Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Aisee...kwa kadiri nilivyokuwa nasoma jumbe za watu kuhusu hili suala. Nimetafakari ujasiri wa huyo mwanamke.
Nilichogundua kwa haraka ni kuwa amenizidi ujasiri katika uovu.
I don't think I'm able to start/continue with relationship and decide reasonably to have a kid out of the wedlock just as a reminder of someone I used to love....it's a pure BS and I can not do it...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mganga gani alimuonyesha adi picha??
Mganga wa kienyeji au wa kisungu?
 
Finally Jeshi la polic lasema na kumkamat bro wako
Screenshot_2021_1113_175029.jpg
 
Kuna mambo ambayo ni magumu sana duniani hapa.
 
Updates za Kikao cha Familia:

Katika hali ambayo sikuwahi kuifikiria, leo nimeishuhudia..
Baada ya maelezo ya kina, ushahidi wa nakala za DNA na uthibitisho wa mke mwenyewe, vimetosha kusaidia kufikia maamuzi.

Bro alijieleza kwa namna yake, akitoa ushahidi wake (nakala za DNA), ule ushahidi wa Mombasa haukuchukuliwa maana ni mambo ya shirki, baadhi hawayaamini[emoji1]

Mke naye kwa nafasi yake, hakuwa na la kubisha, alikubali kuwa alichepuka, na kweli mtoto ni wa ndug John, rafiki na mpenzi wake wa tangu utotoni.
Kwa maelezo mafupi ya shem, ikatoa nafasi ya wazee kutoa ya moyoni;

Alianza mjomba wake, akauliza;
"...Kama ulikuwa na mahusiano na John, na mlikuwa na mipango ya kuoana...kwanini ulikubali kuolewa na Oscar..??
Shem kabla ya kujibu, alianza kulia.. mjomba akarudia swali kwa sauti ya ukali..
Shem (huku akilia) akajibu "...niliolewa na mume wangu kwa mapenzi, nilimpenda na nampenda sana... Lakini....
Mjomba akadakia, unawezaje kumsaliti mtu anayempenda, na hadi kufikia kuzaa nje ya ndoa tena kwa makusudi?
Swali halikujibiwa..

Kulikuwa na maswali mengi ya kutaka kujua maisha yao ndani ya ndoa yakoje..maana wengine walihisi huenda mke hatimiziwi mahitaji muhimu km #huduma, #ndoa, #heshima #upendo n.k...
Lakini kwa maelezo ya shem, alisema kila kitu kiko murua na anajivunia sana kuwa mke wa Oscar.

Baada ya mashauri mengi na mifano mingi, baadhi walimsihi kaka amsamehe mke wake, ampeleke mtoto kwa baba yake, maisha yaendelee...lakini hayo ni maamuzi yake, anaweza kuamua vinginevyo akiona inafaa

Wakati tunaelekea kumaliza kikao, mama wa shemeji (mkwe wetu) akaomba anene jambo:

Mama; "...biblia inasema mtu hatamwacha mkewe isipokuwa kwa uzinifu. Tangu nizaliwe, sijawahi kumjua mwanaume mwingine zaidi ya mume wangu. Na hii ni kwa sababu niliolewa nikiwa kigori km wew (akimrejea shem) ulivyoolewa.
Mwanamke akitoka nje ya ndoa yake, na ikatokea amefumaniwa, ,basi malipo yake ni TALAKA.
Na ikitokea amezaa kabisa nje (km wew) basi huyo hastahili hata kusubiri kikao... Km ningekuwa mim, sahiz ungekuwa kwa Gabo (akimrejea baba mkwe)

Akaendelea, baba yangu, Oscar, ikitokea umeamua kumrudisha huyu kwao, basi tegemea baraka zangu zooote, na yeyote atakayefunua mdomo wake kukulaumu, mpuuze km mavi ya porini[emoji1787]
Mama akasimama na kuondoka

Bro akatoa maamuziz mepesi kuwa mkewe itabidi arudi kwao, kisha km kutakuwa maamuzi mengine, atawataarifu km alivyofanya leo.
Watu wakasambaa kila mtu na njia aliyoijia

Ndani, tukiwa familia moja (sisi tu) bro akatuambia hawezi kumrudia mkewe.

Imeisha!!!
 
Mh pole mke wake Oscar
 
Umeandika imeisha!
Kwani lilikuwa igizo?
Kama ni tukio la kweli hapo ndiyo mwanzo wa mwisho.
 
Kwa kuwa ahadi ya uzinzi ilikua kubwa zaidi ya ndoa basi avunje huo ujinga. Ingekua jamaa kaingia after ndoa ingevumilika. Mruhusu Baba mwenzio apate access kwa mtoto wake pia.
 
Sio igizo, ni tukio la kweli na yale yaliyopaswa kuandikwa hapa (km ilivyokuwa mwanzo) ndio yameishia hapo
Hiyo ilikuwa hitimisho la leo kweny kikao
 
Kuna majitu laana kweli. Unalazimishaje awe yeye Na Kesha sema Ndugu yake. Takataka Wewe.
Bora umenijibia. Watu wengine hudhani kila jambo km hilo basi lazima liwe hadithi ya kutungwa. Hovyo kabisa
 
Kwa kuwa ahadi ya uzinzi ilikua kubwa zaidi ya ndoa basi avunje huo ujinga. Ingekua jamaa kaingia after ndoa ingevumilika. Mruhusu Baba mwenzio apate access kwa mtoto wake pia.
Mtoto hata akibaki kwa mama yake haina shida maana ndoa imekufa tayari
 
Sio igizo, ni tukio la kweli na yale yaliyopaswa kuandikwa hapa (km ilivyokuwa mwanzo) ndio yameishia hapo
Hiyo ilikuwa hitimisho la leo kweny kikao
Kama ni la kweli haliwezi isha hivyo...it is beginning of the end...the end bado hapo...kila hatua ya maamuzi itazaa tatizo jingine ambalo litahitaji maamuzi mengine...
Akimuacha mkewe watoto ni tatizo

Akioa mke mwingine kulea watoto ni tatizo

Mke akienda kwa aliyemzalisha kule
hakuna nafasi yake tena hilo ni tatizo pia.

Kakayako akikaa na huyo mke ni tatizo koz atamnyanyasa au kukumbuka hilo kosa la kuzaa nje na akipata mimba hata kama ni yakaka yako hofu ni nyingi...mimba ikiharibika atasema ametoa koz ni ya jamaa...

Huyo mwanamke amefanya kosa kubwa sana. Msamaha unatakiwa utoke kwa moyo. Vinginevyo hapo tatizo halijaisha
 
Ndiyo shida ya chama changu CCM,, kuleta umaskini kwa vijana,,badala ya kufuatilia maisha tunaanza kuchunguzana,,
Ndugai na COVID 19
 
Bro anataka kufanya maamuzi; ni moja tu kati ya mawili
1. Avunje ndoa au
2. Alinde ndoa

Binafsi km mshauri wa karibu, nimemshauri alinde ndoa..
Kaniuliza KWANINI? Nimekosa jibu!
Pole yake sana, ni ngumu lakini maji yakishamwagika hayazoleki...
Kitanda hakizai haramu...

Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Kama ni la kweli haliwezi isha hivyo...it is beginning of the end...the end bado hapo...kila hatua ya maamuzi itazaa tatizo jingine ambalo litahitaji maamuzi mengine...
Akimuacha mkewe watoto ni tatizo

Akioa mke mwingine kulea watoto ni tatizo

Mke akienda kwa aliyemzalisha kule
hakuna nafasi yake tena hilo ni tatizo pia.

Kakayako akikaa na huyo mke ni tatizo koz atamnyanyasa au kukumbuka hilo kosa la kuzaa nje na akipata mimba hata kama ni yakaka yako hofu ni nyingi...mimba ikiharibika atasema ametoa koz ni ya jamaa...

Huyo mwanamke amefanya kosa kubwa sana. Msamaha unatakiwa utoke kwa moyo. Vinginevyo hapo tatizo halijaisha
Uko sahihi. Picha ndio linaanzia hapa. Wana watoto hawa. Haiishi kirahisi hivi.
 
Back
Top Bottom