Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Tarudi hapa kutoa updates za hii kesi..
Hadi sasa bro ameshatuma ujumbe ukweni, watafika kesho asubuhi kwa ajili ya kikao..
Familia yetu pia imetaarifiwa..

Mke ametaka kukimbia (mchana huu), kabla hayaondoka, mumewe akafika nyumbani na kukuta mke anafunga vilago...amemzuia asubiri kika cha familia..

Kesho tatoa mrejesho hapa..
Japo sijui namna ya ku-update uzi...ila vyovyote tavyoandika ilimradi niwape hitimisho
Ambae hajawahi kufanya kosa na awe wa kwanza kumhukumu mwenziee.....Ndoa ni taasisi ya kuheshimikaa hapo ni kusubiri kifo kiwatenganishee...huyo jamaa ako atasahau tyu
 
Hata hivyo ameshajua, aache watoto wakue wote. Apige moyo konde.

Lingine sasa huyo mwanamke japo amekiri makosa aangalie asirudi tena kwa huyo hawara.
 
Yaaan Mwanamke kaolewa halafu anaweka nadhiri kabisa kutoa zawadi ya mtoto nje then eti asamehe dah kama kaweza kumshawishi wazae next si atapewa sumu au limbwata ili kumtuliza kabisa asiweze kumsumbua kuhusu mtoto
 
Hii issue akifanya mwanaume huwa aichukuliwagi serious mwanaume ameoa na ndoa kabisa ndani ya miaka 3 anakuletea watoto wadogo kazaa nnje tena wanaendelea kudinyana na mzazi mwenzie mpk ana hamia hiko Ila kwa vile sisi mama huruma tunawasamehe tu hata taraka hatuombii [emoji41][emoji41][emoji41]ila kafanyaa ke basi dunia nzima inashaurii avunje ndoa nonsense
Mkuki kwa nguruwe...
 
Hahahahha mke mwenye guts za kufanya hivyo hawezi kuacha kitendo hiko! Mwanamke anayeweza kuzaa mtoto wa nje akiwa ndani ya ndoa sio wa mchezo mchezo!
Kuchepuka tu kipengele sembuse kuzaa nje!!

sema kwny ndoa kuna muda upendo unapoa sana
 
Amerudi jana kutoka huko Mombasa, na ndo jana hiyohyo kathibitishiwa na mke.
Tangu asubuhi ya leo hajarudi kwake, kakaa hapa home anatafakari cha kufanya

Kwa utamaduni wetu, kuvunja ndoa ni mashauriano ya kina kwa kuangalia maslahi ya pande zote na ndio maana anataka kuzikutanisha familia zote mbili
Hili sio suala la familia
Ni la yeye aliyekosewa anajiskiaje

Wakikushauri uvunje ndoa are u ready for tht?
Watoto?
Kuachana ni ngumu sana jmn.,tusichukulie poa 6 yrs na mapenzi kwa ujumla

Ila kutengana japo vyumba na kuacha kutengewa chakula nafikiri ndo hatua rahisi kwa sasa kwa ajili ya usalama wake binafsi

Big changes are stressful
 
Inapaswa alinde ndoa kwa condition hii

Huyo mtoto apelekwe kwa bab ake mzaz akatunzwe huko milele yoyote na huyo mama/shemeji yako asijihusishe na mtoto

Ikitokea amejihusisha agongwe Taraka
Ni ngumu kumtenganisha mama na mtoto wake
 
Habarini!!!
Ndoa ya ndugu yangu wa damu (kaka) imeingiliwa na kirusi hatarishi, maji yamezidi unga
Alimuoa binti (mke wake) kigori kabisa, na kwa utamaduni wetu, hili huwa tukio la heshima kwa muaji na waozeshaji (familia ya binti) pia.
Baada ya miaka sita ya furaha na huzuni, ndoa ya ndugu yangu imesimama wima, ikiwa na jumla ya watoto watatu, wakiume wawili na kabinti.
Kati ya watoto hao, mtoto mmoja (wa tatu) hafanani kabisa na watoto wengine, na hafanani na baba yake wala mama yake...pia hafanani na yeyote katika familia yetu wala ya mwanamke.
Jambo hili lilimpa shaka bro, alijipa moyo lakini uafrika wetu ukamshinda.
Maswali ya "mbona hafanani na sisi?" yalikuwa mengi, jambo lililomfanya bro aamue kutafuta suluhu ya nafsi yake..

Alianza kwa kupima DNA kwa Siri bila yeyote ndani ya familia kujua...majibu yakaonesha si wake (Tz)
Akaenda nae Nairobi, huko akampima tena, ikaonesha si damu yake..
Kwa maelezo yake, anadai alienda kwa gwiji fulani huko Mombasa, nako akaambiwa si damu yake... Zaidi tena huko Mombasa, huyo mama (mganga) alimuonesha baba halisi wa mtoto yule

Bro alirudi kwake, akamkalisha kitako mke, akatumia maarifa na ujuzi wake wooote aliojaaaliwa kumshawishi mke amwambie chochote juu ya mtoto yule.
Japo lilikuwa jaribio gumu, lakini mke alikiri kuwa Moses, mtoto wa mwisho, si mtoto wa kaka. Na akamtaja baba yake halisi.

Picha iko hivi;
Shem katika makuzi yake, alikuwa na rafiki yake (mtoto mwenzake) ambaye walitengana baada ya familia ya huyo kijana kuhamia mkoa mwingine. Walipokua, walitafutana na wakaendelea kuwasiliana km wapenzi hadi shem alipoolewa.
Lakini licha ya kuolewa, mawasiliano yao yaliendelea na ahadi yao ilikuwa wazae mtoto mmoja ili iwe kumbukumbu ya mapenzi yao tangu utotoni...na walipokuwa wakipata nafasi ya kukutana, basi walikuwa wananyanduana hadi mtoto huyo akapatikana..

Bro anataka kufanya maamuzi; ni moja tu kati ya mawili
1. Avunje ndoa au
2. Alinde ndoa

Binafsi km mshauri wa karibu, nimemshauri alinde ndoa..
Kaniuliza KWANINI? Nimekosa jibu!
Mwambie kaka yako avunje ndoa ili abaki na amani moyoni, baadhi ya makabila kwa wanaume kuvumilia kiumbe ambacho anajua siyo chake ni kazi ngumu, na hata huyo mwanamke hatakuwa na amani, kila watakapokuwa wanazozana lazima ishu ya mtoto na kuisaliti ndoa vitaibuka tu,
Pia kaka yako anaweza akapoteza focus ya maisha akajikuta anaharibu hata kazi au biashara zake
 
AVUNJE NDOA.


kwa sababu ndogo tu, suala sio tu kuchepuka.


Bali alichepuka na kubeba Mimba ya mwanaume mwengine KWA MAKUSUDI YAAN KUPANGA, KUDHAMIRIAA KWA AKILI YAKE YOTEE.


Ningekua Mimi, Ningemuacha.


Ni Mara Mia KUOA mwanamke ulomkuta anawatoto hata watatu.


Lkn sio kuoa mwanamke, ambaye baadae akazaa mtoto wa nje, ndani ya Nyumba yako???. .... Ni dharau iliyopitiliza.




Asiogope kuanza upya...sisi wanaume hata tuwe na Watoto,, tukitaka kuoa ,unaoa Asubuhi.

ASIDANGANYIKE NA MACHOZI YA HUYO MWANAMKE.
Bora kuoa aliye na watt kabisa asee
 
I got lonely sometime you were gone and left
Like you always do
You were never there when I needed some care
You were never there when I needed somebody to talk to
Somebody came and took your place
Oh baby, somebody took my place in your heart I can say
I'm used to it by now
'Cause it happens all the time that is one test I always fail
But one thing my heart can't understand
Who's gonna take the place of this boy in my heart
We used to play together
Do everything together
But now what am I gonna say
You've got no right to call me father
I've got no right to call you son
You got no right to talk to me
I've got no right to talk to you
Even though I try so hard to be strong
But it hurts inside
As I pack my bags to go now baby
I thought I could share this with you
The next time you fall in love treat your woman right
Remember that her place is not only in the kitchen
All she needs is tender loving care
You've got no right to call me father
I've got no right to call you son
You got no right to talk to me
I've got no right to talk to you
Even though I try so hard to be strong
But it hurts inside
You've got no right to call me father
I've got no right to call you son
You got no right to talk to me
I've got no right to talk to you
Even though I try so hard to be strong
But it hurts inside
You've got no right to call me father
I've got no right to call you son
You got no right to talk to me
I've got no right to talk to you
Even though I try so hard to be strong
But it hurts inside
 
1
Alinde ndoa ya 1
Kwa ajili ya wanae wale 2

2
Aoe mke wa pili kupooza nafsi.,ya kiserikali..siku akiona kampenda mtu wakubaliane amuoe mke wa 2 ht km ye ni mkristo

3
Asimtaliki wa mke kwanza kuepuka kuvunja familia na kugawana mali nk...
3.kugawana mali.hapo ndio pagumu.
 
Back
Top Bottom