Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,430
- 191,695
Mwanamke huruhusiwi kuchepuka kwa namna yeyote ileHii issue akifanya mwanaume huwa aichukuliwagi serious mwanaume ameoa na ndoa kabisa ndani ya miaka 3 anakuletea watoto wadogo kazaa nnje tena wanaendelea kudinyana na mzazi mwenzie mpk ana hamia hiko Ila kwa vile sisi mama huruma tunawasamehe tu hata taraka hatuombii [emoji41][emoji41][emoji41]ila kafanyaa ke basi dunia nzima inashaurii avunje ndoa nonsense