Ndoa ngumu jamani

Ndoa ngumu jamani

Huyo rafiki ako anakiburi sana.. leo elimu ni bora kuliko mume kweli.. inatakiwa ifike kipindi aishi kama matured person mbona ana behave kama mtoto wa secondary? Nawe unaona nani aba makosa? Maana unataka sasa kuekekea upande mmoja kwasababu unamwambia avumilie ye alikwambia anateswa? Au kwa maamuzi hayo ya mumewake unaona ameonewa? Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Ndoa kwanza Elimu baadae.
 
Habarini za jumapili
nna rafiki yAngu km ndugu yangu ameolewa huu ni mwaka wa tano ana watoto 2
ameenda chuo mwaka jana maana na alikosa mkopo mumewe ndo msomeshaji
mume ana wivu hatarii kipnd
yuko likizo mmewe kakuta msg kutoka kwa mwanachuo mwenzie,mume kapaniki mke nae akaja juu badala ya kuomba msamaha
mume akampa option 3 aache chuo afu ajiunge na OPEN this year au aombe ajira za serikali afanye kazi ajisomeshe mwenyewe mana ana stashahada ya ualimu ila alivyomaliza hakuenda gvt alienda private kumfata mmewe
Ya tatu watengane
mme kamkatalia katu kurudi chuo
my friend kaniambia yuko tayari kutengana mana hawezi kumnyenyekea tena
mi nimemwambia endelea kuomba msamaha tu my friend kasema kamuomba ila jamaa hataki
mi sijamshauri kutengana ilA nimemwambia kua mvumilivu yataishA
vyuo wanafungua hv karibuni but still mme amekomaa mdada kanambia yaani hana mda wa kunyenyekea MUNGU mtu tena elimu kwanza...
Mana kashapoteza sana
jamani naombeni mawazo yenu ili huyu dada na mmewe wasiachane tafadhalini

Kwa ujeuri huo ana mchepuko.
Huwezi leta jeuri ya namna hiyo kwa anayekusomesha.
 
Ariella A.K jamaa naona kampamba na kumtetea kana kwamba yeye ndo huo mchepuko wa huyo dada
 
Habarini za jumapili
nna rafiki yAngu km ndugu yangu ameolewa huu ni mwaka wa tano ana watoto 2
ameenda chuo mwaka jana maana na alikosa mkopo mumewe ndo msomeshaji
mume ana wivu hatarii kipnd
yuko likizo mmewe kakuta msg kutoka kwa mwanachuo mwenzie,mume kapaniki mke nae akaja juu badala ya kuomba msamaha
mume akampa option 3 aache chuo afu ajiunge na OPEN this year au aombe ajira za serikali afanye kazi ajisomeshe mwenyewe mana ana stashahada ya ualimu ila alivyomaliza hakuenda gvt alienda private kumfata mmewe

Ya tatu watengane
mme kamkatalia katu kurudi chuo
my friend kaniambia yuko tayari kutengana mana hawezi kumnyenyekea tena
mi nimemwambia endelea kuomba msamaha tu my friend kasema kamuomba ila jamaa hataki
mi sijamshauri kutengana ilA nimemwambia kua mvumilivu yataishA
vyuo wanafungua hv karibuni but still mme amekomaa mdada kanambia yaani hana mda wa kunyenyekea MUNGU mtu tena elimu kwanza...
Mana kashapoteza sana
jamani naombeni mawazo yenu ili huyu dada na mmewe wasiachane tafadhalini

Mimi nashauri huyo mwanamke aachane tu na huyo mumewe sidhani kama ana mapenzi ya dhati kwa huyo mwanaume inaonesha kwa sasa anachodowea ni ada tu akimaliza chuo atatengeneza mazingira ya kuachana. Bora akajiondoa mapema kabla hajamchuna sana huyo 'buzi' wake, hao michepuko nao wabebe mzigo wa kulipa ada kidogo wasidowee vya bure.
 
Inategemea ni uzito gani anaipa ndoa yake..

Social network haiwezi kuwa muhimu kuliko ndoa...
Nakumbumbuka kuna siku mimi na mume wangu tuliwai ku discuss whether we real need to be on facebook...

Mi kila mtu anajua nimeolewa; sioni aibu kuwaambia office mate ukweli kuwa mume wangu ana wivu waache kunitania tania...na wala sipati message zozote toka jinsia nyingine kwa kuwa nime draw a line...na sioni aibu kuwa under someone else's control...to me that is love...uhuru lazima uwe na mipaka...

Sasa kwa experience na habari zilizozagaa kuhusu wake za watu vyuoni; mdada alitakiwa awe extra careful asijiwekee ukaribu na jinsia ya kiume...mwanaume yeyote mwenye kujua position yake lazima awe makini sana mkewe akiwa chuoni...maana anajua michezo inayoendelea...

Kuna mtoto wa aunt yangu alikuwa anasomeshwa na mumewe CBE yani hadi aibu...anarudi usiku wa manane eti group discussion...na mumewe bwe.ge...group discussion my foot...kabinti kazuri kweli kweli na nyepesi nyepesi ni kuwa ana behave just like any single lady...ana date kama kawa chuoni na mujini...

All I can say ni kwamba huyo mwanaume aliekuoa wewe, ana bahati sana! Hopefully mnaelewana sana with your hubby, na inaonekana ndoa yenu ipo imara! Thumb up my sister.

Siku hizi... kupata mwanamke kama wewe ni nadra sana! Most of women (hasa wenye kisomo) siku hizi wana kiburi na jeuri sana, yaani hawaoleki na wanaachika sana. Alafu they end-up blaming us kwamba eti oooh siku hizi waoaji hamna, wakati kumbe wao ndo uozo!!

Aaaaarggh I will marry when I want!!!
 
huyo rafiki yako hajua afanyalo,,,,,mwache asikilize moyo wake coz kabla hajakwambia alishaamua.....mwambie ahamie kwako kabisa....
 
Hata mm nimethibitisha wanawake wasomi ni pasua kichwa, utakuta ulijitahidi aondokane na ujinga akishakuwa mjanja anataka ufate yale anataka hata akikuletea mwanaume akakutambulisha ni ndugu yake ukubali tu wala usiulize
 
yani watu kwa kujihesabia haki hatujambo!
huyo mume alikuwa anajua anaishi na malaika?
mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa nyama ukae ukijiaminisha hawezi kukosea?
Mungu huyu katuumba na tunamkosea,leo wewe mke kumkuta na sms unataka mpk baraza la vyama vya ushirika lisikae?
mxeeeew
watu wa hv hupata shida sana na haya maisha!
mke kakutwa na sms,fine
then,one of ur gateaways kujiridhisha umetoa adhabu ni kutengana?
ehehehehehe

Acha kushaur upumbavu,jiweke nafasi ya mtendwa(mwanaume)...hujui maumivu ya mapenzi haswa ndoa tulia,nyie ndo huwa mnapigwa risasi...hamfadhiliki,mnashindwa kujiheshimu...

Hao ndo wale wale waharibifu na wapenda vya bure wanajipa matumaini
 
Naomba umwambie huyo dada asiache chuo huyo mwanaume ana makubwa anayofanya lkn mkewe hajawai ona tu sasa akitaka kuwa house girl aache chuo ,simama mwanamke imara usitetemeshwe na maisha ya leo jua ya kesho .

Unasema simamia maisha ya kesho ni yapi? Kifupi maisha unayaaishi sasa ndio yako. Unadhani mumewe hataki mkewe asome? Ebu soma uzi.. Mi nimeona ametoa option 3 moja wapo bado aendelee na masomo. Ajira ya kwanza ni mume weka kichwani, hakuna mume mwenye mapenzi ya kweli kwa mkewe ambae huchoka kumhudumia, elimu ipo tu na inasaidia sana katika kufikiri na kutatua matatizo.

Maelewano na hasa kutambua nani ni kiongozi wa familia huepusha mikwaruzano kama hii, unasoma sawa lakini unandoa tayali, kwani ndoa sio muhimu?

Naona kuna shida ya mawasiliano na utii lakini sioni ugumu wa ndoa hapo. Labda usaliti uchikue mkondo.
 
Habarini za jumapili
nna rafiki yAngu km ndugu yangu ameolewa huu ni mwaka wa tano ana watoto 2
ameenda chuo mwaka jana maana na alikosa mkopo mumewe ndo msomeshaji
mume ana wivu hatarii kipnd
yuko likizo mmewe kakuta msg kutoka kwa mwanachuo mwenzie,mume kapaniki mke nae akaja juu badala ya kuomba msamaha
mume akampa option 3 aache chuo afu ajiunge na OPEN this year au aombe ajira za serikali afanye kazi ajisomeshe mwenyewe mana ana stashahada ya ualimu ila alivyomaliza hakuenda gvt alienda private kumfata mmewe
Ya tatu watengane
mme kamkatalia katu kurudi chuo
my friend kaniambia yuko tayari kutengana mana hawezi kumnyenyekea tena
mi nimemwambia endelea kuomba msamaha tu my friend kasema kamuomba ila jamaa hataki
mi sijamshauri kutengana ilA nimemwambia kua mvumilivu yataishA
vyuo wanafungua hv karibuni but still mme amekomaa mdada kanambia yaani hana mda wa kunyenyekea MUNGU mtu tena elimu kwanza...
Mana kashapoteza sana
jamani naombeni mawazo yenu ili huyu dada na mmewe wasiachane tafadhalini

huyu sio wife material!!! mlimbukeni wa elimu....kuna jamaa alisema bora kuoa form4 au la saba kuliko hawa stress
cc Viol
 
Last edited by a moderator:
Inategemea ni uzito gani anaipa ndoa yake..

Social network haiwezi kuwa muhimu kuliko ndoa...
Nakumbumbuka kuna siku mimi na mume wangu tuliwai ku discuss whether we real need to be on facebook...

Mi kila mtu anajua nimeolewa; sioni aibu kuwaambia office mate ukweli kuwa mume wangu ana wivu waache kunitania tania...na wala sipati message zozote toka jinsia nyingine kwa kuwa nime draw a line...na sioni aibu kuwa under someone else's control...to me that is love...uhuru lazima uwe na mipaka...

Sasa kwa experience na habari zilizozagaa kuhusu wake za watu vyuoni; mdada alitakiwa awe extra careful asijiwekee ukaribu na jinsia ya kiume...mwanaume yeyote mwenye kujua position yake lazima awe makini sana mkewe akiwa chuoni...maana anajua michezo inayoendelea...

Kuna mtoto wa aunt yangu alikuwa anasomeshwa na mumewe CBE yani hadi aibu...anarudi usiku wa manane eti group discussion...na mumewe bwe.ge...group discussion my foot...kabinti kazuri kweli kweli na nyepesi nyepesi ni kuwa ana behave just like any single lady...ana date kama kawa chuoni na mujini...

So smart
 
Nimependa busara zako mama!! wanawake kama wewe ni wa kutafuta kwa tochi!! dahh acha tuendelee komaa na hawa kama huyu aliyeletwa na mleta mada naamin tutapata kama wewe siku moja!!!
 
Ndoa sio ngumu ila kuna wapumbaf wachache wanafanya ionekane kuwa ngumu. Unajua vijana weng wanaingia kweny ndoa huku hawana elimu yyte inayohusiana na ndoa. wanafikiri ni kugegedana tu. Lkn ndoa zaid ya tendo la ndoa.
Huyo rafiki yako ana matatizo najua utabisha lkn ukweli ndio huo km ilikuwa sms ya kawaida mbona mumew alimind? Na kwann kipind amekamatwa na sms hakuomba msamaha?
Mumewe ana wivu wa kias tena anampenda sana mkew ndio maana alimruhus aende chuo na kumlipia ada.
Yaan unakamatwa na sms halaf unakuja juu. Hata km mm lazima nimind.
Mm unavyoniona ninapomkosea mwenzangu huwa najishusha na kuwa priton.
Siku zote ukiona migogoro haish halaf haina kichwa la mikia ujue tayar umeshapata mwenzako. Mm nafikir huyo shost yako keshapata mtu sio bure kbs kuna mtu anamtia kibur huko chuo ndio maana kang'ang''ania
Mwambie akae na wazee wazungumze. Ila huyo shoga yako ana matatizo mwambie aache ujinga atatesa watoto.
"MKE HASOMESHWI naona km kuna ukweli ktk sentensi.
 
Ushauri wa nin wakat nduguyo keshapata maamuzi sahihi kwake
 
Mimi nina amini katika kumuheshimu na kumtii mume..(ki dini zaidi)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom