Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Hana fikra za kuoa mitala
Basi atulie na mkewe maana akimuacha kiu atakua anakatia wapi? Ataanza uhuni wa kubadilisha wanawake then kitakachofata itv nadhani unakifahamu.
 
Habarini!!!
Ndoa ya ndugu yangu wa damu (kaka) imeingiliwa na kirusi hatarishi, maji yamezidi unga
Alimuoa binti (mke wake) kigori kabisa, na kwa utamaduni wetu, hili huwa tukio la heshima kwa muaji na waozeshaji (familia ya binti) pia.
Baada ya miaka sita ya furaha na huzuni, ndoa ya ndugu yangu imesimama wima, ikiwa na jumla ya watoto watatu, wakiume wawili na kabinti.
Kati ya watoto hao, mtoto mmoja (wa tatu) hafanani kabisa na watoto wengine, na hafanani na baba yake wala mama yake...pia hafanani na yeyote katika familia yetu wala ya mwanamke.
Jambo hili lilimpa shaka bro, alijipa moyo lakini uafrika wetu ukamshinda.
Maswali ya "mbona hafanani na sisi?" yalikuwa mengi, jambo lililomfanya bro aamue kutafuta suluhu ya nafsi yake..

Alianza kwa kupima DNA kwa Siri bila yeyote ndani ya familia kujua...majibu yakaonesha si wake (Tz)
Akaenda nae Nairobi, huko akampima tena, ikaonesha si damu yake..
Kwa maelezo yake, anadai alienda kwa gwiji fulani huko Mombasa, nako akaambiwa si damu yake... Zaidi tena huko Mombasa, huyo mama (mganga) alimuonesha baba halisi wa mtoto yule

Bro alirudi kwake, akamkalisha kitako mke, akatumia maarifa na ujuzi wake wooote aliojaaaliwa kumshawishi mke amwambie chochote juu ya mtoto yule.
Japo lilikuwa jaribio gumu, lakini mke alikiri kuwa Moses, mtoto wa mwisho, si mtoto wa kaka. Na akamtaja baba yake halisi.

Picha iko hivi;
Shem katika makuzi yake, alikuwa na rafiki yake (mtoto mwenzake) ambaye walitengana baada ya familia ya huyo kijana kuhamia mkoa mwingine. Walipokua, walitafutana na wakaendelea kuwasiliana km wapenzi hadi shem alipoolewa.
Lakini licha ya kuolewa, mawasiliano yao yaliendelea na ahadi yao ilikuwa wazae mtoto mmoja ili iwe kumbukumbu ya mapenzi yao tangu utotoni...na walipokuwa wakipata nafasi ya kukutana, basi walikuwa wananyanduana hadi mtoto huyo akapatikana..

Bro anataka kufanya maamuzi; ni moja tu kati ya mawili
1. Avunje ndoa au
2. Alinde ndoa

Binafsi km mshauri wa karibu, nimemshauri alinde ndoa..
Kaniuliza KWANINI? Nimekosa jibu!
acha ujinga wewe kuna ndoa gani tena hapo yakulinda. hapo ni unafukuza unaleta chombo kipya
 
Alinde tu ndoa..😂😂 nitag-ien joka jeusi..
 
vunja ndoa acheni longo longo
Ukicheza na Mbwa utaingia nae mskitini
 
Hekima ile aliyokuwa nayo Mfalme Suleiman inahitajika sana hapo.

Binafsi ningefunga nikisali zaidi ya siku 3 kumwomba Mungu anishauri kufanya maamuzi sahihi yasiyoweza kuleta athari baina yangu mimi binafsi na watoto.

Kwa jicho la 3 talaka ingefaa sana.
Mbona unatoa uamuzi kabla ya kufunga. Imani sio kitu cha mchezo
 
Habarini!!!
Ndoa ya ndugu yangu wa damu (kaka) imeingiliwa na kirusi hatarishi, maji yamezidi unga
Alimuoa binti (mke wake) kigori kabisa, na kwa utamaduni wetu, hili huwa tukio la heshima kwa muaji na waozeshaji (familia ya binti) pia.
Baada ya miaka sita ya furaha na huzuni, ndoa ya ndugu yangu imesimama wima, ikiwa na jumla ya watoto watatu, wakiume wawili na kabinti.
Kati ya watoto hao, mtoto mmoja (wa tatu) hafanani kabisa na watoto wengine, na hafanani na baba yake wala mama yake...pia hafanani na yeyote katika familia yetu wala ya mwanamke.
Jambo hili lilimpa shaka bro, alijipa moyo lakini uafrika wetu ukamshinda.
Maswali ya "mbona hafanani na sisi?" yalikuwa mengi, jambo lililomfanya bro aamue kutafuta suluhu ya nafsi yake..

Alianza kwa kupima DNA kwa Siri bila yeyote ndani ya familia kujua...majibu yakaonesha si wake (Tz)
Akaenda nae Nairobi, huko akampima tena, ikaonesha si damu yake..
Kwa maelezo yake, anadai alienda kwa gwiji fulani huko Mombasa, nako akaambiwa si damu yake... Zaidi tena huko Mombasa, huyo mama (mganga) alimuonesha baba halisi wa mtoto yule

Bro alirudi kwake, akamkalisha kitako mke, akatumia maarifa na ujuzi wake wooote aliojaaaliwa kumshawishi mke amwambie chochote juu ya mtoto yule.
Japo lilikuwa jaribio gumu, lakini mke alikiri kuwa Moses, mtoto wa mwisho, si mtoto wa kaka. Na akamtaja baba yake halisi.

Picha iko hivi;
Shem katika makuzi yake, alikuwa na rafiki yake (mtoto mwenzake) ambaye walitengana baada ya familia ya huyo kijana kuhamia mkoa mwingine. Walipokua, walitafutana na wakaendelea kuwasiliana km wapenzi hadi shem alipoolewa.
Lakini licha ya kuolewa, mawasiliano yao yaliendelea na ahadi yao ilikuwa wazae mtoto mmoja ili iwe kumbukumbu ya mapenzi yao tangu utotoni...na walipokuwa wakipata nafasi ya kukutana, basi walikuwa wananyanduana hadi mtoto huyo akapatikana..

Bro anataka kufanya maamuzi; ni moja tu kati ya mawili
1. Avunje ndoa au
2. Alinde ndoa

Binafsi km mshauri wa karibu, nimemshauri alinde ndoa..
Kaniuliza KWANINI? Nimekosa jibu!
Kwanza wewe mtafute huyo mume mwenza wa kaka yako nae umuulize athibitishe. Unaweza ukakuta shamba boy ndio karutubisha
 
%kubwa ya fikra zake ni kuvunja ndoa..
Anahofu na mama, maana mapenzi aliyonayo mama kwa mkwe wake na wajukuu, hayapimiki
I have same Situation. Nataka kuvunja ndoa ila nikitizama Malimwengu Nashindwa. Nina Mwiba Mkali uinanichoma taratiibuu.. Nimeamua Nimuachie Mungu ATUTENGANISHE Mwenyewe.
 
Yaan kifo kiwatenganishe[emoji15]
 
Kwanza wewe mtafute huyo mume mwenza wa kaka yako nae umuulize athibitishe. Unaweza ukakuta shamba boy ndio karutubisha
Mke ameshasema. Kamuonesha picha ya jamaa, bro akaona ndio yuleyule aliyemuona kwa gwiji wa Mombasa
 
Habarini!!!
Ndoa ya ndugu yangu wa damu (kaka) imeingiliwa na kirusi hatarishi, maji yamezidi unga
Alimuoa binti (mke wake) kigori kabisa, na kwa utamaduni wetu, hili huwa tukio la heshima kwa muaji na waozeshaji (familia ya binti) pia.
Baada ya miaka sita ya furaha na huzuni, ndoa ya ndugu yangu imesimama wima, ikiwa na jumla ya watoto watatu, wakiume wawili na kabinti.
Kati ya watoto hao, mtoto mmoja (wa tatu) hafanani kabisa na watoto wengine, na hafanani na baba yake wala mama yake...pia hafanani na yeyote katika familia yetu wala ya mwanamke.
Jambo hili lilimpa shaka bro, alijipa moyo lakini uafrika wetu ukamshinda.
Maswali ya "mbona hafanani na sisi?" yalikuwa mengi, jambo lililomfanya bro aamue kutafuta suluhu ya nafsi yake..

Alianza kwa kupima DNA kwa Siri bila yeyote ndani ya familia kujua...majibu yakaonesha si wake (Tz)
Akaenda nae Nairobi, huko akampima tena, ikaonesha si damu yake..
Kwa maelezo yake, anadai alienda kwa gwiji fulani huko Mombasa, nako akaambiwa si damu yake... Zaidi tena huko Mombasa, huyo mama (mganga) alimuonesha baba halisi wa mtoto yule

Bro alirudi kwake, akamkalisha kitako mke, akatumia maarifa na ujuzi wake wooote aliojaaaliwa kumshawishi mke amwambie chochote juu ya mtoto yule.
Japo lilikuwa jaribio gumu, lakini mke alikiri kuwa Moses, mtoto wa mwisho, si mtoto wa kaka. Na akamtaja baba yake halisi.

Picha iko hivi;
Shem katika makuzi yake, alikuwa na rafiki yake (mtoto mwenzake) ambaye walitengana baada ya familia ya huyo kijana kuhamia mkoa mwingine. Walipokua, walitafutana na wakaendelea kuwasiliana km wapenzi hadi shem alipoolewa.
Lakini licha ya kuolewa, mawasiliano yao yaliendelea na ahadi yao ilikuwa wazae mtoto mmoja ili iwe kumbukumbu ya mapenzi yao tangu utotoni...na walipokuwa wakipata nafasi ya kukutana, basi walikuwa wananyanduana hadi mtoto huyo akapatikana..

Bro anataka kufanya maamuzi; ni moja tu kati ya mawili
1. Avunje ndoa au
2. Alinde ndoa

Binafsi km mshauri wa karibu, nimemshauri alinde ndoa..
Kaniuliza KWANINI? Nimekosa jibu!
Alinde ndoa tu! Kitanda hakizai haramu
 
Hiv vitu havijaanza kwa kizaz hiki tu yalikuwepo toka zaman ndio maana walianzisha kamsemo kao "kitanda hakizai haramu" pia atambue yeye sio wa kwanza kulea watoto/mtoto ambaye sio wake. Hapo ndipo ulipo ukomavu wa akili na tatzo halitatuliwi kwa kukimbiwa.
Alinde ndoa yake apambane kuilinda familia yake ndio kitu pekee cha thamani alicho nacho ubinafsi usimfanye aipoteze.
Cha msingi baba wa mtoto yupo apewe mtoto wake aendelee na maisha yake
 
Hii issue akifanya mwanaume huwa aichukuliwagi serious mwanaume ameoa na ndoa kabisa ndani ya miaka 3 anakuletea watoto wadogo kazaa nnje tena wanaendelea kudinyana na mzazi mwenzie mpk ana hamia hiko Ila kwa vile sisi mama huruma tunawasamehe tu hata taraka hatuombii [emoji41][emoji41][emoji41]ila kafanyaa ke basi dunia nzima inashaurii avunje ndoa nonsense
 
Back
Top Bottom