Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

Inawezekana hata huyo Mwanaume ni malaya vile vile!

Huenda mwanamke amefanya kama revenge tu zidi ya yale alofanyiwa na huyo mume wake.!
 
Hii issue akifanya mwanaume huwa aichukuliwagi serious mwanaume ameoa na ndoa kabisa ndani ya miaka 3 anakuletea watoto wadogo kazaa nnje tena wanaendelea kudinyana na mzazi mwenzie mpk ana hamia hiko Ila kwa vile sisi mama huruma tunawasamehe tu hata taraka hatuombii [emoji41][emoji41][emoji41]ila kafanyaa ke basi dunia nzima inashaurii avunje ndoa nonsense

Wewee feminist tuliaa, kwenye bible imeandikwa mwanaume na asimuache mwanamke wake isipo kuwa kwa uzinzi. Maana ake hapa uzinzi ni kosa kubwa linalo deserve divorce ya haraka sana. Maandiko hayo hayo hayajasema mwanamke amuache mume wake kwa uzinzi. Kiufupi Mwanamke alie olewa hatakiwi kuzini nje hata kwa bahati mbaya
 
Hebu vuta picha 1.KUCHEPUKA 2.KUZAA NA MWANAUME MWINGINE UKIWA NDANI YA NDOA.huyo dada kwanza hakuhofia usaliti na kuzini akiwa ndani ya ndoa.Ni jambo alilikubali na kulipenda,Hakuhofia ndoa yake wala mume wake.
Jambo hilo la usaliti alilifurahia ndio maana akafikia kubeba mimba ya mwanaume mwingine akiwa ndani ya ndoa.
Kwa yote hayo inaonyesha wazi brother wako hapendwi na huyo mwanamke wake.Pili: kwa kuwa penzi la nje limenoga mpaka kubeba mimba kifuatacho ni brother wako kuuawa muda wowote au kufanyiwa lolote baya ili asiwe pingamizi la penzi kati ya huyo dada na mwanaume wake aliyezaa nae akiwa ndani ya ndoa.
KAMWE USIMUAMINI MTU ANAYEOMBA MSAMAHA KWENYE JAMBO LOLOTE AMBALO LITAKULETEA MADHARA WEWE.
 
Rudisha mtoto kwa baba yake,au mtumbukize chooni
 
Mkuu hapo ndoa hamna kadri muda unapoenda sumu itazidi kujaa
Habarini!

Ndoa ya ndugu yangu wa damu (kaka) imeingiliwa na kirusi hatarishi, maji yamezidi unga. Alimuoa binti (mke wake) kigori kabisa, na kwa utamaduni wetu, hili huwa tukio la heshima kwa muaji na waozeshaji (familia ya binti) pia.

Baada ya miaka sita ya furaha na huzuni, ndoa ya ndugu yangu imesimama wima, ikiwa na jumla ya watoto watatu, wakiume wawili na kabinti.

Kati ya watoto hao, mtoto mmoja (wa tatu) hafanani kabisa na watoto wengine, na hafanani na baba yake wala mama yakepia hafanani na yeyote katika familia yetu wala ya mwanamke.

Jambo hili lilimpa shaka bro, alijipa moyo lakini uafrika wetu ukamshinda. Maswali ya "mbona hafanani na sisi?" yalikuwa mengi, jambo lililomfanya bro aamue kutafuta suluhu ya nafsi yake.

Alianza kwa kupima DNA kwa Siri bila yeyote ndani ya familia kujua...majibu yakaonesha si wake (Tz)Akaenda nae Nairobi, huko akampima tena, ikaonesha si damu yake.

Kwa maelezo yake, anadai alienda kwa gwiji fulani huko Mombasa, nako akaambiwa si damu yake... Zaidi tena huko Mombasa, huyo mama (mganga) alimuonesha baba halisi wa mtoto yule

Bro alirudi kwake, akamkalisha kitako mke, akatumia maarifa na ujuzi wake wooote aliojaaaliwa kumshawishi mke amwambie chochote juu ya mtoto yule.

Japo lilikuwa jaribio gumu, lakini mke alikiri kuwa Moses, mtoto wa mwisho, si mtoto wa kaka. Na akamtaja baba yake halisi.

Picha iko hivi;
Shem katika makuzi yake, alikuwa na rafiki yake (mtoto mwenzake) ambaye walitengana baada ya familia ya huyo kijana kuhamia mkoa mwingine. Walipokua, walitafutana na wakaendelea kuwasiliana km wapenzi hadi shem alipoolewa.

Lakini licha ya kuolewa, mawasiliano yao yaliendelea na ahadi yao ilikuwa wazae mtoto mmoja ili iwe kumbukumbu ya mapenzi yao tangu utotoni na walipokuwa wakipata nafasi ya kukutana, basi walikuwa wananyanduana hadi mtoto huyo akapatikana..

Bro anataka kufanya maamuzi; ni moja tu kati ya mawili
1. Avunje ndoa au
2. Alinde ndoa

Binafsi km mshauri wa karibu, nimemshauri alinde ndoa. Kaniuliza KWANINI? Nimekosa jibu!
 
Jibu kitanda hakizai haramu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom