Sasa mbna mshahara wote wamekata nitaishije? Nikianza kazi?.. Serious am frustrated kabla hata sijapangiwa hiko kituo cha kazi'
Mwalimu mwenye degree mshahara ni sh. 532,290/= baada ya makato yote anapata 383,330/=
 
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa

nadhani take home inaweza kua 320,000.00


hivi ni lazima kuwa mwana chama wa cwt?
 
Ni wazo zuri, lakini ni wangapi wapo kwenye maeneo yanayofaa kwa kilimo, maeneo yenye maji ya kumwagilia ya uhakika kama unavyojua mvua siku hizi haziaminiki, huo mtaji wa kuanzia kununua hizo pampu ataupatia wapi? TAFAKARI HAYO!!!
 
hizi ni scale za zamani, za mwaka huu ni kama ifuatavyo.
TGTS/D/1- BASIC NI 532,000
wakikata PSPF -26600
CWT 10,640
income tax 57,808
bima ya afya 15960
RCUR 32.95
RPRV 58.95

PIGA MWENYEWE TAKE HOME NI 421,018
 
hizi ni scale za zamani, za mwaka huu ni kama ifuatavyo.
TGTS/D/1- BASIC NI 532,000
wakikata PSPF -26600
CWT 10,640
income tax 57,808
bima ya afya 15960
RCUR 32.95
RPRV 58.95

PIGA MWENYEWE TAKE HOME NI 421,018

Hapo bado hawajakata HESLB
 
Back
Top Bottom