Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

Tunakumbushana tu na wala isiwe nongwa.

Taifa liko kwenye Maombolezo ya siku 21 hivyo ni vema tukajikita kwenye maombolezo na kumuombea mwendazake.

Sitashangaa kama mh Dr Diallo ambaye ni mwenyekiti wa CCM mkoani Mwanza mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na Waziri mstaafu atazuia kurushwa kwa mahojiano hayo ya akina Tundu Lisu yatakayokuwa mubashara.

Ki zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
Wewe unataka arushe ili iweje? anzishe tv yako au ile yenu ya CCM TBC-CCM na channel ten
 
Mkuu nakubaliana na wewe. Kama Radioni tu, wanakata hata visehemu vya taarifa ya habari ambayo walikuwa hawajui kitasemwa nini, sembuse hicho kipindi ambacho wanajua kitakacho ongelewa!
Upo sahihi. Hii ndio media iliyoamua kujitia kamba za miguu, mikono, mdomo, fikra na kuamua kufanya kazi kitumwa halisi.
 
IMG_8249.jpg
 
Tunakumbushana tu na wala isiwe nongwa.

Taifa liko kwenye Maombolezo ya siku 21 hivyo ni vema tukajikita kwenye maombolezo na kumuombea mwendazake.

Sitashangaa kama mh Dr Diallo ambaye ni mwenyekiti wa CCM mkoani Mwanza mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na Waziri mstaafu atazuia kurushwa kwa mahojiano hayo ya akina Tundu Lisu yatakayokuwa mubashara.

Ki zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
Akili za kindondocha
 
Aibu kubwa sana hii yani mkenya anaenda kutetea mazuri yaliyofanywa katika nchi yako lakini wewe na akili zako timamu unaanda maneno ya kwenda kukashifu nchi yako uliyozaliwa.

Huyu jamaa TL naamini hata familia yake binafsi itakuwa inampuuza kinamna namna.
Aibu hakuona mnafiki na mwizi aje some TL!?
 
Back
Top Bottom