Ndoa ni Safari

Ndoa ni Safari

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
384
Reaction score
757
Ndoa ni safari
Kama safari ilivyo kuna mteremko, milima. mabonde, mashimo, lami na vumbi. Ndivyo ndoa ilivyo kuna raha na kuna huzuni.

Maisha ya ndoa yanaitaji uvumilivu na kusamehena.

Wakati nimeingia kwenye ndoa, sikujua kwamba ukiwa kwenye ndoa kunatabia lazima ziondoke ili uweze kuishi kwa amani. Kuna usemi ambao nilifundishwa kwamba sio kila ushindi unafaida , unaweza kushida lakini ushiwe mshindi

Kuna kipindi ndani ya ndoa kunatokea migogoro ya kutokuelewana ambayo ni kawaida kabsa watu ambao hatujazaliwa pamoja na hata kama tumezaliwa pamoja kuna mahali tunashindwa kupatana ile kushindwa kupatana ndio migogoro yenyewe

Wakati nikiwa mgeni katika ndoa nilikuwa ni mtu wa principal kwamba kama jambo hili ni moja basi lazima liwe ni moja lakini nikajifunza sio kila siku moja kujumlisha na moja ni mbili wakati mwingine unapata moja, nilijifunza wakati mwingine hata kama unajua uko sahihi sio lazima kumlazimisha mwenzako ajue uko sahihi , wakati mwingine kutokuwa sahihi ni njema zaidi kuliko kuwa sahihi wakati wote

Nilijifunza kukubaliana hata kama sijakubali , sio kwamba ni udhaifu ila ni kanuni ya vita, unaweza kushidwa vita kwa kushinda vita.
Ndoa nyingi zimefikia hata hatua za kutengana kwa sababu kila mmoja anajihesabia haki.

Nakumbuka wakati nafunga ndoa kwa njia ya nje nilikuwa na sababu mawazo ya baba zetu kwamba baba ndio final say wafamilia sikujua kwamba kizazi nilichopo sio cha baba yangu na dunia sio tena nikijiji ni kitongoji, utandawazi umebadirisha hadi majukumua na malaka ya baba katika familia, nilijifunza kuwa mume na sio baba wa mke wangu

Nilijifunza kwa wale ambao walinitangulia, sio kuomba msamaha ni kuwa dhaifu , ila ni kuwa na nguvu. Nakumbuka kuna siku moja tulikuwa na kutokuelewana na mke wangu na kutokuelewana kulikuwa kukubwa kiasi moyoni niliwaza mambo mengi sana lakini mwisho wa siku nalikubali kuwa mdogo ili mambo yaisha, nakweli mambo yalipita salama nakumbuka kesho yake mke wangu alikuja kuniomba msahana kwa yale ambayo yalitokea, niliwaza sana na nikakumbuka yaliyokuwa yanapita moyoni mwangu ningeyafanya ingekuwaje? Kwa hiyo wakati mwingine kubali kuwa mdogo sio kwamba unakuwa mnyonge ni kwa ajili ya amani ya moyo na kuonyesha umekuwa katika kutatua migogoro.

Kuna kipindi kulikuwa na meme ya baba mmoja na kijana wake, yule kijana akasema na baba yake kwamba anataka kuoa baba yake akamwambia kijana wake sema samahani, yule kijana akamuuliza amefanya nini? Mzee akaendelea kumwambia sema samahani , yule kijana akaendelea kuuliza na mzee akaendelea kukazia akiomba kijana aseme samahani na mwisho wa siku kijana alifanikiwa kusema samahani na ndipo mzee akamwambia uko tayari kwa ajili ya kuoa. Kilikuwa ni kama kichekesho lakini ndivyo maisha yalivyo.

Ndoa pasipo msamaha ndiyo itakufa, kuna watu watasema haha mimu huyu mtu siwezi kumsahe kwanza ameniletea watoto wanje nimefumania nk , msamaha sio kwa ajili ya yule aliyekukosea msamaha ni kwa ajili yako mwenyewe.

Siku nilipojua umuhimu wa msahama nimekuwa rahisi sana wakusamhe watu wamakosa, sio kwamba tunafurahi kukwazwa lakini tunafanya bidii kwa ajili ya mioyo yetu kuwa safi.

Mtu mmoja alisema kutokusamehe ni sawa na kunywa sumu ukitarajia mwenzako atakufa, unakufa wewe, rafiki yangu mmoja aliniambia juu ya mama yake na baba yake miaka ya nyuma huko , kutokana na majukumu ya kikazi mzee wake alianzisha familia nyingi eneo jingine na siku ambayo ilitokea mama yake kujua ilipelekea kulazwa hospitalini kutokana na pressure rafiki yangu anasema ni madakatari pamoja na baba yao walikubali mambo yaishe na mama asamehe ili aweze kupona.

Kutokusamehe kunaweza kukuondoa duniani, kuna habari nyingi nimekutana nazo kwenye mtandao wengine wameachana lakini hawajapona? Kuachana sio mbadala wa kusamehe, kusamehe kuna sehemu yake.

Kwanini watu hatusameheni? Sababu ya kwanza ni kujihesabia haki ? Kifungo cha kwanza cha kutokusamahe ni kujihesabia haki. Ni kweli mwenzako kakosea kakukwaza kakuuzi kakutenda vibaya au kachepuka nk, kinachokuja moyoni mwako nikimsamehe huyi ataniona mimi mjinga? Nikimsamehe hutu ataniona mimi sifai? Kwanza kwetu hatuna shida naweza kuondoka na nikaolewa na mtu yoyote na wakati wowote? Siwezi kumsahe ? Kujihesabia haki kuna kufunga kutokumsahe mtu.

Nilijifunza kutokujhesabia haki, nilijifunza kujilinganisha na neno la Mungu, kama usomi neno la Mungu itakuwa ngumu sana kuelewa ninachokisema ila nina ushuhuda na hili. Siku zote unaposkia ujumbe wa Mungu iwe kwa nyimbo au kwa neno jaribu kujichukua wewe na neno utaona umekwama wapi.

Mfano unaimba Mungu baba uliyembingu jina lako litukuzwe... karibu Yesu ukae ndani yangu. Ukitaka kujua mameno haya yanaukubwa gani kwanza mjue Yesu ni nani, usipomjua Yesu ni nani kwako maneno ya Wimbo huu hayatakuwa na nguvu kwako ila ukimjua yeye ni nani kwako , aya maneno yanaweza kukufanya ukapiga magoni na kusujudu kumwomba Yesu aingie ndani yako

Yesu ni mfalme, ni Mungu mwenye Nguvu, ni Mfalme wa wafalme, ni Bwana Mwenye Nguvu ni Yuko ambaye Yuko, yeye ni Jana leo na hata milele, huyu Yesu mwenye sifa hizi unataka akae ndani yako wewe mwenye dhambi, akae kwenye mwili wa nyama , mtu ambaye ni dhambi uliyeumbwa kwa udogo , mtu ambaye moyoni umejaza anasa za dunia unataka mfalme akae kwako? Ukifikiria yote haya utaomba rehema za Mungu kama yule akida akasema sistahili uingie kwangu

Ndivyo hata kwenye msamaha , ni lazima msamaha uanzie kwa Yesu kwanzo ambaye alitusamehe dhambi pasipo kulipa chochote ndipo tutaweza kusamehe watu

Nimekuwa nikimwomba Mungu kila siku kila ninapopata nafasi kuomba msamahana kwa sababu niko duniani dhambi zipo kila sehemu kwa hiyo siwezi kujihesabia haki, na ndio maana tunafunga kumwomba Mungu atusafishe kwa sbabu sisi ni watu wa dhambi

Leo nimesoma habari ya wanadoa wamiaka 17 wamepata na watoto lakini kila mmoja anakaa kwake miaka 5 kila mmoja anachumba chake

Ningekuwa ndio mimi ningeomba Mungu anismahe kwa kuwa sababu ya kuumiza moyo wa mwenzangu, inawezekana hauna kosa , usijihesabie haki nenda kwa Yesu akuchunguze inawezekana kuna habari za uongo zimefika kwenye ndoa ukaonekana huna haki.

Swala la kuwa na kosa au kutokuwa na kosa ni swala la mahakamani, bahati nzuri nimefanya kazi na mahakama unaweza kuitwa mahakamani huna kosa ila ili upelelezi ukamilike na hukumu itoke unaweza kupoteza muda mwingi na wakati mwingie ingekuwa heri umehukumiwa kuliko kufatilia haki, ayo ni mambo ya kimahakama kwa hiyo kama kuna mgogoro ndani yenu ujue kuna kesi mahakamani fata tararibu za kimahakama

Tengeneza maisha yako na Yesu, anza na toba muombe Mungu akukague kama hauna kosa kwenye ndoa yako na kama unakosa tengeneza kwanza na Mungu, unakaje na kinyongo miaka 5 je ukifa , ulishawai kujiuliza juu ya watoto wako watabakia na nani ukifa?

Gari bovu haliwezi kuvutwa na gari bovu, ukiona miaka 5 watu hawaongei ujue hakuna hata mmoja ambaye ni mzima, tengeneza na Mungu , Mungu akutengeneze uwe gari jipya uweze kumvuta mwenzako.

Unafanyaje tenga muda na Mungu, funga nakumbuka kuna kipindi nilipia changamoto kubwa tu na kuongozi wangu ofisni kiasi kwamba moyoni nilikuwa kama nawaka moto nina hasira na siwezi kumfanya chochote na ninatakiwa niende kazini na nifanye kazi kwa maelekeo yake, ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kufunga 3 kavu nilifunga siku 3 bila kula wala kunywa chochote na baada ya hapo Mungu aliponya kabsa moyo wangu na maisha yakaendelea kama kawaida, kusamehe kuna gharama sio kitu rahisi, tenga muda funga hata kama ni siku moja funga omba Mungu akuponye, Mungu akupi uponyaji tu lakini anakupa na mbinu za kutoka.

Kosa ambali utakiwi kufanya usije ukawaza kwamba uko nje utapata mtu wa kukupa raha siku zote hakuna kitu kama hicho, mapenzi ni mazuri kabla ya ndoa mkiingie kwenye ndoa mnaitaji kufunga mkanda. Uchumba ni kama kipindi cha kampeni ila ndoa ni baada ya kampeni.

Siku zote ukiwa kwenye ndoa unaona kuwa single ni raha ila waulize waliosingle kwanza kama wanaona raha, watu wengi ambao wametoka kwenye ndoa kwa sababu ya maumivu uko wanakokwenda wanaondoka tena kwa maumivu , tengenezeni na bwana Yesu yu karibu anarudi
 
Mh mbona ni insha ndefu sana mkuu
 
Ni heri Ndoa ife kuliko kudumu ikiwa ICU.

Msamaha unaolenga kuinusuru ndoa isivunjike ili hali mkosaji hajali chochote huko ni kucheza makidamakida!
 
kufa kwa ndoa sio kupona kwa jereha , kuna watu wameachana lakini bado wako kwenye vifungo kitu cha msingi ni kusamehana kumsaheme mtu sio lazima kuendelea naye ila ni kupata uponyaji wa moyo ili kama Mungu akija leo huwe na ujasiri wa kuingia Mbinguni kama unaamini
 
Binafsi, nikiona mtu anaanza kueleza sana au kujieleza sana kuhusu ndoa, naona km yuko hapo kwa sababu tu yaa... Ila kiuhalisia haitaki wala haimfai, ila anajipa ahueni na matumani, kwa kisingizio cha UVUMILIVU.
 
kufa kwa ndoa sio kupona kwa jereha , kuna watu wameachana lakini bado wako kwenye vifungo kitu cha msingi ni kusamehana kumsaheme mtu sio lazima kuendelea naye ila ni kupata uponyaji wa moyo ili kama Mungu akija leo huwe na ujasiri wa kuingia Mbinguni kama unaamini
Upo sahihi 💯. Wengi wanapofikiri kuhusu kusamehe huwa wanahusisha moja kwa moja na kuendelea kuwa pamoja. Na mbaya zaidi wapo wanaoamini kwamba kama usipoendelea kuishi nae basi hujamsamehe!
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa Hos 2:23
Miaka kadhaaa mara baada ya kuokoa nilijua kwamba maarifa yaliyokuwa yanazungumziwa hapa ni neno la Mungu , sikuwa najua yapo maarifa mengine ambayo Mungu amewapa watu wake kwa ajili ya kutusaidia.

Kabla ya kukutana na Yesu nilikuwa mpenzi wakusoma magazeti mbalimbali kama Mwananchi , Mwanahalisi nk , nilikuwa naweza kununua gazeti na kusoma kuanzia mwazo hadi mwisho, nakumbuka nilikuwa mpenzi sana wa Gazeti la Mwananchi kipindi kile cha magazeti kabla ya habari kuwa mtandao.

Kiu yangu ya kusoma haikuishia tu kusoma magazeti nilipeleka kwenye vitabu mbalimbali, kiu yangu nilitaka kujua kwanini mtu anakuwa maskini na kwanini mtu anakuwa tajiri.

Nilisoma vitabu vingi tu juu ya kwanini watu wanakuwa matajari, nikajifunza vitu kadhaa na nimeendelea kujifunza, na nimekuwa nilipata nafasi hata kusikiliza mahojiano na watu waliofanikiwa na kuna kitu nilichojifunza kutoka kwao, asilimia kubwa wanawaza tofauti sana tu na watu maskini , kitu cha pili wanawekeza katika maarifa juu ya kile wanachofanya

Katika maisha ya ndoa kuna kitu ambacho kwa bahati mbaya sikufanikiwa kusoma shuleni wala kanisani na kwa bahati mbaya sikusoma somo la utawala katika masomo yangu.

Wakati najifunza masomo ya utawala na uongozi somo ambalo nilitamani kujifunza ni juu ya habit, postive thinkings , nk, nilichofunza kinachomtofautisha maskini na tajiri ni habits nk.

Nilijifunza waliofanikiwa katika kitu chochote miongoni mwa uwekezaji wanao uweka ni juu ya habits ( tabia) na kufikiri (thinking) , na vitu hivi walivipata kupitia semina , vitabu nk, na kwa bahati nzuri wenzetu kila kitu kimewekwa katika maandishi chochote unachotaka kufanikiwa kinapatika a kwenye maandishi

Nakumbuka Mungu alinipa rafiki ambaye sio tu kwamba alikuwa anependa kusoma ila pia alikiwa anapenda kunishawishi kusoma, rafiki yangu huyu alinipa vitabu vingi tu lakini kitabu ambacho moyoni kama kilifungua akili yangu juu ya mahusiano sio tu kwa ajili ya ndoa ni pamoja na watu ambao ninakutana nao katika shughuli za kutafuta riziki

Mara baada ya kufunga ndoa na maisha yalipoonza nilijifunza kunavitu sivijui juu ya mahusinao baini yangu na mwenzangu wangu , niliona kuna mahali kama kuna tatizo la mawasiliano ndipo nilipofanikiwa kusoma vitabu kadhaa lakini leo naomba nikushauri ndugu yangu na rafiki yangu kama unataka kujifunza na kuboresha mahusiano yako juu ya familia yako au juu ya mahusiano yako na watu wajinsia tofauti tofauti soma kitabu hiki naamini kuna kitu utajifunza

Kitabu cha kwanza nilichosoma kilichonifundisha mambo mengi mazuri juu ya mahusino ni Men are from Mars, Women are from Venus by John Gray, Ph.D.

Kitabu cha pili soma kitabu cha Things I wish I'd Know Before We Got Married by Gary Chapman, unaweza kupata kupitia ilove pdf au source nyingine kama softcopy au ukanunua kwenye maduka ya vitabu, na kama utashindwa karibu dm nitakutumia copy yako.

Watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa , usiangamie kwa kukosa maarifa,na Mungu akusaidie
 
Reconciliation

Kinacho fanya ndos kufa sio kukosekana kwa msamaha hapana ni kukoseka kwa upatanishi (reconciliation). Biblia inasema mpatanishi kati ya Mungu na Mwanadamu ni Yesu Kristo aliyekufa msalabani.

Wana wa isaraeli walipokuwa wanasafari kwenda jangwani walimkosa Mungu kwa kutoa sadaka ya ndama kwa mionguni ya baali, kitendo kile kilipelekea Mungu kukataa kwenda pamoja nao safari ya kaanani. Musa akagoma kwa sababu Mungu alisema na Musa kwamba atawachukua misri hadi kaanani kwanini Mungu ameamua kumtuma malaika tena. Kosa la wana wa isarali la kuhabudu ndama lilipelekea uhusiano wao na Mungu kutengana hadi Musa alipokwenda kuomba Mlimani kwa siku 40 ndipo Mungu anakubali kwenda pamoja na wana waisraeli.

Ndivyo inavyokuwa hata leo katika ndoa ile kwamba wanandoa wamesamehena sio kwamba watakuwa kitu kimoja kama hapo mwanzo , kuna gharama za upatanisho (reconciliation).

Unakuta wanadoa wamesamehana lakini kila mmoja anachumba chake kila mmoja na maisha yake, kwa sababu wanasahau kwamba msamahana unamchakato.

Msamahana maan yake ni kuondolewa adhabu, unapopelekwa mahakamani hakimu akitoa kifungo jela, ukapata msamaha wa raisi kuondolewa hukumu hapo umesahemewa ila wale ambao uliwatendea makosa mfano ulipelekwa mahakamani kwa wizi wale uliowaibia ujue hawatakuwa na amani na wawe ingawa u
Huko huru kuendelea na maisha yako ila hauna amani na wale ambao uliwatendea makosa.

Upatanishi ni gharama , ndio maana Yesu alikufa msalabani, ndio maana hata leo wakristo wengi ambao walikuwa wanamtumikia Mungu unakuta wamemwacha Mungu kwa sababu hawataki kuingia gharama ya kutengeneza na Mungu

Upatanishi ni zaidi ya kusamehewa dhambi, ni muhimu wandoa kwa gharama yoyote kufanya upatanishi. Mungu amewapa watu nafasi ya kufanya upatanishi lakini pia wanaposhindwa yupo kiongozi wao.

Wachungaji, wazee wakanisa, ndugu jamaa na marafiki wanaweza kufanya upatanishi lakini wakishindwa ambaye alipewa upatanishi na dunia hii ni Yesu hajawai kushindwa kufanya upatanishi.

Maisha ya duniani yangekuwa ni ya raha Yesu asingesema atatufuta machozi maana yake machozi ni sehemu ya maisha ya Mkristo. Yesu akaawambia wanafunzi wake waliotaka kujua wamemfata Yesu watapata nini Yesu akutaka kuficha akasema watapata na udhuni( shida, changamoto na dhiki) ,mtumishi wa Mungu Mtume Paul anasema anajua kwamba Mungu alimfanya kuwa nabii wa mataifa ila aliandikiwa vifungo na dhiki kwa ajili ya jina la Yesu.

Katika Ndoa kinachotafutwa sio ndoa ni ushuhuda wa Mungu, haijalishi ndoa yako inachangamoto kiasi gani lina ushuhuda wajina la Yesu.

Kama maisha ya wokovu yangekuwa raisi kila mtu angeokoka lakini ni maisha ya kujikana ni maisha ya kukapigana na dhambi, Musa anasema aliona bora kutukanwa kwa ajili ya jina la Yesu kuliko kujifuraisha katika anasa kwa kitambo.

Musa alikuwa amekulia ikulu ya pharaoh lakini aliamua kujitoa kwa ajili ya ndugu zake hakijua kwamba kitendo kile kinahatarisha maisha yake na nafasi yake ya mtoto wa pharaoh lakini alikubali kulipa gharama za kwenda jangwani miaka 40 kama kibarua kwa ajili ya kulinda jina la Yesu.

Haijalishi reconciliation itachukua muda gani? Weka imani kwa Yesu , weka imani kwake akutengeneze , Musa ilichukua siku 40 amefunga inaweza kuchukua miezi , miaka nk lakini maadamu utampa Yesu nafanya Mungu atafanya na shetani atahaibika asubuhi na mapema.
Usijiskie vibaya kwamba umekosea hata Ayubu alikiri amekosea lakini Mungu alikuwa anamtengeneza , matengenezo yanaitaji muda weka imani kwa Mungu, muite Yesu afanye matengenezo juu ya moyo wako na familia yako.

Kitendo cha Mungu kuwashikilia katika ndoa ujue Mungu bado anawapenda, kuna wanandoa wanekwenda hadi mahakamani lakini Mungu kupitia watu wake anawatengeneza na ndoa inasimama.

Biblia inasema mwenye haki ataangakua mara nyingi lakini atainuka , ila yule mwovu ataangamia, simama katika Neno la Mungu na Bwana atakushindia
 
Back
Top Bottom