Ndoa ngumu jamani

Ndoa ngumu jamani

mi alivyonambia pia nilimwambia km ulivyosema wewe akaniuliza
"ina maana niache shule kwa sababu yake?"
ningeweza ningeambtanisha msg moja alontumia
nikamjibu nooo usiache fanya atakavyo akanambia
"G noo umeniacha sana we mwenzangu unasema hvyi kwa kua uko serkalin na unamaliza nyingine mi lini"kwani mumeo si km wangu tuu
nkamwambia wako tofauti kimawazo ila mi sipendi waachane

Kamwambie kwa sura iliyokomaa na kushupaa, mnyooshee kidole katikati ya paji la uso wake useme "mtii mumeo manake hivyo ndivyo ikupasavyo kufanya"

kwani tazama huwezi kujutia hasara uipatayo kama huijui hiyo hasara, ole wake yakimpata mambo magumu mbeleni akishupaza shingo leo, atajibeba na elimu anayoitafuta.

samahani "mimi si nabii" na huyo rafiki yako asimshawishi MUNGU kuutia unabii kwangu kwa ajili yake.
 
Uyo dada ajishushe tu, ni ngumu mwanaume kukubali kwamba iyo sms ni ya utani.Amuombe msamaha mme wake ili aendelee na chuo( sio open).

Ajifunze kutokana na makosa.Asiwe anakubali masms ya ajabu ajabu kutoka kwa wanaume atambue ye ni mke wa mtu.
Mfano mimi mtu( mwanaume) akinitumia sms hata kama ya utani lakini ni mbaya huwa namuambia asirudie tena mimi ni mke wa mtu sitaki sms za namna iyo.Uyo mtu haezi rudia tena

mwanzo mmewe alivyopaniki naye akajitia ujuaji
mme baada ya kukomaa na masharti ndo akashtuka
km kakosea akaanza kuapologize mme ndo akakataa
asa hv kavurugwa kweli
 

Attachments

  • 1411905209266.jpg
    1411905209266.jpg
    13.4 KB · Views: 221
mkumbushe pia kuwa mungu aliapa "kwa tamaa ya mwili wako mumeo atakutawala" asifanye mashindano na MUNGU aendelee kula mema ya dunia hii.
 
Umechakachua point yangu....suala sio kuanza mambo ukubwani bali ni kuanza kukutana na vishawishi ukubwani

mpendwa suala sio kupata vishawishi ukubwan hapo upumbavu tu wa mwanamke na kiburi anachojazwa na wazazi wake.
 
Asee mbona unawaka sana kijana?umeguswa na nini?hayo maneno ya kwenye kanga yanatoka wapi kwenda wapi?mbona unashindwa kusoma nyakati...
angalia ulivoanza kuninukuu then ujishangae!

mxeeeew ,wasalimie uendako
 
baba ako ana hekma sana
huyu bnt kwao wako wawl ye na kaka ake tu
wazazi nao busara hawana japo mi nimemsihi usijaribu kuondoka utapta laana ya mme

Laana ya mume ndo inafananaje?

According to you....umesema sms za kawaida za salaam, sasa hizo ndo zimfanye mtu atoe masharti yote hayo au kuna lingine??

Dah wivu nao ukizidi sana sio issue!!
 
yuko IRINGA

Mmmhhh
Kigoma to iringa
Ila mbali...

Nway ila rafiki ako bado anatakiwa ajishushe!

Hao wazazi /ndugu anawaona wa maana saiv bt kuna muda hyo ndoa ataikumbuka na itakuwa too late!

'Mwanamke mjinga hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe 'biblia ipo clear!
Huu ndo ukweli!

Ana uwezo wa kujishusha kwa hyo mumewe na akarudi shule na aache ujinga!
 
hapa kuna tatizo zaid ya sms
kuna vitu vingiiií!
na ndo shida ya kukosa mawasiliano,cku yakifumuka kila mtu anawashangaa,ile like eh hiili tuu!
kumbe kuna mazagazaga kibao.

Hili nalo neno
 
weweee kiburi gani alichonacho? ulitaka aache chuo?? yuko sahihi tu alivyoamua

Unapokuwa ba shida unajishusha ili ufanikiwe kupata kile unachotaka kama huwezi kujishusha basi maliza shuda zako mwnyw usitake msaada kwa mtu.

Beside huyu mtu hajasema hiyo msg ilikuwa inasema nn cz jamaa sio mjinga mpk afikie maamuzi hayo.
 
Samahani mleta mada, we ni mchepuko wake? Km ndio basi we ni Msen..e sana na utakufa na hiyo tabia

hapana rafiki wa karibu
ningeweza ningeambatnsha msg
mi pia nimemwambia umekosea omba msamaha
 
Unapokuwa ba shida unajishusha ili ufanikiwe kupata kile unachotaka kama huwezi kujishusha basi maliza shuda zako mwnyw usitake msaada kwa mtu.

Beside huyu mtu hajasema hiyo msg ilikuwa inasema nn cz jamaa sio mjinga mpk afikie maamuzi hayo.

utakua wivu tu unamsumbua.
 
Laana ya mume ndo inafananaje?

According to you....umesema sms za kawaida za salaam, sasa hizo ndo zimfanye mtu atoe masharti yote hayo au kuna lingine??

Dah wizi nao ukizidi sana sio issue!!

ukweli msg za kawaida ila mme ana wivu
so masharti anaona magumu
alichokosea alipoulizwa mwanzo mke alijibu jeuri(mwenyewe ndo alinambia )
mume akampa conditions hizo
 
Hili nalo neno

hawa watu hawana mawasiliano
period!
sms ni tofali tu la kupandia kwenye
-ubinafsi wao
-kiburi
-kutokujiamini
-thamani duni ya ndoa yao
-maingiliano ya wazazi
-udhaifu wa kimaamuzi
-tafsiri hasi ya uanamke na uanaume walio nao.
bs mwisho wake ndo hz vurugu
 
angalia ulivoanza kuninukuu then ujishangae!

mxeeeew ,wasalimie uendako

Angalia ww ulichoandika kama kinaeleweka kama unavyowaza,au ndo matokeo ya BRN maana hata kutumia vituo na alama huwezi,sasa unategemea ueleweke unavyowaza,wakati mwingine usiwe na haraka unapoandika,andika kitu kinachoeleweka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom