Ndoa ngumu jamani

Ndoa ngumu jamani

yani watu kwa kujihesabia haki hatujambo!
huyo mume alikuwa anajua anaishi na malaika?
mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa nyama ukae ukijiaminisha hawezi kukosea?
Mungu huyu katuumba na tunamkosea,leo wewe mke kumkuta na sms unataka mpk baraza la vyama vya ushirika lisikae?
mxeeeew
watu wa hv hupata shida sana na haya maisha!
mke kakutwa na sms,fine
then,one of ur gateaways kujiridhisha umetoa adhabu ni kutengana?
ehehehehehe
mwanzo nilifikiri limbwata ni hadithi za abunuasi kumbe lipo
 
Ebu tupe feedback aisee

Post sent using JamiiForums mobile app
 
ili ndoa idumu lazima mmoja awe mjinga na unapokubali kuolewa mtulie basi jaman ..eeh mbona hamna tena heshima jaman khaa ...ila mumewe ajue mke anapokuwa chuo anaaply uanafunzi utani unakuwepo ila usivuke mipaka na yeye kujisahau
 
Ukijifanya mwerevu ndoa hakunaga kuwa mjinga tu yy awe mjanja mambo yataenda

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
kiburi hakita msaidia, aombe msamaha yaishe tu kujitia eti hawezi nyenyekea now atakuja nyenyekea kwa kulia na ndo mume atamuone/na kumpuuza vya kutosha.

shemeji yangu alisha shupaza shingo kama huyo rafikiyo, yeye akaondoka na kusafisha nyumba nzima miezi 6 alirudi analia. mpaka leo anatamani arudishe siku nyuma.

wanaume tunakupenda ukiwa unahudumiwa maana tunajua kama ukitoka kwa mmeo na kuwa na mm lazima ntachapiwa maana wewe si muaminifu.
 
Kama chungu tema,

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
we mwenzio keshapata bwana huko chuo unamshauri nini sasa? we hujiulizi hicho kiburi anakitoa wapi!
 
Sijui kwnn elimu inawapa kiburi wanawake

Sio elimu ndugu nikipato we unafikiri kwa nini wanaume wana kiburi si kwa sababu ana uwezo wa kiuchumi. Mwanamke hata kama hajasoma as long as ana biashara inamuingizia pesa usitegemee awe mpole kama ukileta za kuleta anajua hujashika pumzi yake akitoka kwako maisha yatasonga atakula, atalala na atavaa so why stress. We huoni wazungu na wachina wana vyotuburuza waafrika ni kwa sababu hatuna nguvu ya kiuchumi
 
Habarini za jumapili
nna rafiki yAngu km ndugu yangu ameolewa huu ni mwaka wa tano ana watoto 2
ameenda chuo mwaka jana maana na alikosa mkopo mumewe ndo msomeshaji
mume ana wivu hatarii kipnd
yuko likizo mmewe kakuta msg kutoka kwa mwanachuo mwenzie,mume kapaniki mke nae akaja juu badala ya kuomba msamaha
mume akampa option 3 aache chuo afu ajiunge na OPEN this year au aombe ajira za serikali afanye kazi ajisomeshe mwenyewe mana ana stashahada ya ualimu ila alivyomaliza hakuenda gvt alienda private kumfata mmewe
Ya tatu watengane
mme kamkatalia katu kurudi chuo
my friend kaniambia yuko tayari kutengana mana hawezi kumnyenyekea tena
mi nimemwambia endelea kuomba msamaha tu my friend kasema kamuomba ila jamaa hataki
mi sijamshauri kutengana ilA nimemwambia kua mvumilivu yataishA
vyuo wanafungua hv karibuni but still mme amekomaa mdada kanambia yaani hana mda wa kunyenyekea MUNGU mtu tena elimu kwanza...
Mana kashapoteza sana
jamani naombeni mawazo yenu ili huyu dada na mmewe wasiachane tafadhalini
huyu mume bado hajaleta mrejesho nimemsomesha mke akanikimbia
maana kwa hii story huyu dada akigraduate tu akapata kaz lazma aombe taraka

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ndoa naitamani leo hata kesho,, lakini bado cjaona mtu sahihi coz hakuna anayependa kukosea kuowa au kuolewa bhn,,, lazima u2lize akili ndipo uchukue maamuzi,,, but pole jifanye kama mjinga cku ziende

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom