2009 mbona ni juzi tu? halaf kigoma mbali wewe ingekuwa morogoro sawa.ana wivu sana mmewe unajua wivu
pata picha rafiki yangu kwao dar wanaish kigoma but since2009 walivyooana kwao dada karudi mara moja tu

Mkuu binadamu sio kiwanda kwamba akizaa watoto wanakuwa wanafanana kila kitu. Unaweza kukuta huyo dogo ni mcharuko balaa.Wewe kweli nyumba kubwa
Wanawake wa aina yako wameisha hapa duniani aisee inabidi kuanzisha kampeni maana mnakaribia kupotea kabisa kama tembo wanavyo potea kutokana na ujangili
Kama una mdogo wa kike naomba unipe mimi nimuoe maana naamini atakuwa na busara kama zako
We naye unakuwa kama kilaza angekuwa anataka hivyo angemlipia ada aende huko chuo??Huyo mwanaume hana lolote anataka tu papuchi ibaki karibu yake alikuwa anamtafutia sababu tu
We naye unakuwa kama kilaza angekuwa anataka hivyo angemlipia ada aende huko chuo??
Mawazo ya nn wakat mwenzio kiburi.
yaani yy achepuke afu kuomba msamaha hataki? hii ndo shida ya wanawake wengi wakishapata kaelimu kidogo... taabu sana.
Thats wot I thot. Keep it upSio kama kilaza...mi kilaza kwelikweli
Easy teacher, You are better than this Gosh!!we kima usinletee stress zako.
kondoo jalala we.
pita hv.
umeelewa nlichoandika?
risasi umeshindwa kumpiga mamako alipokuzaa ukiwa kichwa maji utanipiga mimi?
shwain!
Sio kama kilaza...mi kilaza kwelikweli
Hawa ndio wanalalama kila siku mwanaume anachepuka kumbe yeye ndio nguli wa kufunua marinda mwanamke punga kabisa huyo yani alete jeuri dhaur zooote wakati kafanya kosa??? hapa ndio nashindwa kuwaelewaga wanawake wenzangu ptuuu
Hata ingekuwa message ya kawaida...like hello; how is your holiday...inapaswa kutolewa maelezo yaliyonyooka kama mume atayahitaji badala ya majibu ya kebehi...
Maana fikiria wamefunga chuo, yuko Kigoma...kuna jamaa sijui yuko Iringa sijui Dar anamjulia hali mke wa mtu...maanake kamkumbuka sijui kam miss...
Ngoja na mimi nikiri humu hata mimi nina wivu...mume wangu say awe likizo afu mdada tu wanayefanya wote kazi atume message kumjulia hali sijui 'miss u' labda zisifike mbili... lazima niulize kunani...kwa nini huyu tu anakukumbuka? Mtu akae tu huko aliko aanze tu kumkumbuka mume wangu...ha ha ha...mimi mbona sikumbuki wala kuwamiss waume za watu au vijana...
Wote tumeuziana uhuru wetu tuliposema 'I do' mbele ya Mungu na Kanisa...
yani watu kwa kujihesabia haki hatujambo!
huyo mume alikuwa anajua anaishi na malaika?
mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa nyama ukae ukijiaminisha hawezi kukosea?
Mungu huyu katuumba na tunamkosea,leo wewe mke kumkuta na sms unataka mpk baraza la vyama vya ushirika lisikae?
mxeeeew
watu wa hv hupata shida sana na haya maisha!
mke kakutwa na sms,fine
then,one of ur gateaways kujiridhisha umetoa adhabu ni kutengana?
ehehehehehe

Stop judging a person just because they seen differently than you.
ukweli msg za kawaida ila mme ana wivu
so masharti anaona magumu
alichokosea alipoulizwa mwanzo mke alijibu jeuri(mwenyewe ndo alinambia )
mume akampa conditions hizo