Kwao hawana uwezo tumemaliz adv2007 wazaz wake walishndwa kumudu gharama akaenda dip
tumshauri ili iweje firauni uyo! limechepuka likanogewa linasahau fadhila za mumewe, ndoa na watoto.. jitu lenyewe papuchi used liache liende kuliwa tigo
yupo kigoma kwa ssa hata jf hayupo but i wish angeziona maana ye ndoa may b anachukulia easy
ntaendelea kumshauri
Habarini za jumapili
nna rafiki yAngu km ndugu yangu ameolewa huu ni mwaka wa tano ana watoto 2
ameenda chuo mwaka jana maana na alikosa mkopo mumewe ndo msomeshaji
mume ana wivu hatarii kipnd
yuko likizo mmewe kakuta msg kutoka kwa mwanachuo mwenzie,mume kapaniki mke nae akaja juu badala ya kuomba msamaha
mume akampa option 3 aache chuo afu ajiunge na OPEN this year au aombe ajira za serikali afanye kazi ajisomeshe mwenyewe mana ana stashahada ya ualimu ila alivyomaliza hakuenda gvt alienda private kumfata mmewe
Ya tatu watengane
mme kamkatalia katu kurudi chuo
my friend kaniambia yuko tayari kutengana mana hawezi kumnyenyekea tena
mi nimemwambia endelea kuomba msamaha tu my friend kasema kamuomba ila jamaa hataki
mi sijamshauri kutengana ilA nimemwambia kua mvumilivu yataishA
vyuo wanafungua hv karibuni but still mme amekomaa mdada kanambia yaani hana mda wa kunyenyekea MUNGU mtu tena elimu kwanza...
Mana kashapoteza sana
jamani naombeni mawazo yenu ili huyu dada na mmewe wasiachane tafadhalini
ndo mwenye mke nn mkuu
samahan ulieleta huu uzi ila sjakuelewa well kua jamaa kakuta message gani ila inaonesha rafiki yako ni kiburi na ndio mana anasema hawezi kumnyenyekea mtu na ndio mana anasema shule kwanza.
Muulize kama anasema shule kwanza then hiyo hela ya ada ataipata wapi kama mme kasema hayuko tayari tena kutoa?Au huyo aliemtumia message ndio katoa ahadi ya kumsomesha?Watu wanakupenda ukiwa nacho ila kikitolewa hautawaona tena.Vijana weng wanapenda wake za watu kwa sabab wanajua mko well financially ila pindi jamaa akikata mirija yote ya hela ndio utamjua huyo kijana wako
Chardams,...avatar yako ni kama inaujumbe fulan vile!Tuambie msg ilikuwa inasemaje, mbona unakwepa. ukitaka ushauri weka mambo wazi, yawezekana jamaa kakuta msg ambayo inamsifu mama kwa mautundu yake aliyomfanyia mwanachuo mwenzake!!!
Wewe mdada unaakiri sana nakuombea Mungu uendelee hivyo hivyo,..always sitoacha kukuambia ukweli,..your husband deserve to be with U!Inategemea ni uzito gani anaipa ndoa yake..
Social network haiwezi kuwa muhimu kuliko ndoa...
Nakumbumbuka kuna siku mimi na mume wangu tuliwai ku discuss whether we real need to be on facebook...
Mi kila mtu anajua nimeolewa; sioni aibu kuwaambia office mate ukweli kuwa mume wangu ana wivu waache kunitania tania...na wala sipati message zozote toka jinsia nyingine kwa kuwa nime draw a line...na sioni aibu kuwa under someone else's control...to me that is love...uhuru lazima uwe na mipaka...
Sasa kwa experience na habari zilizozagaa kuhusu wake za watu vyuoni; mdada alitakiwa awe extra careful asijiwekee ukaribu na jinsia ya kiume...mwanaume yeyote mwenye kujua position yake lazima awe makini sana mkewe akiwa chuoni...maana anajua michezo inayoendelea...
Kuna mtoto wa aunt yangu alikuwa anasomeshwa na mumewe CBE yani hadi aibu...anarudi usiku wa manane eti group discussion...na mumewe bwe.ge...group discussion my foot...kabinti kazuri kweli kweli na nyepesi nyepesi ni kuwa ana behave just like any single lady...ana date kama kawa chuoni na mujini...
Wapi TIQO!...........Hako kadume kaliko mtumia meseji hajui kamemtumia Kwa vile mke wa mtu akiachika atakiona cha moto katamkimbia ada na matumizi atatoa wapi wanawake wengi ni shidaaaaaaah.
Kwao hawana uwezo tumemaliz adv2007 wazaz wake walishndwa kumudu gharama akaenda dip