Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Sasa kama kakutwa na message kiburi cha nini? Kwani kujishusha sh ngapi? Angeomba msamaha yaishe...hamna mkate mgumu mbele ya Chai huyo mume angeelewa tu...
Sasa wakitengana ada atalipa nani? Kapewa mkopo au ndo mpango kando?
Halafu kashindwa kuelewa mtu aliyeamua kumsomesha ndio wa muhimu katika maisha.
Ingekuwa rahisi yeye kusomeshwa basi wazazi wake wangemsomesha halafu awaketee kiburi hicho...mpuuzi huyu.