Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Alinambia kuwa mke wake alimuomba amsamehe, na kuwa hatakuja kurudia tena, si tu kuzaa nje,,,bali kutembea nje ya ndoa..
Nadhani km binadamu anapoteza iman juu ya hilo
Mostly huwa alivumiliki aisee. Yaani tena halivumiliki. Cheating wife ni mbaya zaid ya cheating girlfriend.
Ukimpa nafasi tena kuna mawili. Moja anaweza akajirekebisha kweli. But pili anaweza akaficha zaidi.. akabun mbinu mpya. Its not safe kuendelea nae
 
Anasema kumbe hata vigori sio waaminifu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama alitafuna wa mjini af alipotaka kuoa akaenda kuoa kijijini ili apate kigoli basi atajua hajui😂

Mambo ya ndoa ni ya wawili, hizo siri za ndani watu wanasitiriana maisha yanasonga.
Afikirie athari za kuachana na mkewe saivi watoto watapata tabu bila kuwa na hatia + yeye naye lazima ayumbe kwa namna moja au nyingine
 
Kitendo cha kuchepuka tuu ningemuacha, sembuse kunilietea mtoto asiye wangu ndani mwangu?

Tena amemleta intentionaly kama kumbukumbu ya yeye na huyo jamaa yake? Aaah hizi dharau ni za kiwango cha SGR[emoji23][emoji23]

Hapo ukute wanakaa wote, mume anamtimizia kila kitu mke wake, na jamaa wala huwa hasafiri kama ni kumbusuka huwa anambususua vizuri tuu!

Ila mke akaamua kwenda kumzawadia jamaa yake wa zamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani kaenda kumpa kiroho saafi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]. Na mimba akambebea na mtoto akamzalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee, bro wako ana uvumilivu sana, mm siku hiyohiyo nimepata majibu ya mtoto si wangu ningetimua mama na mwanaye.

Nikuhakikishie tuu huyo mke hatakaa aachane na huyo ex wake, na kaka ako akimsamehe ndio itakuwa imekula kwake mazima maana mke atamuona hamnazo.
 
Mostly huwa alivumiliki aisee. Yaani tena halivumiliki. Cheating wife ni mbaya zaid ya cheating girlfriend.
Ukimpa nafasi tena kuna mawili. Moja anaweza akajirekebisha kweli. But pili anaweza akaficha zaidi.. akabun mbinu mpya. Its not safe kuendelea nae
Moyo kichaka.
Bro aliniuliza, "fikiria mtu alimkumbuka rafiki yake wa utotoni, na licha ya kuolewa bado aliamua kusafiri kumfuata..."
Hapo hata mm nilikosa cha kuongezea
 
Kitendo cha kuchepuka tuu ningemuacha, sembuse kunilietea mtoto asiye wangu ndani mwangu?

Tena amemleta intentionaly kama kumbukumbu ya yeye na huyo jamaa yake? Aaah hizi dharau ni za kiwango cha SGR[emoji23][emoji23]

Hapo ukute wanakaa wote, mume anamtimizia kila kitu mke wake, na jamaa wala huwa hasafiri kama ni kumbusuka huwa anambususua vizuri tuu!

Ila mke akaamua kwenda kumzawadia jamaa yake wa zamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani kaenda kumpa kiroho saafi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]. Na mimba akambebea na mtoto akamzalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee, bro wako ana uvumilivu sana, mm siku hiyohiyo nimepata majibu ya mtoto si wangu ningetia mama na mwanaye.

Nikuhakikishie tuu huyo mke hatakaa aachane na huyo ex wake, na kaka ako akimsamehe ndio itakuwa imekula kwake mazima maana mke atamuona hamnazo.
Inafikirisha sana! Bro anatengeneza maswali mengi kuliko majibu..
Mpango wake ni kumuacha mke, ila bado hajalisema kwa familia..

Anadai bora angeishia kunyanduliwa tu, angeiezea
 
Kama alitafuna wa mjini af alipotaka kuoa akaenda kuoa kijijini ili apate kigoli basi atajua hajui[emoji23]

Mambo ya ndoa ni ya wawili, hizo siri za ndani watu wanasitiriana maisha yanasonga.
Afikirie athari za kuachana na mkewe saivi watoto watapata tabu bila kuwa na hatia + yeye naye lazima ayumbe kwa namna moja au nyingine
[emoji1787][emoji1787] atajua hajui...
 
Aweke wazi ijulikane kuwa si damu yake. Mtoto amfahamu baba yake pia na ajue yeye ni baba mlezi. Asimtenge mtoto, amtunze sawa na kaka zake ambao ni damu yake.

Ampuuze mkewe, asimchukulie kama mwanamke serious ila kama chombo cha starehe kama atamuhitaji. Asimuondoe nyumbani ila ampe restriction za mtindo wa maisha atakaoishi hapo endapo atapendelea kuwa na mpenzi.
 
Ushauri niliona wafaa kwa muda uliopo sasa
 
Aweke wazi ijulikane kuwa si damu yake. Mtoto amfahamu baba yake pia na ajue yeye ni baba mlezi. Asimtenge mtoto, amtunze sawa na kaka zake ambao ni damu yake.

Ampuuze mkewe, asimchukulie kama mwanamke serious ila kama chombo cha starehe kama atamuhitaji. Asimuondoe nyumbani ila ampe restriction za mtindo wa maisha atakaoishi hapo endapo atapendelea kuwa na mpenzi.
Hii inaelekea kufaa hakika
 
Bikra ndio kigori
Nachokiona kwa bro, ni kukosa majibu ya KWANINI avunje ndoa au alinde!?
Kwa mfano, nilimwambia akutane na huyo jamaa, amueleze everything...kisha amwambie aachane na mke wake
Akaniuliza atakuwa na uhakika gani km hawataendelea???? Nikashindwa kujibu[emoji19]
Kuvunja ndoa sio suluhu
Kosa sio la mtoto

Asimnyanyase mtoto

Mke asimamie msamaha alioomba..ila nina shaka mke atarudiana na huyo mzazi mwenzie
 
Inafikirisha sana! Bro anatengeneza maswali mengi kuliko majibu..
Mpango wake ni kumuacha mke, ila bado hajalisema kwa familia..

Anadai bora angeishia kunyanduliwa tu, angeiezea
Asiache mke ila labda watengane vyumba hapo ndani..wasishiriki tena unyumba..

Aendelee kukaa ili watoto waone wako pamoja..
Wakikua wataelewa

Kupooza nafsi atafte nyumba ndogo..aanze maisha mengine huko..awe na miji 2...

Hataweza tenganisha maisha yake 100% na huyo mke cz of watoto..
Whatever happens afikirie watoto huyo ni mama yao..
 
Hiv vitu havijaanza kwa kizaz hiki tu yalikuwepo toka zaman ndio maana walianzisha kamsemo kao "kitanda hakizai haramu" pia atambue yeye sio wa kwanza kulea watoto/mtoto ambaye sio wake. Hapo ndipo ulipo ukomavu wa akili na tatzo halitatuliwi kwa kukimbiwa.
Alinde ndoa yake apambane kuilinda familia yake ndio kitu pekee cha thamani alicho nacho ubinafsi usimfanye aipoteze.
mbona mwanamke hajapambana kuilinda yeye ndo apambane hamna kitu kama hicho yani mke umeoa anadhamiria kabisa kuzaa na mtu wa nje unasema alinde ndoa??
Apige chini atakuja kufa siku si zake huu ujinga ndo unaua wanaume wengi ni upumbavu ingekua hiyo mimba iliingia bahati mbaya kwenye kuchepuka unaweza kuwaza ila kadhamiria kutoka moyoni kuzaa na mwanaume mwingine huku kaolewa hapana asee.

Kama kaweza kuzaa kwa hiari means anampenda mshkaji sana next step ni akiambiwa muekee sumu tu tulee mtoto wetu ndo atajua alipambania ndoa au mauti.
 
Hamna ndoa hapo kuna mtu ma mzazi mwenza.
 
Dunia sio fair jamaa anakosa raha kabisa Mungu ampe upeo,😤😤😤ndoa izi usaliti unauma sana

Ila zile mambo unamuacha then anaenda kuoa mke aliyeachwa ndo yale yale
 
Back
Top Bottom