Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,883
- 1,851
Jamani wana Jf, Hivi mwalimu wa primary analipwa sh ngapi kwa mwezi?
Labda wanalipwa posho hao.....Mbona sioni tgts,
Heshima mbele wakuu.
Nimerudi home na nisingependa kurudi tena ughaibuni kuhangaika na box, nimebahatika kuishi huko kwa miaka 9, ambapo nilipata degree yangu ya Business administration Marketing + Sales na kufanya kazi kwenye baadhi ya corporation za banking na Telecom kwa kipindi cha miaka mitano.
Ningependa kujua viwango nya mishahara ya hapa nyumbani, hasa hasa kwenye sekta za finance kama banking na kampuni zakutoa mikopo na vile vile kwenye sekta ya Telecommunication/communication.
Asanteni kwa hayo.
Kunta
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
[/LEFT]
[/CENTER]
wakuu naomba kujua Kati ya hizi scale mbili ipi ni nzuri..nahitaji kujua kiasi kwa hiyo PHTS 1