Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Kama bado wanapendana na kuishi kwa amani, yaani mwanamke bado ana upendo na wanaishi vema, nashauri wayamalize tu kwa kusameheana na waendelee kulea familia! nina amini walichokijenga ndani ya miaka 6 sio kidogo, hivyo kukivunja ni kujirudisha nyuma!
Zaidi ya yote tukio hilo nina hakika limeshampa mwanamke funzo kubwa, hakika hatokaa tena azae nje maana alifanya siri kubwa lakini ameumbuka!
Unawezaje kumpenda mtu na ukaenda kuzaa na mwanaume mwingine?
 
Kurudiana hawezi zuia wether wametengana ama wako wote

Ila kuendelea kuishi nae kama mke inachochea ye kumrudia jamaa kuliko wakiacha kulala km mke na mume...

Watoto wana umri gani?
Na ana jeuri ya kumuacha kweli huyo mke?.!
Mana usijitie kusema tuachana na umemfia mwenzako
Mtoto ana mwaka 1.5, na mapenzi yake kwa mke hayakuwahi kuwa na shaka hadi hiv sas baada ya hii ishu
Uwezo wa kumwacha mke siwezi kumsema lkn huo ndio msimamo wake
Anachosubiri ni kuwakutanisha familia yake na yetu bas
 
Mtu alie tayari kuachana hashauriwi anaacha tu moyo unashindwa kubeba

Kama bado yupo hajaweza kumuachs bado
Asipige tambo sana
 
Uko sawa, lkn kumbuka machozi sio kipimo cha majuto[emoji1787]

Uko sawa, lkn kumbuka machozi sio kipimo cha majuto[emoji1787]
Sawa mkuu, ndio maana nimesema apime kwanza joto la maelewano yao kama bado wanapendana vizuri, Lakini kama labda tayari walishaanza mikwaruzano , hapo no way out, mapenzi yashahamia kwa mchepuko, ni kupiga chini ndoa maisha yanaendelea!
Lakini ukipiga chini ndoa ukaja kuoa single mother, itakuwa ni yaleyale hata kama ushapoza hasira zako!
 
Unawezaje kumpenda mtu na ukaenda kuzaa na mwanaume mwingine?
Hiyo inawezekana kabisa si ameshasema shem alikuwa na urafiki na mchepuko tangu wakiwa watoto?
Kwani hata mwanaume mbona unaweza kuzaa nje ya ndoa na wife wako ukaendelea kumpenda vilevile? Hapo ni suala la tamaa tu!
 
Uyo kaka Ako amtafute uyo jamaa wakae
Ampige hata 2-3 za baridi na amshukuru kwa kumlindia mkee

Unaweza Kuta jamaa alikua mvumilivu aombi papuchi ovyoo na anafanya Binti asitongozwe ovyo kwa kumpa kampani

Uyo mtoto amlee kama mtoto wa mke wake na ampe heshima zote kama mtoto wake unaweza Kuta ndo baraka katika familia iyo
Et amshukuru[emoji1787][emoji1787]
 
1
Alinde ndoa ya 1
Kwa ajili ya wanae wale 2

2
Aoe mke wa pili kupooza nafsi.,ya kiserikali..siku akiona kampenda mtu wakubaliane amuoe mke wa 2 ht km ye ni mkristo

3
Asimtaliki wa mke kwanza kuepuka kuvunja familia na kugawana mali nk...
Uwezo wa kutunza na kuhudumia wake wawili anao?
 
AVUNJE NDOA.

kwa sababu ndogo tu, suala sio tu kuchepuka.

Bali alichepuka na kubeba Mimba ya mwanaume mwengine KWA MAKUSUDI YAAN KUPANGA, KUDHAMIRIAA KWA AKILI YAKE YOTEE.

Ningekua Mimi, Ningemuacha.

Ni Mara Mia KUOA mwanamke ulomkuta anawatoto hata watatu.

Lkn sio kuoa mwanamke, ambaye baadae akazaa mtoto wa nje, ndani ya Nyumba yako???. .... Ni dharau iliyopitiliza.

Asiogope kuanza upya...sisi wanaume hata tuwe na Watoto,, tukitaka kuoa ,unaoa Asubuhi.

ASIDANGANYIKE NA MACHOZI YA HUYO MWANAMKE.
Machozi sio kipimo cha majuto
 
Mtu alie tayari kuachana hashauriwi anaacha tu moyo unashindwa kubeba

Kama bado yupo hajaweza kumuachs bado
Asipige tambo sana
Amerudi jana kutoka huko Mombasa, na ndo jana hiyohyo kathibitishiwa na mke.
Tangu asubuhi ya leo hajarudi kwake, kakaa hapa home anatafakari cha kufanya

Kwa utamaduni wetu, kuvunja ndoa ni mashauriano ya kina kwa kuangalia maslahi ya pande zote na ndio maana anataka kuzikutanisha familia zote mbili
 
Humu ndani kuna watu wanatoa ushauri wa kipuuzi.
Naanza kuelewa kwanini wake za watu wanatembea na wahuni bila wasiwasi wakuvunjika ndoa zao.
Watu wanatoa misamaha kwenye uovu uliopitiliza hadi mbingu zinashangaa.
Unataka kusemaje WILE????
 
Sawa mkuu, ndio maana nimesema apime kwanza joto la maelewano yao kama bado wanapendana vizuri, Lakini kama labda tayari walishaanza mikwaruzano , hapo no way out, mapenzi yashahamia kwa mchepuko, ni kupiga chini ndoa maisha yanaendelea!
Lakini ukipiga chini ndoa ukaja kuoa single mother, itakuwa ni yaleyale hata kama ushapoza hasira zako!
Sijawahi kushuhudia ugomvi mkubwa au migogoro...japo hiz mambo za misunderstanding hazikosekani..
So penzi lilikuwa hai kabla ya ishu hii
 
Hiyo inawezekana kabisa si ameshasema shem alikuwa na urafiki na mchepuko tangu wakiwa watoto?
Kwani hata mwanaume mbona unaweza kuzaa nje ya ndoa na wife wako ukaendelea kumpenda vilevile? Hapo ni suala la tamaa tu!
Ila kweli
 
Aweke wazi ijulikane kuwa si damu yake. Mtoto amfahamu baba yake pia na ajue yeye ni baba mlezi. Asimtenge mtoto, amtunze sawa na kaka zake ambao ni damu yake.

Ampuuze mkewe, asimchukulie kama mwanamke serious ila kama chombo cha starehe kama atamuhitaji. Asimuondoe nyumbani ila ampe restriction za mtindo wa maisha atakaoishi hapo endapo atapendelea kuwa na mpenzi.
Mwanamke wa aina hii hashindwi kumuua mumewe baada ya kuona hathaminiwi tena kama zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom