IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,333
Nenda kwenye page ya VOA straight talk afrika.JAMANI NIONE WAPI MAHOJIANO???? STAR TV HAKUNA KITU WAPIIIII
Kiufupi Lisu hana jipya ila Lumumba kamfunda, akifanyia kazi atafika mbali
Nenda kwenye page ya VOA straight talk afrika.JAMANI NIONE WAPI MAHOJIANO???? STAR TV HAKUNA KITU WAPIIIII
Lumumba yupo Kenya. DP Ruto ni tishio. Rushwa kila sehemu. Yy amefanya nn KenyaNenda kwenye page ya VOA straight talk afrika.
Kiufupi Lisu hana jipya ila Lumumba kamfunda, akifanyia kazi atafika mbali
Kama mnategemea star tv kurusha live huu mpambano mnajidanganya, TL akianza kumpiga spana marehem star tv watachomekea tangazo la biashara au tanesco wanafanya wao..
Bavicha tumeni clip ndogi ndogo muone tofauti ya profesa na mwanasheria msomi ,profesa kamnyoosha MTU huko analalamika kama yatima
Yeye huyo lumumba mbona hajafika mbali?Nenda kwenye page ya VOA straight talk afrika.
Kiufupi Lisu hana jipya ila Lumumba kamfunda, akifanyia kazi atafika mbali