Mambo ya Kamlete haya leo nimeambiwa nichague kati ya National Auditing Office, TRA, NSSF, na BIMA

Nina Degree ya Kwanza Katika Accounting and Finance (BAF)

Please naombeni ushauri na Salary figures kwa kima cha chini kwa mimi ninayeanza kazi

Karibu!
sasa siumuulize huyo aliye kuhaidi kukupeleka kwenye kazi???
utoto raha sana jamani :majani7::majani7::majani7:
 
Nyie ndo mnakuwa mizigo kazini, sabab ya kupelekwa hukuomba Kazi umepelekwa tu..eti nimeambiwa nichague ujue watu humu wanasifa za kufanya kazi huzo wanatafuta hawapati we unakuja na utoto wako humu ndani...p.mba.f kabisa!
 
Ndiyo maana nimekwambia nimemaliza First degree kwani nimekuambia mimi ni standard seven acha wehu ndugu!
 
What i have discovered people are panicking lakini niwakumbushe tuu mi mwenyewe nimemaliza 2014 hadi sasa sijapata kazi lakini huyu kigogo niliyempata now najua kabisa nitapata kazi that why nimelileta huku lakini some mnakuja na Matusi na Kejeli siyo Poa!
 
Nyie ndo mnakuwa mizigo kazini, sabab ya kupelekwa hukuomba Kazi umepelekwa tu..eti nimeambiwa nichague ujue watu humu wanasifa za kufanya kazi huzo wanatafuta hawapati we unakuja na utoto wako humu ndani...p.mba.f kabisa!

Hii siyo sehemu ya mipasho na taarabu!
 
Kama mnapeana kazi huko ni afadhali ungeenda kimya kimya haikuwa lazima uje ujitangaze humu. hii inamaanisha hizo taasisi lazima zitangaze izo nafasi watu wajisumbue kutuma CV, wajikusanye vijihela vya nauli kufanya interview, tena wawajaze national stadium mwishoni unajiriwa wewe bila interview! af unatetea u.ji.nga wako humu. Post yako inaonesha dhahiri hujielew pamoja na kusoma BAF. Usiwaumize wengine wasio kuwa na watu wakuwa ambia wachague km ww
 
Bro kazi inatakiwa uipende toka moyoni kwamba u want kufanya kazi fulani so najua kabisa kati ya hzo una choose yako toka moyoni kuleta hoja hapa ni kutaka kuonyesha prestige!
 
Nenda tra best huko mishe nyingi hutotegemea mshahara tu. Mnaoponda na kukejeli nyie ikitokea mtu kawaambia awape kazi kwa mlango wa uani mtakataa? Acheni hizo banah
 
Nenda tra best huko mishe nyingi hutotegemea mshahara tu. Mnaoponda na kukejeli nyie ikitokea mtu kawaambia awape kazi kwa mlango wa uani mtakataa? Acheni hizo banah hii nchi ishakua ya hovyo haina budi kukubaliana na hali
 
umekula bange ya wapi,au ya nyasincha nin huko rorya
 
umefanya kosa kubwa sana kusema umeambiwa uchague na kigogo mkuu???????? yani akama ni mpitaji wa jf anakupiga chini huna siri na hufai kwa matumizi ya vigogo
 
Back
Top Bottom