Mie kwa comment tamu kama hizi ndo maana nakupendaga ujue...!
We huwa unatafuta nini kwenye hizo cm:
Ukiona mwenzio hakuamini basi jua sio mwaminifu hivyo anadhani mabo anayvo fanya na we unayafanya. Trust me and i wil trust you.
Wivu sina ila roho inauma baibe
Ndio maana yake kwa sababu maumivu ya kichwa huanza taaaaratibu.sms?
ndo masharti yote hayo?kazi ipo!
Nje ya mada kidogo....
mmemaliza advance 2007?
..soon naitwa babu bila kuwa na mtoto..teh!
marahaba....yap yap!!!
hahaaaaaa!!!
mbona mda sana jamani!!! seven years
humu wengine ndo wanamalza std 7
by the way shikamoo
Mawazo ya nn wakat mwenzio kiburi.
Hawa wadada wa chuo walioolewa wengi wao ni sheeeeeda!!! Yaani kuna vitu vinafanyika huko vyuoni kama hujawahi kuwa mkufunzi unaweza kudhani ni utani. Mke wa mtu anakuletea papuchi kwa kuwa tu anajua kichwani hamna kitu na bila kugawa papuchi hachomoki. Cheki sasa vi TA vinavyowagegeda ni noooma maana wengi wao hata hawajui TA ni nini hadi waingie mwaka wa 3 !!!!!Yani kaenda chuo then anapigwa na vitoto huko! au hana uwezo wa kusimama mwenyewe kwny masomo ndo maana anagawa? P.u.m.b.a.v.u zake
Hahahaaa....shauri yakooo
Ndio maana yake kwa sababu maumivu ya kichwa huanza taaaaratibu.
Umeangalia na kiburi cha huyo mwanamke au wewe umeona uamuzi wa mume tu??!!! Saa nyingine attitudes ndio huwa zinaamua kuliko hata sababu hasa ya ugomvi.yani watu kwa kujihesabia haki hatujambo!
huyo mume alikuwa anajua anaishi na malaika?
mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa nyama ukae ukijiaminisha hawezi kukosea?
Mungu huyu katuumba na tunamkosea,leo wewe mke kumkuta na sms unataka mpk baraza la vyama vya ushirika lisikae?
mxeeeew
watu wa hv hupata shida sana na haya maisha!
mke kakutwa na sms,fine
then,one of ur gateaways kujiridhisha umetoa adhabu ni kutengana?
ehehehehehe
ha ha ha..
Na wewe usiniamkie shikamoo kama hujaolewa...!
Ukiniamkia shikamoo tutakosana...!
Exactly my point.Sijui nimesikia wapi..'mitongozo yote uanza na "Hi, 'Hello', 'how are you', 'good morning"
Nimekumbuka Kansiime alikuwa anagombana na mumewe kisa kamsalimu mpangaji wao wa kike...
Au hiyo SMS ilikuwa inasemaje..........kwanza tujue ndio tushauri...........
Wewe kweli unaelewa vizuri hali halisi huko vyuoni. Halafu sasa hawataki hata kujulikana kama ni wake za watu. Yaani saa nyingine wanaweka madogo kwenye hatari kubwa bila hata wahusika kujua!!!!!Samahani lakini; kwa experience yangu wake za watu ndio wanaoongoza kwa kugawa papuchi vyuoni...hiyo message itakuwa ilikuwa nzito...
Iweje akomae kugombana na mumewe kwa message ya mtu wasio na uhusiano...
Ndio shida ya kuoa mwanamke afu unajifanya wewe babake kumpeleka shule...yani hadi huruma...kuna wadada watatu tulisoma nao waume zao walikuwa mabosi wakubwa...wote hawa walikuwa kazi yao kuhonga viserengeti hadi aibu...
sijui walikimbilia ndoa sa wakifika vyuoni wanagundua wale waume si wa design zao (maana wengi huolewa na wanaume aged soon baada ya kumaliza form six au form four)
Kuna mmoja alimg'ang'ania kijana mpaka watu wakawa wanamuonya yule kijana kuwa anataka kufa maana mume wa huyu mdada ana kazi nyeti na atagundulika tu...
Keeping it real. Hapa watu wasiojua mazingira ya vyuoni wanaweza kuona kama sio ishu sana ila bwana huko vyuoni wake za watu ni wanamegwaaaaaa!!!!Inategemea ni uzito gani anaipa ndoa yake..
Social network haiwezi kuwa muhimu kuliko ndoa...
Nakumbumbuka kuna siku mimi na mume wangu tuliwai ku discuss whether we real need to be on facebook...
Mi kila mtu anajua nimeolewa; sioni aibu kuwaambia office mate ukweli kuwa mume wangu ana wivu waache kunitania tania...na wala sipati message zozote toka jinsia nyingine kwa kuwa nime draw a line...na sioni aibu kuwa under someone else's control...to me that is love...uhuru lazima uwe na mipaka...
Sasa kwa experience na habari zilizozagaa kuhusu wake za watu vyuoni; mdada alitakiwa awe extra careful asijiwekee ukaribu na jinsia ya kiume...mwanaume yeyote mwenye kujua position yake lazima awe makini sana mkewe akiwa chuoni...maana anajua michezo inayoendelea...
Kuna mtoto wa aunt yangu alikuwa anasomeshwa na mumewe CBE yani hadi aibu...anarudi usiku wa manane eti group discussion...na mumewe bwe.ge...group discussion my foot...kabinti kazuri kweli kweli na nyepesi nyepesi ni kuwa ana behave just like any single lady...ana date kama kawa chuoni na mujini...
Saa nyingine ni lazima uzuie mazingira ya uovu kutokea. We kaa kaa umwamini mwanaume ujidai yeye ni malaika itakula kwako!! Saa nyingine watu wanafanya mambo against their own better judgement lakini kama ukiwasaidia kwa kuwaondolea mazingira ya kitu kutokea wanakuwa na nguvu zaidi ya kuepuka uovu.Yaani mpaka hapo inaonyesha hawaaminiani!
Km unamwamini mtu wako huwezi kumpekua pekua!
Na pia km huyo mwanamke kweli anatabia hyo ht amwamishe chuo afanyaje ataendelea tu.
Hilo ni tatizo kubwa!
a friend in need is a friend in deed
bado sijakata tamaa kumshauri
ndoa ni tukio kubwa sana
yawezekna anapta ushauri kutoka kwa wengine ambao si mzuri
na lengo na pia wengine tujifunze pia
mume kamsamehe ila kwa masharti
mke mgumu kukubali ila bado naamini ataelewa
kuna watu wametoa ushaur hadi mi pia nkatamani awepo ajifunze i know the girl kwa mda kidogo