Ndoa ngumu jamani

Ndoa ngumu jamani

Kuna watu sio waaminifu kabisa kwenye mahusiano..!
Kuishi na mtu asiyejua values, utajuta..!

Hata kama mwanaume ana wivu, huyo dada ana lake jambo...!
Na kwa nini akomae kurudi chuo? Si kuna options zingine?
Sio elimu tu anayofata huko..!
Gunia la misumari hilo..!
 
yani watu kwa kujihesabia haki hatujambo!
huyo mume alikuwa anajua anaishi na malaika?
mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa nyama ukae ukijiaminisha hawezi kukosea?
Mungu huyu katuumba na tunamkosea,leo wewe mke kumkuta na sms unataka mpk baraza la vyama vya ushirika lisikae?
mxeeeew
watu wa hv hupata shida sana na haya maisha!
mke kakutwa na sms,fine
then,one of ur gateaways kujiridhisha umetoa adhabu ni kutengana?
ehehehehehe

We mchepukaji asilimia mia..!
 
Msj hyo sidhani kama ilikua ya kawaida!
Mwanaume asingekomaa hivyo!

Pia yy ndo amekosea alitakiwa aombe msamaha
Angejishusha tu coz hajaonewa hapo!

Ss km anaona ndoa sio issue bora aondoke sio bure!
 
Yaani mpaka hapo inaonyesha hawaaminiani!
Km unamwamini mtu wako huwezi kumpekua pekua!
Na pia km huyo mwanamke kweli anatabia hyo ht amwamishe chuo afanyaje ataendelea tu.
Hilo ni tatizo kubwa!
Kwa mujibu wa imani zetu, wao ni mwili mmoja..!
Kama anaweza kulala nae uchi wa mnyama usiku mzima, simu ni kitu gani ili aifiche?
Sioni sababu mtu kuwa na total privacy ya simu kwa mwenza wake ili hali privacy ya uchi wake hana...!
 
Mwambie awe kiburi ili ndoa ivunjike....kisha aje mtaan wanunue kinga yake,tumuimbie parapanda.
 
Kwa mujibu wa imani zetu, wao ni mwili mmoja..!
Kama anaweza kulala nae uchi wa mnyama usiku mzima, simu ni kitu gani ili aifiche?
Sioni sababu mtu kuwa na total privacy ya simu kwa mwenza wake ili hali privacy ya uchi wake hana...!

Well said..
 
shetani alimkorofisha MUNGU pale alipoacha kutii mamlaka.
mwambie huyo rafiki yako kama anacho kitombeo aendelee na mpango wake wa kwenda chuo, lakini kama hana basi na amnyenyekee mumewe kwa ajili ya hicho asichokimiliki mwilini mwake.

aende kuahirisha masomo yake, atulie nyumbani kurepear trust iliyopata ufa wa sms, furaha ya mumewe ikimrudia anaweza kumrudisha tena chuo.

asing'ang'anie kuwa sahihi kwani hakuna ajuaye kesho itazaa nini.

N.B leo tumefundishwa kanisani ya kwamba tusiwe wasahaulifu wa matendo makuu ya MUNGU.

mi alivyonambia pia nilimwambia km ulivyosema wewe akaniuliza
"ina maana niache shule kwa sababu yake?"
ningeweza ningeambtanisha msg moja alontumia
nikamjibu nooo usiache fanya atakavyo akanambia
"G noo umeniacha sana we mwenzangu unasema hvyi kwa kua uko serkalin na unamaliza nyingine mi lini"kwani mumeo si km wangu tuu
nkamwambia wako tofauti kimawazo ila mi sipendi waachane
 
Tehe tehee nimecheka sanaa

Ndio khabari yenyewe hutaki kukaguliwa simu yako kaa nyumbani uwe msimbe wa kubebwa na kila mtu. Mke hana amri juu ya mwili wake na alivyo navyo isipokuwa mume vivyo vivyo na mume pia . Siwezi mkataza mke asishike simu yangu hata kama nimeharibu nitakuwa mpole kwake na kutubu pia kumuomba ushauri wa jinsi ya kushinda vishawishi hivyo badala la kuficha na kuleta janga la ukimwi ktk familia.
 
Yaani mpaka hapo inaonyesha hawaaminiani!
Km unamwamini mtu wako huwezi kumpekua pekua!
Na pia km huyo mwanamke kweli anatabia hyo ht amwamishe chuo afanyaje ataendelea tu.

Hilo ni tatizo kubwa!

ana wivu sana mmewe unajua wivu
pata picha rafiki yangu kwao dar wanaish kigoma but since2009 walivyooana kwao dada karudi mara moja tu
 
Inategemea ni uzito gani anaipa ndoa yake..

Social network haiwezi kuwa muhimu kuliko ndoa...
Nakumbumbuka kuna siku mimi na mume wangu tuliwai ku discuss whether we real need to be on facebook...

Mi kila mtu anajua nimeolewa; sioni aibu kuwaambia office mate ukweli kuwa mume wangu ana wivu waache kunitania tania...na wala sipati message zozote toka jinsia nyingine kwa kuwa nime draw a line...na sioni aibu kuwa under someone else's control...to me that is love...uhuru lazima uwe na mipaka...

Sasa kwa experience na habari zilizozagaa kuhusu wake za watu vyuoni; mdada alitakiwa awe extra careful asijiwekee ukaribu na jinsia ya kiume...mwanaume yeyote mwenye kujua position yake lazima awe makini sana mkewe akiwa chuoni...maana anajua michezo inayoendelea...
Wewe kweli nyumba kubwa
Wanawake wa aina yako wameisha hapa duniani aisee inabidi kuanzisha kampeni maana mnakaribia kupotea kabisa kama tembo wanavyo potea kutokana na ujangili

Kama una mdogo wa kike naomba unipe mimi nimuoe maana naamini atakuwa na busara kama zako
 
sms?
ndo masharti yote hayo?kazi ipo!
Mkuu umeona contents za hiyo sms? Nimekuwepo kwenye maisha ya campuses kadhaa so nafahamu namna ambavyo married pipo wanavyobehave wakiwa huko more often than not.

Simuhukumu huyo dada kwamba katenda hilo kosa. Lakini pia sisemi jamaa kakosea kutoa conditions zote hizo kwa sbb tu ya sms kwani sijui sms ilisemaje. Ushauri wangu kwa dada awe mpole kwenye hili kwani kwa vyovyote vile gharama ya kuachana ni kubwa kuliko gharama ya kuwa mpole na kuomba radhi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom