Kuna She yupo privet school take home ni 880K
Free house (vyumba viwili choo jiko sebule)
Free umeme (haukatiki)
Free water(hayakatiki)
Free food (kwake yeye muajiriwa)
Free shamba (heka 5 za mpunga)
Anataka aende government
Anataka akazae ana miaka 28 hana mtotoSasa hy 880k anaifanyia nn kama kila kitu anafanyiwa na hy shule.?
Atulie hapo hapo huku akihifadhi hy pesa ili siku ya Bahati mbaya ikimtokea kuondolewa hapo shuleni apate pa kuanzia.
Kwann?Mwambie aache ujinga
Duh bc pole yake, kwa huo mshahara na hayo mambo mengine hawezi kuyapata akiwa government, gvmnt n shida tuu Ila security ndo watu wanakimbilia.Anataka akazae ana miaka 28 hana mtoto
Shule aliyopo akipata mimba ndio basi tena
Ndio tatizo la private hata akipata ugonjwa mda mrefu ndio hana chake.Anataka akazae ana miaka 28 hana mtoto
Shule aliyopo akipata mimba ndio basi tena
Anatazaa akiwa ndoani au akiwa kwenye usingle?Anataka akazae ana miaka 28 hana mtoto
Shule aliyopo akipata mimba ndio basi tena